Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Mikuki,
Sitegemei kamwe kwamba ulipouliza maswali yako unategemea Admin akujibu kwamba JF ni ya au inaendeshwa kwa niaba au jili ya chama teule. Frankly I'll care less hata kama atasema in the affirmative kuhusu hilo ili mradi hanizuii kutoa mawazo yangu bila ya kipingamizi. Tangia niingie humu JF sijaona mawazo ya mchangiaji yakizuiwa kwa sababu tu ni ya kukitetea chama fulani. Kwa hiyo hilo la JF kuwa na chama halinipi taabu.

Linalonitia wasiwasi mkubwa ni mtindo wa baadhi ya wachangiaji binafsi wanaohusisha mawazo ya wachangiaji wenzao na aidha, uanachama wao wa chama cha siasa, udini wao, ukabila wao n.k. Haya yameongezeka sana humu. Imefikia mahala, hata kabla mtu hajasoma hoja, kwa kuangalia jina tu mtu anaweka msimamo wa kupinga
hoja bila ya kutafakari vizuri yaliyoandikwa. Hali hii inajidhihirisha vizuri na baadhi ya majibu yanavyotolewa kwenye hoja kadhaa.

Hata kwenye mambo ambayo mtu angedhani kuwa ushabiki wa kisiasa ungewekwa pembeni na kuweka mtazamo wa kitaifa zaidi hali hii ipo. Mfano mzuri ni huu wa wanafunzi wa Ukraine. Hawa ni waTanzania; na sidhani kamwe kuwa hawa vijana hali ngumu inayowapata inatokana na wao kuwa wanachama wa CCM, CUF, Chadema, Mtikila or whatever! Lakini, kwa bahati nzuri au mbaya kwao, baadhi yetu humu JF tumelichukulia hili jambo kuwa la kisiasa, kiasi kwamba hata kuchangia tu visenti ili waweze kujikimu na hali hiyo ngumu kunachukuliwa kama kukinufaisha chama cha siasa!

Sikumbuki ni wakati gani Mwanakijiji alipotutangazia humu ukumbini kuhusu uanachama wake kwenye chama kimojawapo cha siasa. Kama yeye ni mwanachama wa Chadema, hilo halimwondolei hata sentila moja ya uTanzania wake. Wengi tumenufaika na kufarijika zaidi na juhudi zake mbalimbali alizokwishazifanya kupata utatuza wa matatizo ya wanafunzi wa Ukraine. Baadhi yetu tumechukulia juhudi hizi kuwa ni kujitafutia sifa na pengine kutafuta njia ya kuiaibisha serikali. Matokeo yake sasa yamekuwa kila mjadala unaojadiliwa hapa Mkjj anakuwa ni mjadiliwa. Kila mtu anayo mapungufu yake, na yeye kwa vyovyote anayo mengi tu; lakini tukubali pia kuwa hoja zake nyingi zimejitokeza kuwa na mchango mkubwa katika mtandao huu wa JF.

So I say, wenye vyama vyao wavitetee wanavyotaka bila ya kutukejeli au kutukana utu wetu. Sisi wengine tuna uhuru wa kutetea au kupinga bila ya kuogopa kupakwa rangi ya chama chochote kile. Tupakeni tu rangi ya UTanzania basi. Kama serikali ya Kikwete inastahiri sifa tutaisifu,na kwa kuanzia ninaanza kuandaa hongera kemkem kwa JK mwenyewe kutokana na hatua ya Taifa Stars leo. Bila ubishi wowote, mafanikio yanatokana na uamzi mahsusi aliouchukua rais wetu. Sasa tunataka iwe hivyo hivyo katika mambo yetu mengine mengi yanayotukabiri kitaifa: uchumi wetu, elimu yetu, rushwa zetu, n.k. Simsifu kwa kuwa ni mtu kutoka pwani, au kwa vile ni mwislamu/mkristu au mpagani. Na sitamsuta akiharibu kwa vile tu anazo sifa hizo.
Sifa zitamiminika kila mafanikio yatakapokuwa yanaonekana, au hata hiyo dhamira nzuri ya utekelezaji tu itakapokuwa inaonekana. Hao wapinzani nao tutawasifia kama watakuwa wanatuonyesha njia mbadala zinazoonekana kuwa na matumaini, na tutawaponda tunapoona hoja zao hazifai.
 
