Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Kichuguu.

Naomba neno wakristu hapo? au source nyingine? ulivyosema mwanzo na sasa kuna tofauti acha kutugombanisha. Naomba usome kauli ya Nungwi kwenye marupurupu kaweka wazi kila kitu.

Bi sent 50.

ulikuwa wapi jumamosi na jumapili?kama una ubavu nenda kwenye wanene na marupurupu? siwezi kushindwa na mtu ambaye hata viatu vya kupandia ndege alikuwa hana. jeuri hii kwa vile sasa una viatu?
 
Bi Senti 50, Tafadhali achana na mswahili nimeshapata mwanga ni nani na ukweli sidhani kama kuna chochote unachoweza fanya zaidi ya kumjenga umuhimu kwa watu ambao kwao mswahili amekuwa shujaa kwani anakidhi matakwa ya nyakati........kama ushindi wa Taifa Stars unavyokidhi matakwa ya nyakati huu kwa watanzania wengi na waheshimiwa wetu

Kumbuka kuwa kuna mwaka "wasomi" mlimani walimbeba Mtikila na wengi walimbeba na kukesha na Mrema, si unaona hata Bush mahitaji ya wasaa yalimfanya awe shujaa kwa mamilioni ya wamarekani?

Usijiumize kichwa ndugu yangu rudi kwenye issues tujitahidi kulinda hii Tanzania iliyobaki.......

Tanzanianjema
 
Tanzania njema, haya baba nimekusikia. Ila huu uswahili lazima tuanza kuushtukia.

Shukrani.
 
tanzania njema maneno ya mkosaji hayooooooooo, kwa lugha ya kwetu yaguuuuju.

ndio mnavyokimbia hoja hivyo eeeeeh hapa nyeupe nyeupe na nyeusi nyeusi ya kinigni si pahala pake hapa.

na unga wandere wala hamtoturambisha asilani
 
mbunge amina chifupa ambaye hajaonekana hadharani kwa muda sasa ,amelazwa katika hosipitali kuu ya jeshi LUGALO,..haijafahamika anasumbuliwa na maradhi gani...Mwenyezi mungu amjalie pona ya haraka!!!!!
 
Inawzekana sababu ya:

(a) Tatizo dogo la mwili kuchoka kukaa nyumbani muda wote huu bila kuwa active:-> atapona haraka na kurudi nyumbani

(b) Frustration/shock kutokana kuachwa na mumemwe-> maana yake: alimpenda sana mumewe.

(c) Frustration ya kutokana na fedheha ya ile skendo -> maana yake: kama skendo ile ni kweli basi hakutegemea itajulikana na kama si ya kweli basi anaumia sana kwa kuhukumiwa bila kosa.

(d) Frustration ya kukatishwa uwezekano wa kufikia ambition yake kisiasa-> maana yake: alikuwa serious sana katika plani zake kisiasa.

(f) Mwili kushindwa kufanya kazi kwa sababu za polonium:

-----(i) aligusa polonium-210 kutoka maabara za wanasayansi: Not ruled out, even a mild dose.
-----(ii) Alipatwa na radiation ya polonium-shamba iliyokolezwa na fundi mzuri: Not ruled out, TZ tuna mafundi wengi sana.

(g) Mwili kushindwa kufanya kazi kwa maradhi yake ya siku zote (prexisting conditions) -> hatujawahi kumsikia na maradahi yoyotye kabla, inawezekana ilikuwa siri yake, familia yake na daktari wake.

(h) malaria ya kawaida ambayo ingeweza kumpata mtu yeyote hapo Dar: -> hakuna cha ajabu sana.

Namkumbuka katika sala zangu kumtakia apate nafuu mapema na kuweza kurudi kwenye shughuli zake kama kawaida.
 
Inawzekana sababu ya:

(a) Tatizo dogo la mwili kuchoka kukaa nyumbani muda wote huu bila kuwa active:-> atapona haraka na kurudi nyumbani

(b) Frustration/shock kutokana kuachwa na mumemwe-> maana yake: alimpenda sana mumewe.

(c) Frustration ya kutokana na fedheha ya ile skendo -> maana yake: kama skendo ile ni kweli basi hakutegemea itajulikana na kama si ya kweli basi anaumia sana kwa kuhukumiwa bila kosa.

(d) Frustration ya kukatishwa uwezekano wa kufikia ambition yake kisiasa-> maana yake: alikuwa serious sana katika plani zake kisiasa.

(f) Mwili kushindwa kufanya kazi kwa sababu za polonium:

-----(i) aligusa polonium-210 kutoka maabara za wanasayansi: Not ruled out, even a mild dose.
-----(ii) Alipatwa na radiation ya polonium-shamba iliyokolezwa na fundi mzuri: Not ruled out, TZ tuna mafundi wengi sana.

(g) Mwili kushindwa kufanya kazi kwa maradhi yake ya siku zote (prexisting conditions) -> hatujawahi kumsikia na maradahi yoyotye kabla, inawezekana ilikuwa siri yake, familia yake na daktari wake.

(h) malaria ya kawaida ambayo ingeweza kumpata mtu yeyote hapo Dar: -> hakuna cha ajabu sana.

Namkumbuka katika sala zangu kumtakia apate nafuu mapema na kuweza kurudi kwenye shughuli zake kama kawaida.


Au njia nyingine ya kisasa ya kumnyamazisha (Kolimbalisation) iliyogunduliwa hivi karibuni na Nchimbi and company Ltd
 
Maradhi kawaida kwa mwana-adam. MUNGU amjaaliye apone mapema. Amina.
 
mungu ampe afya ilio bora na akili ilio angavu ili aweze kutimiza majukumu yake ya kila siku

ameen

nnauliza hivi tangia bunge lianze aliwahi kuhudhuria vikao?
 
