Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Heshima mbele wazee wote waliotangulia kwenye hii mada, na hasa Mzee Mwanasiasa kwa msimamo mzito usiokuwa na unafiki wala sura mbili, na I pray kuwa one day forum nzima tutakuwa hivyo bila kujali mapenzi ya vyama vyetu hivi mbuzi na uchwara!

Halafu lazima nihalalishe kuwa kuliongelea hili jambo hapa ni sawa kabisaa, hasa kutokana na the fact kwamba Mheshimiwa Zitto, ni mjumbe hapa na anelewa fika kuwa hapa, ni giladi kumkoma nyani huwa hatuangalii uso ni wa nani, hal;afu wote wawili ni wabunge wa taifa letu, na aliyeandikiwa barua ni Spika wa bunge letu pia, sasa kama hatuwezi kuongelea haya hapa tutayaongelea wapi? If the kitchen is tooo hot jamani si tunajua where the door is?

Hizi habari nimezipata leo asubuhi, na baada ya kuzifuatilia kwa makini na kupekua pekua mpaka ndani, ni kwamba zina ukweli wenye ushaidi na "UKWELI" usiothibitika,

(1). Suala la uhusiano wa kimapenzi kati ya Zitto na ac, ni la kweli, yaani ukweli uliothibitishwa, isipokuwa limenishitua sana maana ninajua for a fact kuwa huyu dada alikuwa akimalizana na el, tena hata moja kati ya vi-message ambavyo hutumiana kwa kutumia vile vikaratasi vya njano mle bungeni ninacho ambako mtu mzima anaomba mke wake asijue iwe siri sana kati yao!

(2). Kuhusika kwa en, sina ukweli uliothibitishwa, isipokuwa siwezi ku-rule out, but nitasema hivi Amina ni mtandao halisi na ndiye aliyetumwa kumpa message Msekwa asichukue fomu ya uspika, na alitumwa na ra na el, lakini alipoanza maneno ya wauza unga tayari alikuwa anagusa interest za baadhi ya wanamtandao kwa hiyo it was just the matter of time kabla hawajamfundisha adabu, ninajua for a fact kuwa aliyeongea na mume wa ac alikuwa na ushaidi mzito, yaani mkanda wa video uliotengenezwa kwa kutumia simu za kisasa, hiyo ni fact ambayo mume alionyeshwa ndipo aakamua kutoa talaka!

(3). Kuna any interest ya hii ishu na uchaguzi wa mwenyekiti wa UVccm? Sina uhakika, ila ninajua kuwa en hawezi kugombea tena huo uenyekiti kwa sababu ya umri wake, mwisho ni miaka 35, but, the lesson learned kwenye uchaguzi uliopita, ni lazima kuwa sambamba kati ya mgombea na mwenyekiti wa UVccm ili kushinda ndani ya ccm, en tayari amesshanzisha kundi lake na upande wa pili kuna kundi la m, ac amekuwa caught in the middle, maana enzi zile alikuwa kundi la muuungwana, ambaye sasa hana time tena na haya makundi, ninajua kuwa en anataka kumuweka mtu anaye mtaka, na ninajua kuwa that will be, ama sivyo ataondoka mtu, kama kweli ac alikuwa ananyemelea hicho cheo, ningemshauri tu ajiweke sawa na en, au ajitoe maana hawezi kushinda, amuulize Gama, mzee mwenye mke ambaye ni mtoto wa baba wa taifa, alivyotupwa chini na huyu bwana mdogo en!

Now, kitendo cha mume wa ac kumuandiikia barua Spika, bado sijakielewa ila ninakifuatilia kwa makini na by kesho nitapata jawabu, but ninajua kuwa huyu mume jina lake limo kwenye list ya wauza unga sio siri, aliyopewa muungwana, kwa hiyo inawezekana kuwa anajaribu kutumia hii opportunity kujiweka sawa na "the powers", isipokuwa huwezi kum-dismiss tu kuwa ni mpuuuzi kumuandiikia Spika, hapana kwenye siasa huwa hatufanyi hivyo mpaka uwe na facts!

Otherwise, ninamtumia salam za masikitiko Mheshimiwa Zitto, hawa kina ac ni watoto wa mjini ndugu yangu, jitafutie kigoli mbichi huko Ujiji anayejua kusaga mawese, huenda huyu ac alikuwa anatumwa ndugu yangu ili wakumalize kisiasa, maana hao waliomuonyesha video mumewe hawana mwiko mbele ya power, Zaramo huwa tunasema "...mjini taaabu..." ndugu yangu, nimesikitishwa sana Mheshimiwa maana leo hiii ndio ilikuwa breakfast ya "the powers" leo kila mahali ilikuwa kicheko,

Sasa kwa sababu pia ya kuheshimu presence yako hapa kwenye forum, I am with you bro na ninakuombea uweze kulipita hili bila damage kubwa politically, maana taifa letu linahitaji vichwa imara kama chako Mzeee, ukiweza tafuta busara za wazee bro usije ukajiingiza kichwa kichwa tena maana huu ni mtego bado haujaisha,

Sala zangu ziko nawe Mheshimiwa Zitto, Mungu akujalie ulipite hili, maana ndio hasa kinachotufanya tuitwe Bin-Adam, yaani wapungufu!
 
its seems amos makalla.,en confidant eyes the UV seat too,i am not sure with his age ,but juzi en alikuwa akimtambulisha kwa wabunge mbalimbali pale dom....lets wait and see...
 
Mzee ES.. nimefurahia ulivyomalizia... kuwa mbingu na nchi havikuvunjika!!! kijana anaweza kabisa kujitengeneza baadaye..
 
Haya yote yangeepukika ikiwa wabunge wanawake wangetenganishwa kukaa mahala pamoja na wenzao waume! aidha uvaaji usiokuwa wa adabu wa baadhi ya wabunge wanawake ktk bunge la Jamhuri unachangia mfadhaiko wa akili wa wabunge wanaume na kusababisha matamanio ya ngono miongoni mwao!!

Mimi sitashangaa kusikia kwamba hata ndani ya bunge la Jamhuri kuna chumba maalum kisicho rasmi kwa ajili ya shughuli za ngono! hapa ndipo waheshimiwa wetu tuliowachaguwa ili kupitisha sheria za nchi walipotufikisha! kama kweli waheshimiwa hawa wanahusika na kashfa hizi za ngono basi hii itakuwa pigo kubwa dhidi ya kampeni za kupambana na UKIMWI! kwani kwa mujibu wa tuhuma ni kwamba waheshimiwa wabunge wetu hasa wa CCM wanaume wamekuwa wakipokezana kwa zamu kufanya ufuska na mheshimiwa mbunge mmoja! sasa kama ni kweli haya yamefanyika ningependa kuwauliza NDUGU WAHESHIMIWA WABUNGE WETU swali la nyongeza lenye vipengele viwili kama ifuatavyo:
(a) Jee, wakati walipokuwa wakifanya ufuska wao walikumbuka kuvaa soksi???
(b) Jee, waheshimiwa watakubaliana na mimi kuwa wakati umefika wa kupima damu ili kutuondolea shaka sisi wapigakura wenu kuwa hamjaambukizana virusi vya UKIMWI???
 
Nimekuwa nafuatilia mada hii kwa muda mrefu sana tangu ilipoanza bila kusema lolote kwa vile ilikuwa inanichanganya kama vile ni ya udaku wakati huo huo ikiwa inahusu maadili.

Kwa sasa nitachangia kwenye udaku halafu baadaye ndipo nitachangia kwenye maadili.

Kuna maneno mengi sana ya mitaani yanayoonyesha kuwa huyu binti ni mwepesi sana wa kukubali kulala na wanaume. Hata kabla hajawa mbunge, inasemekana kuwa alishalala na wanaume wengi sana huku akiwa mke wa mtu. Baadhi ya wateja wake walisemekana kuwa ni viongozi wakuu mbalimbali wa CCM ikiwa ni pamoja na huyu "DR" Nchimbi na wanamuziki maarufu wa bongo fleva mpaka mme wake akaingilia kati kwa "kuwalipa Mlimani Park wamtungie wimbo wa kuwaomba wanamuziki wao wasimlie mke wake." Kulikuwa pia na tetesi kuwa alitembea na tajiri mmoja wa BOT aliyekuwa akisadikiwa kusambaza HIV makusudi kwa wasichana wadogo wadogo maarufu waliokuwa na tamaa ya vitu huku akiwapa zawadi nyekundu za thamani kubwa kubwa.