Kalamu,

Umetoa points nzuri sana.

Imekuwa ni kawadia kwa baadhi waforum kumpachika mtu yeyote anayepingana nao kuwa ni wa CHADEMA. Tena anasisitizwa ni CHADEMA tu, siyo chama kinginecho kama CCM, CUF, NCCR, TLP, UDP, DP, TADEA, NRA na vyama vinginevyo. Halafu vile vile sasa hivi inaonekana kuwa mtu akiikosoa serikali kwa mambo yaliyo wazi anaaambiwa ni mtu wa bara au ni mkiristo. Inatisha sasa.

Siku zote huwa nasoma posts zote kadri zinavyoandikwa ila sasa kweli nitakuwa makini na posts za baadhi ya wachangiaji.
 
Naomba ushahidi wa mtu kuikosoa serikali anaambiwa ni mkristu au mtu wa bara? Vinginevyo utakuwa umeamua kusema uongo.

Nakuomba upitie post ya Tanzania Njema aliyo post jana kule kwenye wanene na marupurupu, amesema waswahili ni waislamu wa ovyo ovyo,hawana mipango na kudharau nyingi sana.jee hali hiyo ya kudharau kundi la imani fulani kwako haisikitishi?

narudia tena wewe umesema umefundisha chuo kikuu cha Dar miaka zaidi ya kumi nipe ushahidi wa maneno yako kuwa mtu akiikosoa serikali kwa mambo yaliyowazi anaambiwa ni Mkristu?

Mzee Kichuguu naona sasa mnataka kutugombanisha watanzania au kuna njama za kumuhujumu JK na serikali yake. naomba ushahidi kama wewe unavyotaka ushahidi wa kuthibitisha kuwa Zitto alimchukua AC.
 
Niliahidi week end hii kuitumia vilivyo, tulikubaliana na Bi sent 50. naona katoa timu. unajua nikikamua leo jumapili watu wa kumwaga na mzee adm. hayupo.nina file la Zitto nataka kumkabishi BI senti 50.

Madilu hiyo picha yako juu utafikiri umevaa kanzu mpya!

Anyway nashangilia ushindi wa Stars. karibu kahawa mwinyi,
 
Mwanakijiji,

Amina mbona yuko bungeni, je kazuiwa na nani? Ukitaka namba yake omba
na wana JF watakupatia. Huenda namba uliyokuwa nayo kabadilisha kwasababu hataki muendelee kumsumbua. wabunge wengi wanabadlisha namba zao kila mwezi.

Hata daktari hawezi kuongelea mambo ya ugonjwa wa mtu hadharani, haya ni mambo binafsi, mwache mbunge wetu aendelee kutuwakilisha bungeni bila
kuanza kujadili mambo yake binafsi.

Haya ni mambo binafsi kuliko hata ya Mbunge Zitto kula uroda wa mke wa mtu. Sasa kama kule umeona ni mambo binafsi inakuwaje huku ni mambo ya kitaifa?

Hizi ndio DOUBLE STANDARDS ambazo wengine tumezishutukia.
 
Huyu Mungu pia atunusuru na viongozi hatari, na wananchi wanafiki!

Swala la A. Chifupa linaweza kuwa na sura ya kisiasa, sawa; lakini pia haya yoote yametokana na kutojitambua / kutojiamini kwake A. Chifupa na kutojali ama kufahamu maadili ya mwanamke ambaye ni kioo cha jamii. Huyu mama inasemekana aliendeleza tabia yake ya kubadilisha wanaume jinsi alivyotaka. Kupata ubunge wa viti maalumu alijiona tayari kaiva kisiasa anaweza hata kuwa mwenyekiti wa vijana, hapa alitaka kukimbia wakati hata kusimama mwenyewe bado.
MPYA: Mpakanjia alikuta 20 miliion cash deposit kwenye akaunti ya bibie na 'credit advice' ilikuwa sms kutoka kwa waziri Karamagi! Je, A. Chifupa naye anafanya biashara ya makontena? Karamagi ni mmoja kati ya list ndeefu ya watu wanaotajwa kuwa na mahusiano yasiyokuwa mema na A. Chifupa.
Kukosa au kunyimwa uhuru kwake ni jambo alilojitakia, mwanamke huwezi kuchanganya wanaume kiasi hicho ukitegemea itabaki siri siku zote..... Watatokea akina Zitto wakuchanganye akili hata kuficha inakuwa vigumu, unajua tena mambo haya kama kikohozi, huwezi kuyaficha. Utayaficha ya kina Karamagi kwa sababu unamgeuza ATM, lakini Zitto, mhh! anakufikisha ambako labda hujawahi kufika... NI LAZIMA UCHANGANYIKIWE kwani inakuwa kama umekutwa live ktk tendo.
A. Chifupa si issue yenye mantiki kiasi cha kupoteza muda wa wachangiaji wa JF.
 
I know you, na wala sikusema Mungu ana ubovu.

Najua kuwa una tatizo na mimi personally, na of course siwezi kukuzuia. Ukipost vitu vya maana vinavyoelemisha kwa namna yoyote ile nitavisoma na kujifunza, na ukitoa matusi dhidi yangu nitayadharau.

Mzee wanitisha sasa, unakataa maandishi yako mwenyewe? Sijawahi kukutukana na nitasoma posting zako bila kujali zinaelemisha au laa...
 
Swala la A. Chifupa linaweza kuwa na sura ya kisiasa, sawa; lakini pia haya yoote yametokana na kutojitambua / kutojiamini kwake A. Chifupa na kutojali ama kufahamu maadili ya mwanamke ambaye ni kioo cha jamii. Huyu mama inasemekana aliendeleza tabia yake ya kubadilisha wanaume jinsi alivyotaka. Kupata ubunge wa viti maalumu alijiona tayari kaiva kisiasa anaweza hata kuwa mwenyekiti wa vijana, hapa alitaka kukimbia wakati hata kusimama mwenyewe bado.
MPYA: Mpakanjia alikuta 20 miliion cash deposit kwenye akaunti ya bibie na 'credit advice' ilikuwa sms kutoka kwa waziri Karamagi! Je, A. Chifupa naye anafanya biashara ya makontena? Karamagi ni mmoja kati ya list ndeefu ya watu wanaotajwa kuwa na mahusiano yasiyokuwa mema na A. Chifupa.
Kukosa au kunyimwa uhuru kwake ni jambo alilojitakia, mwanamke huwezi kuchanganya wanaume kiasi hicho ukitegemea itabaki siri siku zote..... Watatokea akina Zitto wakuchanganye akili hata kuficha inakuwa vigumu, unajua tena mambo haya kama kikohozi, huwezi kuyaficha. Utayaficha ya kina Karamagi kwa sababu unamgeuza ATM, lakini Zitto, mhh! anakufikisha ambako labda hujawahi kufika... NI LAZIMA UCHANGANYIKIWE kwani inakuwa kama umekutwa live ktk tendo.
A. Chifupa si issue yenye mantiki kiasi cha kupoteza muda wa wachangiaji wa JF.

Tambaza, Makongo, Clouds FM, Ubunge....along the way tumesikia mengi kuhusu huyu Mheshimiwa likiwemo la Medi kuoa mke wa pili kisiri siri...
 
Swala la A. Chifupa linaweza kuwa na sura ya kisiasa, sawa; lakini pia haya yoote yametokana na kutojitambua / kutojiamini kwake A. Chifupa na kutojali ama kufahamu maadili ya mwanamke ambaye ni kioo cha jamii. Huyu mama inasemekana aliendeleza tabia yake ya kubadilisha wanaume jinsi alivyotaka. Kupata ubunge wa viti maalumu alijiona tayari kaiva kisiasa anaweza hata kuwa mwenyekiti wa vijana, hapa alitaka kukimbia wakati hata kusimama mwenyewe bado.
MPYA: Mpakanjia alikuta 20 miliion cash deposit kwenye akaunti ya bibie na 'credit advice' ilikuwa sms kutoka kwa waziri Karamagi! Je, A. Chifupa naye anafanya biashara ya makontena? Karamagi ni mmoja kati ya list ndeefu ya watu wanaotajwa kuwa na mahusiano yasiyokuwa mema na A. Chifupa.
Kukosa au kunyimwa uhuru kwake ni jambo alilojitakia, mwanamke huwezi kuchanganya wanaume kiasi hicho ukitegemea itabaki siri siku zote..... Watatokea akina Zitto wakuchanganye akili hata kuficha inakuwa vigumu, unajua tena mambo haya kama kikohozi, huwezi kuyaficha. Utayaficha ya kina Karamagi kwa sababu unamgeuza ATM, lakini Zitto, mhh! anakufikisha ambako labda hujawahi kufika... NI LAZIMA UCHANGANYIKIWE kwani inakuwa kama umekutwa live ktk tendo.
A. Chifupa si issue yenye mantiki kiasi cha kupoteza muda wa wachangiaji wa JF.

Wale watetezi wa "mambo binafsi" tunaomba mje mumpe somo Sisterv, naona kaingia na moto mwingi. Sisterv kwanza karibu ukumbini (sio chumbani) baada ya hapo kwa haraka haraka taratibu zetu hapa (unwritten) hayo uliyo yaanisha hapo juu ni mambo binafsi, udaku, kashfa, na matusi (regardless utatoa ushahidi solid au circumstancial)

Ninachofanya ni kukusaidia tu Sisterv utaniwia radhi tunafungwa na "kanuni" na jisikie huru sikulazimisha uyafuate hayo ni ushauri tu na wala sikutumwa....
 
Ndiyo yule waliompelekea maombi na mwanakjj? ili JK apate mabalaa. walisema ugonjwa wa homa ya ndege usiondoke ili wananchi waone CCM si lolote na iwe bakora kwa JK. migomo izidi. kweli ilikuwa misa ya kijinga sana. hakukuwa na comments.
tuko nao mzee masatu.

Mswahili please nieleze kuhusu hili maana nipo gizani. Inamaana watu waliomba misa taifa lipate mikosi kumkomoa JK?
 
Mkuu Mwanakijiji,

Mimi nimeshindwa kuelewa kwenye hii thread unataka kuongelea nini? Mbona kama haya ni mambo binafsi ya Amina na familia yake?

Kuumwa pia ni mambo binafsi. Sioni tofauti ya hii thread na ile ya kule kwa Zitto.

Labda nifafanulie kwanini unaona hapa kuongelea mambo ya Amina ni ruksa lakini kule kuongelea ya Zitto ni mambo binafsi?

Mwanakijiji yuko bias sana na anajaribu kuwavuta watu kama kumrushia kuku mahindi. Huwa napenda sana kusoma hoja za mwanakijiji ila baada ya kuona ushabiki wake umezidi nimeboreka. Nakumbuka mwanakijiji huyu alishawahi kusema amejiondoa kwenye hili swala hasa pale Zitto anapotajwa kwa madai kuwa na la kifamili lakini pia anaonekana kulizungumzia tuu pale linapohusu EN kwa mtindo huu hoja hazitajadilika kwa manufaa ya watanzania bali ni za kichama na za washikaji maana issue kama haimhusu mshikaji basi mtu kimya. Najua kila mtu anaitikadi zake za kisiasa lakini hii ya Uchadema na uccm inaboore
 
Masatu,
Kwani we ni Admin wa JF? Ina maana unakipimo cha kupima ni yapi: mambo binafsi, udaku, kashfa, na matusi !
Usinielewe vibaya, hoja yangu ni kwamba swala la A. Chifupa halipaswi kuwa na uzito na kuchukua nafasi kubwa ya mjadala kwenye JF na wala si vyinginevyo.
Halafu siwezi kupokea mwaliko wa aina yoyote kutoka kwa watu wenye kuwa na upeo kama wako...
 
SisterV

Taratibu dada! siku mbili tu, tayari bifu na 'wabishi' wa JF. Hapa bwana udaku ndio mahala pake, hata umbeya na uzushi vyote vinakubalika, huhitaji ushahidi ila wahusika yakiwagusa watakuja kujitetea kwa majina tofauti.

Pamoja na hayo, usiukatae mwaliko wa wana-JF na mie naongezea karibu sana dada SisterV
 
Masatu,
Kwani we ni Admin wa JF? Ina maana unakipimo cha kupima ni yapi: mambo binafsi, udaku, kashfa, na matusi !
Usinielewe vibaya, hoja yangu ni kwamba swala la A. Chifupa halipaswi kuwa na uzito na kuchukua nafasi kubwa ya mjadala kwenye JF na wala si vyinginevyo.
Halafu siwezi kupokea mwaliko wa aina yoyote kutoka kwa watu wenye kuwa na upeo kama wako...

Hey! yamekuwa haya! Hold on a minute sisterv... umeandika paragraph 2 tu lakini kuna BIG discrepancy! Unadai HOJA yako ni kuwa suala la AC halipaswi kuwa na uzito na kunachukua nafasi ya mjadala kwenye JF... halafu unalijadili kwa upana zaidi na kumwaga "mi-data" ya kina Karamagi, bank reports... ukaenda mbali ukasema Zitto anafikisha! wow! shughuli pevu.

Huna haja ya kuchukua ushauri kutoka kwa mtu mwenye upeo kama wangu sisterv, pumba zangu niachie mwenyewe.
 
Mswahili umeniuliza hivi

Naomba ushahidi wa mtu kuikosoa serikali anaambiwa ni mkristu au mtu wa bara? Vinginevyo utakuwa umeamua kusema uongo.

....................

narudia tena wewe umesema umefundisha chuo kikuu cha Dar miaka zaidi ya kumi nipe ushahidi wa maneno yako kuwa mtu akiikosoa serikali kwa mambo yaliyowazi anaambiwa ni Mkristu?

Mzee Kichuguu naona sasa mnataka kutugombanisha watanzania au kuna njama za kumuhujumu JK na serikali yake. naomba ushahidi kama wewe unavyotaka ushahidi wa kuthibitisha kuwa Zitto alimchukua AC.

Nakukumbusha kuwa ni wewe uliyesema hivi, jambo lililonirusha kwenye kiti na nywele zangu zikasimama kwa mshangao:

Tn.

1.Mwanzo Nilijua vita ni kwa Ditopile kwa vile kaua. baadae nimekuja kugundua kuwa kulikuwa na zaidi ya kifo cha dereva.na mkatumia mkasa huo kupitisha hasira zenu.kisa ni Mswahili mwenzangu.

2. Mzee Mwinyi alipokuwa rais kundi la Mbatia na kimaro wenye asili za kilimanjaro, lilimchora na kuweka picha zake za nguoni-1990s na kuzuka migomo ya nguvu.sababu sikuzijua-sasa napata picha kuwa ni uswahili wake ulikuwa kero kwenu.

3. Mkapa alipokuja hakuna mgomo vyuo vikuu, sababu ni shemeji yenu jibu nimepata.hakukuwa na waraka wa Mbowe wala Kijijini leo hii.

4.Kaja JK migomo upya,na viredio vya uvunguni,nyaraka za mbowe n.k, kumpiga vita na kuchochea wanafunzi kisa ni mswahili.

5. Tanzania njema kumuunganisha Dau kwenye jina langu ni katika mfulilizo huo huo nilioutaja hapo juu.sikushangai kisa mswahili hasitahili kwanini usimuulize Mkapa ndio aliyekuwepo wakati hiyo issue?.

Jamani mmekaribishwa mjini bado mnaona wenye mji hawastahiki na kuwapiga vijembe kiasi hiki? mnataka wahame mji? wake zao ndio hivi mnawachukulia (mpakanjia) bado hamkinai?.

Mambo haya yanazidi kututanabaisha kuwa kadri utakavyowaweka karibu hawa watu na kuwafanyia ihsani wao hawana shukrani wala kheri.

kwa crusades hizi namshauri JK abadili hata madaktari na mabody guard wenye asili za ajabu ajabu.wanaweza kutupotezea rais wetu kwa kumuhujumu, maana wanaona waswahili si mahala pao kuongoza

JK wakumbatie tu usije kujuta watu hawa hawana kheri wala shukrani waangalie kwa macho mawili..

Nafahamu kuwa historically waswahili ni watu wa ukanda wa pwani ambao kwetu unaanzia Mkoani Tanga hadi Mkoani Songea ukijumuisha visiwa vya Unguja, Pemba na Mafia. Kwa hiyo, ndiyo maana viongozi kama Mwinyi wa Unguja, Kikwete wa Bagamoyo, na Kawawa wa Lindi ni waswahili. Kwa tafsiri hiyo hiyo Mkapa wa Mtwara naye ni mswahili, hata hivyo inaelekea uswahili wake kwako una walakini kwa hiyo hahesabiwi kama mswahili wa pwani.

Katika mifano yako ya migomo pale chuo kikuu, bila hata kuangalia kiini cha mgomo wenywe, wewe umesema ni ya kumpinga rais mswahili. Umesahau kuwa kama hakuna rais aliyepata msukosuko wa migomo chuo kikuu kama Nyerere, lakini hukumtaja; tena migomo wakati wa Nyerere ilikuwa ni ya kisiasa zaidi ya hii ya siku hizi ambapo wanafunzi wanadai maslahi.

Migomo wakati wa Mwinyi ulifanyika mimi nikiwapo, haikuwa inalenga serikali, bali ilikuwa inalenga utawala wa chuo. Mwinyi wakati huo akiwa chancellor aliombwa awawajibishe watawala wa pale mlimani kuendana na philosphy yake ya kuwajibika kwa vile walikuwa wanafuja fedha za wanafunzi, lakini yeye akapiga chenga, ndipo wanafunzi wakamwona kumbe naye hakuwa na msimamo katika jambo hilo. Wakati wa utawala wa Mkapa sikuwapo lakini najua kuwa wanafunzi walifanya mgomo fulani uliofanya uongozi wa chuo kujiondoa katika kusimamia fedha ya wanafunzi, nadhani kuanzia hapo wanafunzi wakawa wanapata fedha zao moja kwa moja kutoka wizarani badala ya kupitia chuo kikuu, lakini migomo hiyo ya wakati wa Mkapa hukuiona. Mgomo wa juzi ulikuwa wa wanafunzi kudai yale waliyoahidiwa na Rais Kikwete mwenyewe wakati alipokutana nao pale ukumbi wa Diamond, siyo mgomo wa kisiasa kama ule aliofanyiwa Nyerere kupinga maamuzi kadhaa ya serikali. Lakini wewe umehitimisha kuwa ni kumpinga rais mswahili.

Sasa kama wanafunzi kudai jambo ambalo ni haki yao na waliahidiwa na rais wao wewe unasema ni njama kwa vile rais ni mswahili, na katika uswahili wako umemuengua Mkapa, msomaji atakuwa ameelewa nini kama siyo sawa na nilivyoelewa kwenye post yangu ile?
 
Niliahidi week end hii kuitumia vilivyo, tulikubaliana na Bi sent 50. naona katoa timu. unajua nikikamua leo jumapili watu wa kumwaga na mzee adm. hayupo.nina file la Zitto nataka kumkabishi BI senti 50.

Madilu hiyo picha yako juu utafikiri umevaa kanzu mpya!

Anyway nashangilia ushindi wa Stars. karibu kahawa mwinyi,

Nitumie hilo file mswahili. Nalisubiri kwa hamu!
 
Tanzania njema kumuunganisha Dau kwenye jina langu ni katika mfulilizo huo huo nilioutaja hapo juu.sikushangai kisa mswahili hasitahili kwanini usimuulize Mkapa ndio aliyekuwepo wakati hiyo issue?.

Jamani mmekaribishwa mjini bado mnaona wenye mji hawastahiki na kuwapiga vijembe kiasi hiki? mnataka wahame mji? wake zao ndio hivi mnawachukulia (mpakanjia) bado hamkinai?.

Mambo haya yanazidi kututanabaisha kuwa kadri utakavyowaweka karibu hawa watu na kuwafanyia ihsani wao hawana shukrani wala kheri.

Mswahili kumbe rangi yako wewe ndiyo hiyo? Kumbe siyo tu una tatizo na wachagga bali unatatizo na watu wa "kuja". Kumbe tatizo lako siyo kwamba kuna watu wamefanya jambo fulani bali tatizo lako ni kuwa waliofanya hivyo ni watu wa kutoka nje ya "mji"? Kaka una matatizo! Na wale wachache wa bara waliofanikiwa huko pwani ni kutokana na 'ihsani". Sasa kama hutaki watu wa bara pwani si useme tu ili yaishe?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom