Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Jamani ,

Nimejaribu kuifuatlia hii habari lakini naona kuna maswali bado najiuliza :

1. Nchimbi anahusika vipi katika hii ishu ?

2. Huyu mwanadada na ndugu yetu zito walifumaniwa au ni hear say ?

Natanguliza shukrani ...
 
1. Zitto usibabaike, UGONI si sifa kwa mwanaume wa Kitanzania. Naomba mrejee makala ya Prince Bagenda akimzungumzia "raisi mtarajiwa."

2. Mbavu zinaniuma kusikia eti Bwana Mpakanjia kamuandia Spika kuhusu masuala yake na mkewe. Hivi Mpakanjia anamjua Spika vizuri? Kama hamjui, aulize ili apewe historia ya Spika alipokuwa kijana.

3. Wale waliokuwa wakimlinganisha Chifupa na Mbowe sijui wana maoni gani kwa kweli. Tupo tulioeleza toka mwanzo kwamba huyu Amina Chifupa hakuwa na background ya ku-serve ktk bunge la Jamhuri. Hapa sizungumzii suala la maadili tu, bali hata uwezo wa kujenga na kupambanua hoja.
Joka kuu.
Chifupa na Mbowe wanafanana tu na Chifupa hajafikia uchafu wa Mbowe hujui kama Mbowe alikuwa Mwanachama wa kudumu wa WAPUKI?
Joka kuu Historia ni somo muhimu sana.
 
Rufiji.
Hili la Kabwe sio siri na upinzani mkubwa alikuwa akiupata Chifupa walikuwa wakimwambia tukikupa UENYEKITI SI NDIO TUMEWAPA CHADEMA.
 
Jamani ,

Nimejaribu kuifuatlia hii habari lakini naona kuna maswali bado najiuliza :


Ngoja nikupe 411 za mpaka sasa....


1. Nchimbi anahusika vipi katika hii ishu ?


AC anaamini kuwa Nchimbi alionana na mumewe Medi Mpakanjia ofisini kwake; siku hiyo hiyo Mpakanjia alipofika home akampa mkewe AC Talaka. Hivyo AC anaamini Nchimbi ndio kampa mumewe fitna.

2. Huyu mwanadada na ndugu yetu zito walifumaniwa au ni hear say ?


Hajafumaniwa ila inasemekana pia kuwa Mpakanjia alionyeshwa video ya mobile phone ikionyesha tukio live kati ya mkewe AC na Zitto.

Natanguliza shukrani ...


Then...AC anaamini kuwa nchimbi alipata tetesi kuwa AC anataka kugombea M/kiti wa UVCCM na hivyo akatafuta namna ya kummaliza kisiasa. Ila kwa mujibu wa MKJJ Nchimbi amemsaidia Mpakanjia kumuandikia barua Spika Sitta juu ya yeye kumtaliki mkewe kwa sababu ya kuhusika kimapenzi na MB Zitto (Chadema)...natumai wewe na wanabodi wengine mtakuwa up to speed.
 
Watu wengine ni wepesi sana wa kusahau. JK hebu tuondolee huu upuuzi, nchi haiongozwi kwa uchawi na ushambenga.
 
Mkuu Yebo Yebo.

Nchimbi anaweza kugombea tena uenyekiti?naona amekaa vipindi viwili kumradhi mie sijui sana kanuni za UVCCM.
 
Mkuu Yebo Yebo.

Nchimbi anaweza kugombea tena uenyekiti?naona amekaa vipindi viwili kumradhi mie sijui sana kanuni za UVCCM.


Sina uhakika ila sidhani kama wanamuda wa vipindi 2 kama ilivyo nafasi zingine ila umri wake umezidi 35 hivyo hataweza kwa sababu ya muda...kwa mujibu mzee es.
 
Nashukuru kukuona hapa MSWAHILI maana kutwa nzima nilikuwa najiuliza UKO WAPI?

Nimeipenda hiyo ya LORD BROWNE wa BP uliyitoa na ningependa kuongeza hivi:
Lord Browne announced that:

"Concerning the court documents disclosed today, I wish to acknowledge that I did have a four-year relationship with Jeff Chevalier who has now chosen to tell his story to Associated Newspapers, publishers of The Daily Mail, Mail on Sunday and Evening Standard,"
Browne said.
"These allegations are full of misleading and erroneous claims. In particular, I deny categorically any allegations of improper conduct relating to BP," he added.

By the way huyu bwana was a man who liked to keep his business life separate from his private life:

"I have always regarded my sexuality as a personal matter, to be kept private," he said. "It is a matter of deep disappointment that a newspaper group has now decided that allegations about my personal life should be made public."
 
Tangu nijiunge kwenye forum hii sijaona stori iliyosambaa haraka sana kama hii. Utadhani moto kwenye nyasi zilizomwagiwa petroli. Mafunzo yatokanayo na stori hii:

(a) wananawake wote walioolewa wanashauriwa watunze heshima za ndoa zao. Bila wao kukubali kutoa uroda, wanaume hawawezi kuona ndani.

(b) Wanaume wote acheni kupenda "free-samples;" zinaweza kuwafedhehesha sana na kuwavunjia heshima.

(c) Wanasiasa wanawake na wanaume: Siasa inaweza kuwa mchezo mchafu sana hasa kama unechezwa na watu wasio wastaarbu. Tukiwa kwenye siasa tuache zile siasa za "personal destruction;" tuwe tunastick kwenye ishu za nchi.