Pamoja na maneno yote hayo, hakuna aliyewahi kutoa ushahidi kamili kuyathibitisha. Hakuna mwanamme hata mmoja niliyewahi kusikika akisema kuwa alilala na binti huyu na kuprove mnaneno yake kwa namna yoyote ile. Vile vile hakuna aliyewahi kutoa ushahidi wa kumwona binti huyu akiwa anaingia nyumba ya faragha na mwanaume yoyote. Kwa hiyo ndiyo maana nasema kuwa pamoja na dosari zake za kiakili binti huyu, kuna uwezekano mkubwa sana mambo mengine anazushiwa.

Katika kesi iliyoko mezani, ushahidi uliotumiwa ni kuwa dada Amina alionekana kwenye hoteli moja pale DOM akiwa na bwana mdogo Zitto huku Amina akiwa amevaa koti la Zitto. Hakuna maelezo ya kutosha kuonyesha kuwa koti hilo alilivaa kwa muda mrefu au alilijaribu tu kiutani; vilevile hakuna maelezo yoyote kuwa Amina na Zitto waliingia pamoja pale hotelini na kutoka pamoja kuelekea kusikojulikana. Ninaloona ni kuwa watu wanalikuza tukio hilo beyond proportions. Hata kama Zitto na Amina kweli walikuwa na tamaa za kimwili, bado siamini kuwa wanaweza kuwa wapumbavu kiasi cha kushindwa kujificha mpaka waonekane hadharani vile.

Hata hivyo inawezekana kuwa ni kweli huyu mwanadada alikuwa akiliwa kirahisi sana na viongozi wa CCM kiasi kuwa kila wakimwona na anachangamka na mwamme yeyote wao wanajua tu kuwa ndiyo ngoma imeshaliwa, kwa hiyo "DR"Nchimbi alipomwona binti huyu "anajaribu" na koti la Zitto akatuhumu moja kwa moja kuwa mtoto keshaliwa. Hiyo ni hatari katika kutekeleza majukumu yake kama kiongozi.
 
Mimi bado nipo na Zitto,
Ngono kati yake na Bibie hainipi homa kabisa kwani hapo walikutana Zitto na Amina..hayo ndio maslahi binafsi yanayokubalika ktk siasa hata Prince Charles alishindwa.
Kosa labda ni pale tunapokuta bibie ni mke wa mtu lakini kama nilivyosema hatuwezi kumhukumu Zitto ama Bi Amina kama walivyoshindwa wafuasi wa Yesu....
Tukumbuke tu kwamba Maria Magdalena alikuja kuwa mcha Mungu zaidi ya wengi waliotaka kumuua kwa mawe. To my knowledge, one of the strongest believer!
Hii kama ilikuwa mbinu ya CCM dhidi ya Zitto basi wamekwama maanake sidhani kama kuna sheria bungeni inayokataza ngono baina yao laa sivyo litafumka kubwa kuliko la Zitto.
Toto hilo (Amina) toto roto shurti walila kwa ubwabwa wa moto!... Na kakikuta kidume! lazima bwana atangaze talaka... unafanya mchezo!
 