Tumuombee Amina apate nafuu mapema ili arudi kulijenga Taifa la watanzania.Si akina Mama wote wenye ujasiri kama wa Amina,pamoja na mapungufu yake lakini bado ni kiongozi kijana (Mwanamama) ambaye kuwepo kwake ktk safu ya Uongozi kunachochea Vijana wengi wa jinsia yake kuingia ktk siasa.
 
kweli sasa nimeamini watu walikuwa wanaomba dua ili jk na serikali yake ipate mabalaa, lakini kwame pia sitoamini kwamba kuumwa kwa chifupa kunatokana na matakwa ya binaadamu ( ya mwanakjj ) hapana bali ni ya mwenyezii Mungu. na kama kuumwa yeye anaumwa na sio kwa kuwa skendo aliyokuwa nayo, either way baada ya skendo, still angeweza kuumwa. mnataka kusema pia msolla leo hii akiumwa itakuwa sababu ya mwanakjj kuropoka ovyo juu yake ? hell to the no, so the same case i apply it to chifupa. hakuna daktari hapa, na hivyo kama kuumwa sababu ya yale matatizo yake angeumwa tokea siku za mwanzo ambapo mambo yalikuwa yamewaka tofauti na sasa yalivyopoa.
naona watu wanataka kupata umaarufu kutumia tekniksi za mungu
 
Amina Chifupa alazwa


na Mwandishi Wetu

MBUNGE machachari wa Viti Maalumu (CCM), Amina Chifupa, amelazwa katika hospitali moja inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) jijini Dar es Salaam, imefahamika.
Habari za uhakika kutoka ndani ya hospitali hiyo zinasema, Chifupa alipokewa hospitalini hapo juzi usiku kwa ajili ya matibabu ya maradhi yanayomsumbua.

Vyanzo vya habari kutoka hospitalini hapo viliieleza Tanzania Daima jana kwamba Chifupa alikuwa amelazwa katika wodi ya watu maarufu (VIP) alikofanyiwa vipimo kadhaa na muda mfupi baadaye akaanzishiwa matibabu.

Habari zaidi kutoka hospitalini hapo zinaeleza kuwa wodi aliyolazwa mbunge huyo iko katika uangalizi wa karibu, kuliko ilivyo kawaida na watu wasiohusika hawaruhusiwi kufika katika eneo hilo.

Kutokana na hali hiyo, hata baada ya gazeti hili kupata taarifa za ndani kuhusu maradhi yanayomsumbua mwanasiasa huyo, limeamua kutotaja ugonjwa unaomsumbua kwa sasa.

Habari zaidi zinadai kwamba licha ya mbunge huyo kulazwa katika hospitali hiyo, jina lake halijaandikwa kwenye kitabu cha orodha ya wagonjwa na badala yake limeandikwa jina la ofisa mmoja wa jeshi.

"Chifupa kafikishwa hapa jana, na anasumbuliwa na … ila anatibiwa kwa siri kubwa na chini ya uangalizi mkali ambao unazuia hata sisi wafanyakazi wa hapa hospitali kutoikaribia wodi hiyo, labda uwe na shughuli maalumu," kilisema chanzo chetu.

Hivi karibuni Spika wa Bunge, Samuel Sitta, alilitangazia Bunge kwamba Chifupa ni mgonjwa, ndiyo maana ameshindwa kuhudhuria Kikao cha Bunge la Bajeti kilichoanza mapema wiki iliyopita.

Chifupa, mbunge kijana, amepotea katika macho ya jamii kinyume cha ilivyo hulka yake, tangu habari za kutalikiwa na aliyekuwa mumewe, Mohamed Mpakanjia, Mei mwaka huu ziandikwe katika vyombo vya habari.

Tanzania Daima ndilo lilikuwa gazeti la mwisho kufanya mahojiano na mbunge huyo wakati masuala yake hayo ya ndoa yaliporipotiwa.


source: http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/6/21/habari3.php
 
[
QUOTE=Mzee Es;43519]Kumbe source ni Tanzania Daima? gazeti la wenzetu hao kina Mheshimiwa mbunge, Duh kweli!
[/QUOTE]


Mzee ES

Thats nutrolization! Kwa hiyo si kweli?
 
tunapaswa tumuombee apone haraka arudi kilingeni,ila siasa za bongo sasa atakua amezijua,possibly kinachomsumbua ni presha iliyotokana na zahma,pamoja na aibu.maybe awasiliane na malecela amfunde"namna ya kuishi kwenye siasa za kuchafuana" amina alidhani siasa ingemtoa pasipo kuzingatia SWOT analysis.
 
nnaanza kutanguliza maombi yangu ya dhati kwa muumba wangu
ewe mola alieumba mbingu na ardhi nakuomba umponyeshe dada yetu na mbunge wetu Amina Chifupa na umpe akili yenye nguvu na afya ambayo itamuwezesha kufanya kazi zake kwa ufanisi.

mola wetu mpe nguvu ya kuyakabili majaribu na kuyashinda.
mpe moyo wa kusubiri na mwili wenye uvumilivu wa sulba.

ewe mola mfungulie baraka na rehema zinaotoka kwako na iwe baada ya dhiki faraji
ameen

nnaomba wanajamboforums tumuombee dua ndugu yetu

kama tulivyokuwea tukimsusuwika alipokuwa mzima nnaomba tumuombee kila la heri ktk huu ugonjwa wake
 
Mtu wamwitu
Nizuriwazolako kutokanana mchango wake shem wetu kwataifa nikweli pamojana dua pia nivizuri kama yuleeeeeeeeeee Mheshimiwa kidume naye akakusanya michango kule kwa ajili ya mgonjwa
[mhh Mwiku kashaula lakini]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom