William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Heshima mbele wazee wote waliotangulia kwenye hii mada, na hasa Mzee Mwanasiasa kwa msimamo mzito usiokuwa na unafiki wala sura mbili, na I pray kuwa one day forum nzima tutakuwa hivyo bila kujali mapenzi ya vyama vyetu hivi mbuzi na uchwara!
Halafu lazima nihalalishe kuwa kuliongelea hili jambo hapa ni sawa kabisaa, hasa kutokana na the fact kwamba Mheshimiwa Zitto, ni mjumbe hapa na anelewa fika kuwa hapa, ni giladi kumkoma nyani huwa hatuangalii uso ni wa nani, hal;afu wote wawili ni wabunge wa taifa letu, na aliyeandikiwa barua ni Spika wa bunge letu pia, sasa kama hatuwezi kuongelea haya hapa tutayaongelea wapi? If the kitchen is tooo hot jamani si tunajua where the door is?
Hizi habari nimezipata leo asubuhi, na baada ya kuzifuatilia kwa makini na kupekua pekua mpaka ndani, ni kwamba zina ukweli wenye ushaidi na "UKWELI" usiothibitika,
(1). Suala la uhusiano wa kimapenzi kati ya Zitto na ac, ni la kweli, yaani ukweli uliothibitishwa, isipokuwa limenishitua sana maana ninajua for a fact kuwa huyu dada alikuwa akimalizana na el, tena hata moja kati ya vi-message ambavyo hutumiana kwa kutumia vile vikaratasi vya njano mle bungeni ninacho ambako mtu mzima anaomba mke wake asijue iwe siri sana kati yao!
(2). Kuhusika kwa en, sina ukweli uliothibitishwa, isipokuwa siwezi ku-rule out, but nitasema hivi Amina ni mtandao halisi na ndiye aliyetumwa kumpa message Msekwa asichukue fomu ya uspika, na alitumwa na ra na el, lakini alipoanza maneno ya wauza unga tayari alikuwa anagusa interest za baadhi ya wanamtandao kwa hiyo it was just the matter of time kabla hawajamfundisha adabu, ninajua for a fact kuwa aliyeongea na mume wa ac alikuwa na ushaidi mzito, yaani mkanda wa video uliotengenezwa kwa kutumia simu za kisasa, hiyo ni fact ambayo mume alionyeshwa ndipo aakamua kutoa talaka!
(3). Kuna any interest ya hii ishu na uchaguzi wa mwenyekiti wa UVccm? Sina uhakika, ila ninajua kuwa en hawezi kugombea tena huo uenyekiti kwa sababu ya umri wake, mwisho ni miaka 35, but, the lesson learned kwenye uchaguzi uliopita, ni lazima kuwa sambamba kati ya mgombea na mwenyekiti wa UVccm ili kushinda ndani ya ccm, en tayari amesshanzisha kundi lake na upande wa pili kuna kundi la m, ac amekuwa caught in the middle, maana enzi zile alikuwa kundi la muuungwana, ambaye sasa hana time tena na haya makundi, ninajua kuwa en anataka kumuweka mtu anaye mtaka, na ninajua kuwa that will be, ama sivyo ataondoka mtu, kama kweli ac alikuwa ananyemelea hicho cheo, ningemshauri tu ajiweke sawa na en, au ajitoe maana hawezi kushinda, amuulize Gama, mzee mwenye mke ambaye ni mtoto wa baba wa taifa, alivyotupwa chini na huyu bwana mdogo en!
Now, kitendo cha mume wa ac kumuandiikia barua Spika, bado sijakielewa ila ninakifuatilia kwa makini na by kesho nitapata jawabu, but ninajua kuwa huyu mume jina lake limo kwenye list ya wauza unga sio siri, aliyopewa muungwana, kwa hiyo inawezekana kuwa anajaribu kutumia hii opportunity kujiweka sawa na "the powers", isipokuwa huwezi kum-dismiss tu kuwa ni mpuuuzi kumuandiikia Spika, hapana kwenye siasa huwa hatufanyi hivyo mpaka uwe na facts!
Otherwise, ninamtumia salam za masikitiko Mheshimiwa Zitto, hawa kina ac ni watoto wa mjini ndugu yangu, jitafutie kigoli mbichi huko Ujiji anayejua kusaga mawese, huenda huyu ac alikuwa anatumwa ndugu yangu ili wakumalize kisiasa, maana hao waliomuonyesha video mumewe hawana mwiko mbele ya power, Zaramo huwa tunasema "...mjini taaabu..." ndugu yangu, nimesikitishwa sana Mheshimiwa maana leo hiii ndio ilikuwa breakfast ya "the powers" leo kila mahali ilikuwa kicheko,
Sasa kwa sababu pia ya kuheshimu presence yako hapa kwenye forum, I am with you bro na ninakuombea uweze kulipita hili bila damage kubwa politically, maana taifa letu linahitaji vichwa imara kama chako Mzeee, ukiweza tafuta busara za wazee bro usije ukajiingiza kichwa kichwa tena maana huu ni mtego bado haujaisha,
Sala zangu ziko nawe Mheshimiwa Zitto, Mungu akujalie ulipite hili, maana ndio hasa kinachotufanya tuitwe Bin-Adam, yaani wapungufu!