Hivi huyu Amos Makala sio yule aliyewahi kuhusishwa na kifo cha mtoto wa Malecela (Ipyana)?
Ukidhani wanamtandao ndio wataaluma wa mchezo mchafu basi yabidi kwanza urejee kwenye michezo michafu inayofanywa wakati wa chaguzi za UVCCM.Nilibahatika kushuhudia ule mmoja ambao one of the candidates was huyo mtotowa Malecela.Sio utani babake,hapo ilikuwa ni mchanganyiko wa utoto wa mjini,ushirikina,kuzushiana kashfa na kila aina ya dirty trick unayoweza ku-imagine.
What's interesting here,sio kwamba kampeni za uchaguzi mkuu wa UVCCM zimeanza mapema sana,they always do.Ishu hapa ni kwamba tutarajie vituko vingi sana kati ya sasa na 2010.Kwanza tuna hilo chaguzi la CCM ambapo UVCCM ni chombo muhimu sana katika kufanikisha ushindi wa mgombea,then unakuja uchaguzi wa UVCCM yenyewe,na hapo watu watataka kuweka "vijana" wao kwa ajili ya 2010,na mwishowe ndio ngoma yenyewe ya 2010.Niite Sultan Njozi,lakini kwa jinsi mambo yanavyokwenda,sekeseke la 2010 litakuwa mtandao vs mtandao.Kwa mantiki hiyo,katika chaguzi tangulizi (ie huo wa ccm na wa uvccm) tutarajia kuonyeshwa "trailers" za namna picha itakavyokuwa 2010.
Can someone tell me kwanini EL yuko karibu na Amos Makala?Au ndio hizo nyepesi nyepesi kuwa EL nae anataka urais regardless kama JK atataka kuendelea au la.
Naafikiana kabisa na wajuzi wa mambo kwamba Kabwe anaweza kujikuta anaishia kuwa mbuzi wa kafara kwenye power plays hizi za wanaccm.
On a lighter tone,pengine conspirancy theories zifiatazo zinaweza kuwa na majibu ya nini kinachoendelea:
1.EL ameamua kulipa kisasi baada ya kifaa chake AC kuchukuliwa na Kabwe.
2.Nchimbi ameamua kulipa kisasi baada ya kutorejeshewa fadhila zake zilizomfikisha AC hapo alipo.Pia anaweza kuwa amechukia coz inadaiwa nae alishawahi kumpitia AC.
3.AC anapakaziwa kwa vile anataka kugombea uenyekiti wa UVCCM
And the funniest and craziest of all
4.Medi (Mpakanjia) anataka kugombea uenyekiti wa UVCCM lakini kikwazo ni AC....(I can see you laughing....hii ya mwisho ni ya kuchangamsha baraza tu)
 
hivi kama ingekuwa ni kesi ya binti wa mtaani amelala na mbunge mume wa mtu, ingekuwa habari ya kutisha hivi? Hivi kinachowauma hawa waheshimiwa ni kuwa dada katembea na wengi? angekuwa mwanamme anadaiwa kutembea na wanawake wengi angepigwa madongo hivi au ni wanawake ndio hawaruhusiwi kutembea na wanaume wengi?
 
Hizi habari nimezipata leo asubuhi, na baada ya kuzifuatilia kwa makini na kupekua pekua mpaka ndani, ni kwamba zina ukweli wenye ushaidi na "UKWELI" usiothibitika,

(1). Suala la uhusiano wa kimapenzi kati ya Zitto na ac, ni la kweli, yaani ukweli uliothibitishwa, isipokuwa limenishitua sana maana ninajua for a fact kuwa huyu dada alikuwa akimalizana na el, tena hata moja kati ya vi-message ambavyo hutumiana kwa kutumia vile vikaratasi vya njano mle bungeni ninacho ambako mtu mzima anaomba mke wake asijue iwe siri sana kati yao!

Mzee Es,

Nilipost hapo juu kabla hujaweka hii; inaelekea post zinakwenda haraka haraka sana. Topic hii ni hot sana. Kama mambo ni haya basi tena.
 
Almanusura nisahau.Nilisikia nyepesi nyepesi moja kwamba AC aliwahi kuwa na uhusiano na Dully Sykes na akakolea hadi akamnunulia gari.Mpakanjia aliposkia akaamua kutumia ile njia ya watoto wa mjini.Akawadakisha kilicho cha wanaume wa shoka,nao bila hiana wakamfanyia kitu mbaya mwana-bongofleva huyo.
La AC kuwa anagawa ovyo kama peremende halina ubishi na ilikuwa suala la wakati tu kabla hajasababisha kashfa ya mwaka.Pengine ni vema Mheshimiwa Kabwe akachukua hatua za tahadhari ili asije akakumbwa na yalomkuta Dully Sykes.
 
mswahili
JF Senior Expert Member Join Date: Wed Sep 2006
Posts: 427
Rep Power: 21




--------------------------------------------------------------------------------

Heshima zetu wakuu.

Suala la Amina na Zitto halikuwa na kificho ndani ya bunge. kwa mshangao mkubwa Phillimon mikael ambaye ni mtu tuliyekuwa tunamtegea ameamua kumtetea ZITTO kwa vile ni mfuasi wake.

phillimon mikael huoni aibu kumtetea mtu anayekula mke wa mtu mchana wazi?
ina maana mkiingia madarakani wake zetu itakuwa chakula chenu? kama Zitto kaweza kuchukua mke wa mtu atashindwa vipi kuchukua rushwa na kutuingiza kwenye kashfa za Rada? sifa za kiongozi ni kuaminika kwa watu wake na kuwa na sifa njema kwa wananchi, kwa hali hii mtu ukiwa na mkeo wakati wa kampeni usimruhusu aende kwenye kampeni za Chadema.

Mwanakijiji.

Unazidi kujishusha hadhi yako kwa kutetea ujinga yaani unapinga Zitto hajafanya kosa anasingiziwa tu. Phillimon Mikael hajakanusha na anashabikia jambo hilo. Zitto mwenyewe anakubali kuwa yuko karibu na Chifupa kwa vile mtu makini na anafaa kufanya nae kazi. wewe unabisha tu kwa vile aliyefanya ni Chadema. wewe na Phillimon nani chadema zaidi? wewe na Mwanasiasa nani anaijua chadema zaidi? Mwanakijiji kuwa Neutral mke wa mtu anachukuliwa wewe unasema sio issue? jee issue ni kuandika barua kwa Rais JK kisa Tanzania Daima limepewa onyo.

WANABODI.

Huyu ZITTO KABWE ajiuzulu na hafai uongozi labda aongoze wanaume tu.
last week CEO wa BP Lord Browne amejiuzulu kutokana na kashfa hizo hizo za KI ZITTO.

Waziri wa Mambo ya ndani wa U.K David BLUNKETT alilazimika kujiuzulu kwa kujaribu kumsaidia kupata visa mtumishi wa kimada wake ambaye hakuwa mke wa mtu. leo ZITTO kavunja ndoa ya Mpakanjia lakini Phillimon na Mwanakijiji wanafagilia tu.

kama mnafuata sheria za western world wenzenu wamejiuzulu. haya ya kukaa na wake za watu kwa uaminifu yameshinda mnataka tuwape nchi?
 
Familia yampiga
‘stop' Amina Chifupa
Yakiri kapewa talaka moja


NA MWANDISHI WETU
LUTENI mstaafu Hamisi Chifupa ambaye ni baba mzazi wa mbunge wa viti maalum, Amina Chifupa, akizungumza na waandishi wa habari, katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dar es Salaam jana kuhusu tukio la Amina kuachwa na mumewe, Mohamed Mpakanjia. Kulia ni Mkurugenzi wa MAELEZO, Kassim Mpenda. (Na Mpigapicha Wetu).

http://www.uhuru.info/

Uhuru wameweka hii heading lakini hakuna Picha wala story.
 
Mswahili

Memory yako nzuri ya yale uliyoandika mwaka jana high five! hii kitu mie nimesema ni very stupid. Ngoma ale nani na nani alalamike. Wanasiasa wengi ni mafuska.
 
John Browne, Baron Browne of Madingley - Wikipedia, the free ...Lord Browne resigned from BP on 1 May 2007 [2] [3]. On 6 January, Browne won his first interim injunction against the allegations by his former homosexual ...
en.wikipedia.org/wiki/John_Browne,_Baron_Browne_of_Madingley - Similar pages

John Browne | Group Chief ExecutiveCareer: Lord Browne joined BP in 1966 as a university apprentice. Between 1969 and 1983, he held a variety of Exploration and Production posts in Anchorage, ...
www.bp.com/profile.do?categoryId=32&contentId=2015137 - 38k - Cached - Similar pages

BP Global - Press - BP Announces Lord Browne Succession PlanPress release: BP Announces Lord Browne Succession Plan.
www.bp.com/genericarticle.do?categoryId=2012968&contentId=7027555 - 44k - Cached - Similar pages

Lord Browne resigns after revelations he lied in court about gay ...Lord Browne, chief executive of BP, has resigned with immediate effect hours after it emerged that he had lied to the High Court about a four-year gay ...
www.telegraph.co.uk/news/main.jhtml?xml=/news/2007/05/01/nbrowne201.xml - 41k - 6 May
 
http://news.bbc.co.uk/1/hi/in_depth/uk_politics/2004/blunkett_resigns/default.stm
Hiyo ni link ya David Blunkett kujiuzulu. ZITTO Kabwe hao ndio wana siasa wakweli tuoneshe ukweli wako.