(d) Katika nyakati hizi za Ukimwi, tunategemea viongozi kuwa mstari wa mbele kuonyesha mfano wa maadili mema dhidi ya ngono. Viongozi wanaoendekeza ufuska hawastahili kuliongoza taifa hili. Kabwe keshasema hatagombea tena kipindi kijacho; wale amabo bado wanategemea kugombea lazima waonyeshe mfano mzuri kwa jamii.
 
Yebo Yebo ,

kwanza natanguliza shukrani kwa majibu yako ila naomba ufanunuzi zaidi una maana gani unaposema Mpakanjia alionyeshwa video ya Amina na Zito live ? Live wakifanya nini ?

Mimi nataka kuangali hii ishu katika pande zote kwani kama Nchimbi anahusika mimi nimeanza kupata wasi wasi , kwani huyu kijana anaweza kufanya jambo lolote kwa ajili ya madaraka . Sio lengo langu kumtetea zito bali naona ili jambo limepata bad taste baada ya nchimbi kuingia humu ndani . Jamani lazima tujiulize maswali ni kwa nini Nchimbi ajisumbue kuandika barua kwa spika ? Mimi nadhani there is more to this story ....
 
Nimefurahi kukuona SAM umekuja NA NAWAOMBA mods msiifunge hii topiki ya NCHIMBI kwani kuna MAFAILI yake SAM anayo a=toka kule enzi za BCS

haya tena SAM tumwagie dossier la huyu NCHIMBI

NI NANI?
ASILI YAKE NI WAPI?
KAFIKIA VIPI NAFASI ILE
ALIHUSIKA VIPI NA KIFO CHA IPPY MALECELA?
ANA COMMAND GANI NDANI YA CCM?
JE AMBITIONS ZAKE ZIKOJE?
JE ANAKKUBALIKA?
WHATS THE CONNECTION NA CHIFUPA?
JE NI HATARI KWA USLAMA WATAIFA?
NA NI NAMNA GANI ANAWEZA KUMALIZWA (at least kisiasa)
 
Rufiji.
Usimguse dr.Nchimbi, ndugu yetu Nungwi atakuja kutetea kuwa ni msomi.

hakuogopa kukabidhi Phd na masters fake mbele ya Chama na serikali litakuwa hili? kwa qualification zake kama kafanya hiyo story atakuwa na matatizo.
Elimu yake ana ADVANCED Diploma, masters mbili na Phd kazifanya kwa wakati mmoja.inatakiwa aitwe Genius Nchimbi.
 
tumeambiwa kuwa SAM anayo dossier yake na tayari ishafunguliwa THREAD maalum ya huyo EMANNUEL NCHIMBI
 
Duuuh! Ebwana hakuna stori katika historia ya tovuti hii iliyovutia watu namna hii. Katika muda wa masaa 24 au chini, hii stori ina kurasa 16 na kuendelea......hii ni rekodi kwa Jamboforums!!!

Eniwei, si juzi juzi tu hapa kuna mtu fulani (kwenye thread nyingine) alimtuhumu Zitto kuwa analala na CCM (not sure whether literally or figuratively)? Did that person have some inside info......?
 
Nyani angalia hii thread ilianzishwa na nani....? utapata jibu wengine tulishajua penye moshi....
 
NImejaribu kujiuliza,
Zitto na AC walidunguana lini?
na kwa nini nchimbi asubiri mpaka recently ama ndio alikuwa anakusanya evidence na kuhakiki?

Off Track Lol kuna mtu kammention JK kwamba ni moto chini.. hii kitu nakumbuka mwaka fulani akiwa waziri trip za kwenda chuo usiku usiku zilikuwa nyingi kisingizo anakwenda "kumuona mwanae" wakato mwingine kijana halikuwa hayuko bwenini.
 
DEVILSADVOCATE
Unachanganya.. mambo mengine uliyoyasema sikuyaleta mimi ila Sam Original ambaye naona ameamua kupoa kidogo. Najua wazee wa UK halipitwa lakini tutakumbusha tu huko mbeleni. Kuhusu Chifupa sitaingilia sana hiyo kwani kuna maswali inabidi nijiulize hasa ukizingatia mtu aliyeileta hapa ni mtu wa chama. Mimi nitajadili na huyu mpuuzi. Badala ya kukaa ofisini na kungalia jinsi ya kuongeza ajira kwa vijana anabaki kupeleleza wakina nani wana****$#. Ni nani asiye****@#$? I had a good one year ya kupambananaye lakini nilishindwa vibaya, lakini siyo sasa. Niliondoka hapa baada ya kugundua kuwa kuna watu wa chama alikuwa wanajitahidi kununua hii forum kwa ofa kubwa na sikutegemea kama nitarudi tena hapa kwani nilikuwa najua tutakuwa tunaburuzwa tu. Nimeshindwa kabisa kujizuia kwa huu upuuzi alioufanya nimeongea na watu wa karibu wa Amina wamenihakikishiwa kuwa huyu ndiye mhusika mkubwa. Watu wanakosa ajira na mtu aliyepewa kazi hiyo anashinda kuchunguza ndoa za watu. JK fanya vitu vyako toa huu upuuzi au na wewe unaogopa masharubu yake?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom