Mswahili Old Acc
JF-Expert Member
- Sep 27, 2006
- 488
- 24
Pole sana bi Amina. Dua zangu ziko na wewe.sisi ndio marafiki wa kweli tuna nawe beneti kwenye matatizo yako. waliolikoroga wanajifanya kama hawajui nini kinaendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanakijiji,
Amina mbona yuko bungeni, je kazuiwa na nani? Ukitaka namba yake omba
na wana JF watakupatia. Huenda namba uliyokuwa nayo kabadilisha kwasababu hataki muendelee kumsumbua. wabunge wengi wanabadlisha namba zao kila mwezi.
Hata daktari hawezi kuongelea mambo ya ugonjwa wa mtu hadharani, haya ni mambo binafsi, mwache mbunge wetu aendelee kutuwakilisha bungeni bila
kuanza kujadili mambo yake binafsi.
Haya ni mambo binafsi kuliko hata ya Mbunge Zitto kula uroda wa mke wa mtu. Sasa kama kule umeona ni mambo binafsi inakuwaje huku ni mambo ya kitaifa?
Hizi ndio DOUBLE STANDARDS ambazo wengine tumezishutukia.