Mwanakijiji.
Kutoa visa kwa haraka kwa mtumishi wa ex-lover wake ili sababu ya resignation na kilichovunjwa kumpa visa kwa haraka si kama mtumishi hakuwa na right ya kupata visa. wewe mke wa mtu kaliwa unasema sio issue.ama kweli kupenda ugonjwa chongo utaita KENGEZA. HATUKUELEWI.
 
Mswahili,

Nadhani Zitto hajakataa ama kusema uongo kwamba katembea na binti ikiwa ni kweli katembea. Kisha hakutumia wadhifa wake kupata hicho alichokipata as a fact inawezekana Amina mwenye nafasi kubwa ktk serikali na Uongozi kitaifa ndiye mwanzilishi wa yote haya.

Je, ikija kutokea kwamba karibu nusu ya baraza zima wameisha wahi kutembea ngoma hii mwamuzi atakuwa nani?..
mimi nadhani huu ni mwanzo mzuri sana kwetu ktk Kufahamu kina cha maswala haya huko Bungeni..
Tukae mkao wa kula kuna habari nyingi zitafumka, kuna wengi wanatia nywele maji sasa hivi!
 
Last Updated: Friday, 4 November 2005, 15:35 GMT

Blunkett quits after 'mistakes'
David Blunkett admits making mistakes over his business affairs as he resigns from the Cabinet for a second time.

LATEST NEWS

'Times are tough', Blair admits

Hutton chosen to replace Blunkett

Blair a 'lame duck', says Howard

Agent attacks 'hounding'

Biotech company boss steps down

Tony's toll: Ministers who have quit the Blair government

In pictures
Images from David Blunkett's political career
Spotlight on Blair
Blunkett's fall and a Commons crisis fuel talk over Blair's future
The road ahead
What can Blunkett learn from what other ex-ministers did next?

FEATURES & BACKGROUND
Life and times of David Blunkett

Your views: Was he right to go?

Blunkett's fall captivates papers

Pension reform: Where now?

Little sign of Sheffield sympathy

Voters' panel give their views

Blair and Blunkett letters in full

Q&A: Blunkett resignation
RUN-UP TO RESIGNATION
Businessman defends Blunkett

I am not resigning, says Blunkett

Blunkett will sell biotech shares

Press maintain Blunkett focus

In full: Blunkett affair letters

In full: Blunkett statement

Blunkett letter 'honest mistake'

No 10 backs Blunkett
VOTE RESULTS
Was David Blunkett right to resign?
Yes
80%
No
20%
77482 Votes Cast
Results are indicative and may not reflect public opinion
Vote now closed

THE RESIGNATION

Blunkett steps down as home secretary

David Blunkett quits as home secretary after it emerges a visa for his ex-lover's nanny had been fast-tracked.
Mkandara.
Tumewatuma bungeni watuwakilishe, kutumia pesa zetu kufanya uchafu wao ni kosa wajiuzulu.
ZITTO baada ya kulewa mapenzi ya Amina akamshiti hawara yake aliyetoka nae mbali MUHONGA, na hii picha MUHONGA ameshiriki. watoto wa mjini wanasema wewe ukimwaga ugali na mimi namwaga mboga. pazuri hapo!
 
Mkandara.
Ujumbe upo hapo juu, ujue kuna MZEE MENGI ambaye ni mfadhili wa Chifupa kwenye uenyekiti. jee nae kala?

Mtafute Muhonga utafurahi. Mbowe aliambiwa usipeleke watoto bungeni akaja juu na kusema kwani kuna kubeba vyuma huko? Hatimaye kina ZITTO wako picnic.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom