Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Pole sana bi Amina. Dua zangu ziko na wewe.sisi ndio marafiki wa kweli tuna nawe beneti kwenye matatizo yako. waliolikoroga wanajifanya kama hawajui nini kinaendelea.
 
Dua zangu ziko na dada yetu katika kipindi hiki kigumu inshaAllah Mwenyezi Mungu atamfanyia wepesi na kumpa afya njema.
 
(b) Frustration/shock kutokana kuachwa na mumemwe-> maana yake: alimpenda sana mumewe.

Ndg kichuguu hapa umechemsha, mtu anayempenda mume kiasi hicho anaweza kumsaliti kwa kugawa uroda nje???????????? hakumpenda kwa lolote na mimi nadhani katika ile ndoa yao hakukuwa na mapenzi ya dhati kila mtu alikuwa na lake kichwani alilokuwa analitafuta.

Kuumwa kwa amina kunatokana na aibu aliyoipata maana msichana wa umri wake skendo kila siku hata kama una moyo wa plastic huwezi vumilia ipo siku utashindwa...... huwezi amini amina sasa kaisha na kanyamazishwa hasa.

Mungu amsaindi ili apate nafuu haraka na aweze kuendelea na shughuli zake kama kawaida.
 
Maradhi kwa binadamu ni kawaida; pamoja na matatizo yake ya kisiasa, kuugua ni mapenzi ya Mungu na wala tusitafute mchawi au wabaya wake kisiasa kuanza kushangilia.

Tunamuombea apate nafuu mapema ili aendelee na ujenzi wa Taifa.
 
mungu ampe uzima wake,sisi waumini wa kiislamu tunaamini kuwa unapoumwa basi allah( s.w) anakuwa anakusafisha na madhambi yako,lkn zaidi tunaamini kuwa ukiwa mgonjwa basi mungu anakupenda zaidi anakuletea maradhi anataka umkumbuke na yy manake ukiumwa lazima utakuwa unamtaja mungu,so dada amina usiwe na khofu insh utapona tu mola akipenda.
 
Get well soon Mheshimiwa..
 

Attachments

  • Amina_Chifupa.jpg
    Amina_Chifupa.jpg
    15 KB · Views: 498
ushauri tu: tuunganishe mada zote za amina ili tupate mtririko kuanzia ile ya zitto/amina ..amina na madawa..ile ya mjj ya free amina...kuugua na hii ya mswahili ya taarifa rasmi ya kifo...

mnaonaje tukiita:: AMINA CHIFUPA; LEGACY... AU

AMINA CHIFUPA:MAISHA YA MAPAMBANO ,MIKIKIMIKIKI YA KIJAMII NA KISIASA..KUUGUA HADI KUFA
 
Na hii inatakiwa kuunganishwa?

Ni kwa sababu naona contents zinaoana sana
 
Wajumbe... Katika kuunganisha threads inakuwa ngumu kujua ipi iungane na ipi... Kwa mawazo ya wengi wanashauri Threads zinazohusiana na issue ya Amina ziunganishwe ili kuleta mtiririko mzuri hasa zile zinazoonesha issue ilikoanzia.

Je hii ndiyo iwe ya kuonesha mlolongo mzima wa ilikoanzia?
 
Pia kuna hii. Ni nyingi na nadhani kuziunganisha bado inahitaji reasoning. Waliotaka niziunganishe can you please help on ipi iungane na ipi?
 
Right; nyingi nimeziunganisha hapa baada ya kuona mtiririko ulikuwa unashabihiana kwa kiwango kikubwa.

RIP Amina
 
mtiririko mzuri lakini kama hii haitaunganishwa ni tukio kuu la KIFO ..haitachukua muda itazama..since interest ya visitors wengi ni kujua juu ya kifo...sasa ili wajue mtiririko mzima bora tu zote ziwe pamoja....naomba kuwasilisha!
 
hii isiunganishwe nnapinga ni matukio mawili tofauti.

moja inazungumzia mjadala akiwa hai na yanyojiri wakati ule.

na nyengine inazungumzia mauti yake na yatayojiri ziwache kama zilivyo

nnaomba kuwasilisha
 
Mwanakijiji,

Amina mbona yuko bungeni, je kazuiwa na nani? Ukitaka namba yake omba
na wana JF watakupatia. Huenda namba uliyokuwa nayo kabadilisha kwasababu hataki muendelee kumsumbua. wabunge wengi wanabadlisha namba zao kila mwezi.

Hata daktari hawezi kuongelea mambo ya ugonjwa wa mtu hadharani, haya ni mambo binafsi, mwache mbunge wetu aendelee kutuwakilisha bungeni bila
kuanza kujadili mambo yake binafsi.

Haya ni mambo binafsi kuliko hata ya Mbunge Zitto kula uroda wa mke wa mtu. Sasa kama kule umeona ni mambo binafsi inakuwaje huku ni mambo ya kitaifa?

Hizi ndio DOUBLE STANDARDS ambazo wengine tumezishutukia.

bowing my head..!
 
EMANUEL NCHIMBI (ALIYEVASUTI NYEUSI) KAMA KAWAIDA YAKE AKISHAMWONDOA MTU ANAJIFANYA HUMO SANA MISIBANI. MNAKUMBUKA ALIVYOKUWA KWENYE MSIBA WA IPYANA MALECELA? BASI NA KWENYE HII YA AMINA CHIFUPA NAYO YUMO ANAMKUMBATIA BWANA MEDI MPAKA NJIA ALIYEKUWA MUME WA MAREHEMU. HUYU NCHIMBI KAMA HAJAKUONDOA BASI ANAKUFANYA UNAKUWA ZEZETA

n11qi4.jpg
 
Ni kumbatio la namna gani hili? I wish I could get into that guy on the right chaboing...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom