Kashfa ya EPA: Mwanyika azidi kujichanganya

Kashfa ya EPA: Mwanyika azidi kujichanganya

''Yule bilionea wa Urusi wa kampuni ya mafuta Mikhail Khodorkovsky yuko gerezani kwa kosa la kukwepa kodi. Inaeleweka kwamba kampuni yake ya mafuta ndio ilikwepa kodi lakini yeye ndio alikuwa mmiliki na (Mkurugenzi(?)).''

Sasa kampuni ikifanya kosa anayewajibika ni uongozi, kampuni ikiibia serikali anyewajibika ni mkurugenzi au uongozi. Wataalamu wa sheria watusaidie hapa kuhusu sheria za makampuni za Tanzania, na sheria za jinai kwa upande wa makampuni.

Huyu jamaa mwanyika hajui anachokisema..na kukifanya..kshachanganyikiwa na ishu ya RICHMOND
 
Huyo Mwanyika awe anajua anachokifanya au la, awe amechanganyikiwa na Richmond au la, naye akae akijiandaa maana watanzania wameshaonyesha kuwa sasa wamechoka. Mimi kwanza siridhiki na utendaji wake kama mwanasheria mkuu (rejea ripoti ya Richmond iliyomwonyesha kuwa mtu ambaye hakuwa anaelewa chochote wakati deal zinachezwa). Sasa anapewa majukumu mengine mazito kama haya, ni lazima atakuja na utumbo tu.
Kwa kuwa ameshasema kuwa hataki kujiuzulu, asubiri tingatinga linakuja, kwani mwanzoni hata akina Karamagi walishasema kwua hawatajiuzulu, kimewakuta nini?
 
jamani hao mafisai mnawajua hamwajui? Kama waandishi wanajua wawaandike. si waliwaandika na majina walipewa huko ikulu? sasa tatizo liko wapi? mnataka serikali iwataje ya nini? mnajua kwa nini hawatajwi kwa vile ni washikaji, sasa mnataka nini? kama mtu ana taarifa na uthibitisho basi wajitokeze na waseme wazi, kama imebaki kuwa umbea wa mtaani basi hakuna maana, kwa vile mtu yeyote anaweza kuzushiwa eti lifaidika na epa. mi naona mwanyika amewakwepa waandishi sasa waandishi waanze kazi ya kumbana kwa kumpelekea uthibitisho, kama hawana ni umbea tu.
 
ENRON ilikuwa kampuni na walioshitakiwa ni uongozi wa kampuni . Mbona unaanza kututia mchanga machoni mapema hivi? Je sheria ndivyo zilivyo hapa kwetu???

Si amesema hapo juu, uchunguzi haujakamilika na hatimae itajulikana njia za kisheria za kufuata.
 
jamani hao mafisai mnawajua hamwajui? Kama waandishi wanajua wawaandike. si waliwaandika na majina walipewa huko ikulu? sasa tatizo liko wapi? mnataka serikali iwataje ya nini? mnajua kwa nini hawatajwi kwa vile ni washikaji, sasa mnataka nini? kama mtu ana taarifa na uthibitisho basi wajitokeze na waseme wazi, kama imebaki kuwa umbea wa mtaani basi hakuna maana, kwa vile mtu yeyote anaweza kuzushiwa eti lifaidika na epa. mi naona mwanyika amewakwepa waandishi sasa waandishi waanze kazi ya kumbana kwa kumpelekea uthibitisho, kama hawana ni umbea tu.

Tungoje tume ifanye kazi yake na kama unataarifa zozote zinazoweza kusaidia si uzipeleke kwenye tume.
 
Tungoje tume ifanye kazi yake na kama unataarifa zozote zinazoweza kusaidia si uzipeleke kwenye tume.

tume yenyewe ya kubabaisha!!!!!!!!

ngoja ngoja huumiza matumbo.

tutakaaje na kutulia wakati kinachofanyika ni mazingaombwe. yeye anaposema tutulie, mbona tulipotulia miaka yote ile ela zikiwa zinachukuliwa tagu 2005, hakuna walichokifanya. leo ndo anatuambia tutulie ili wamalizia visenti vyetu ambavyo walikuwa hawajavihamishia account zao za nje.

haiingii akilini.
 
jamani hao mafisai mnawajua hamwajui? Kama waandishi wanajua wawaandike. si waliwaandika na majina walipewa huko ikulu? sasa tatizo liko wapi? mnataka serikali iwataje ya nini? mnajua kwa nini hawatajwi kwa vile ni washikaji, sasa mnataka nini? kama mtu ana taarifa na uthibitisho basi wajitokeze na waseme wazi, kama imebaki kuwa umbea wa mtaani basi hakuna maana, kwa vile mtu yeyote anaweza kuzushiwa eti lifaidika na epa. mi naona mwanyika amewakwepa waandishi sasa waandishi waanze kazi ya kumbana kwa kumpelekea uthibitisho, kama hawana ni umbea tu.

Waandishi wataje nini wakati majina anayajua Mwanyika? Hizo fedha wamerudishiwa wao (serikali) kwa hiyo waliorejesha wanawajua fika, kwa nini kuwasumbua waandishi wakati Mwanyika anayo majina? Ni kiasi cha kuyataja tu, hata kama upelelezi haujakamilika lakini si wameshaanza kurudisha? Tunawataka hao walioanza kurudisha, watajwe kwa utashi wao wenyewe wanaochunguza, isije wakatajwa na waandishi zikaanza hadithi za kukanusha na kutishia kwenda mahakamani, wasituyeyushe kwa kutaka kuopindisha mada. TUNATAKA MAJINA YA WALIOTUIBIA.
 
hili suala la EPA limewapa nafasi watoto wa kiume kuongeza umbea, kama mnataka data za uhakika hebu zifanyieni kazi. kwa taarifa yenu, baadhi ya wazungu walioko hapa bongo wana taarifa kibao lakini wanatuangalia kama vitoyi. mnafikiri IMF iliyotoa maagizo kwamba oditing ifanyike hawana data hii? wanayo! wanatuchora tu. na watoto wa kiume mmekaa kunong'ona hapa. andikeni barua banki ya dunia na hao imf watoe taarifa waliyonayo.
jk hawezi kuwaanika, kwani hamjui hilo? mnafikiri wale wote waliofadhili kampeni yake walitoa wapi hizo hela?

He we go again, we can't mentality. Mheshimiwa, kwanza karibu sana JF. Hapa is "where we dare to talk openly". Kama JK amekula pesa za EPA kwa muda huu hatuna factual data, but in the long run we will find out. Like the way we stood for Richmond, we will do the same for JK. Changes can't happen over night, someone believed on it and work hard kuyapata mabadiliko.

Sasa wazungu ni kina nani? Jee hata wale wazungu njaa pale Dar wanazo data za EPA? Unachanganya mtama na kunde, please analyze things before you print them.
 
jamani hao mafisai mnawajua hamwajui? Kama waandishi wanajua wawaandike. si waliwaandika na majina walipewa huko ikulu? sasa tatizo liko wapi? mnataka serikali iwataje ya nini? mnajua kwa nini hawatajwi kwa vile ni washikaji, sasa mnataka nini? kama mtu ana taarifa na uthibitisho basi wajitokeze na waseme wazi, kama imebaki kuwa umbea wa mtaani basi hakuna maana, kwa vile mtu yeyote anaweza kuzushiwa eti lifaidika na epa. mi naona mwanyika amewakwepa waandishi sasa waandishi waanze kazi ya kumbana kwa kumpelekea uthibitisho, kama hawana ni umbea tu.

Waandishi wataje nini wakati majina anayajua Mwanyika? Hizo fedha wamerudishiwa wao (serikali) kwa hiyo waliorejesha wanawajua fika, kwa nini kuwasumbua waandishi wakati Mwanyika anayo majina? Ni kiasi cha kuyataja tu, hata kama upelelezi haujakamilika lakini si wameshaanza kurudisha? Tunawataka hao walioanza kurudisha, watajwe kwa utashi wao wenyewe wanaochunguza, isije wakatajwa na waandishi zikaanza hadithi za kukanusha na kutishia kwenda mahakamani, wasituyeyushe kwa kutaka kuopindisha mada. TUNATAKA MAJINA YA WALIOTUIBIA.
 
jamani hao mafisai mnawajua hamwajui? Kama waandishi wanajua wawaandike. si waliwaandika na majina walipewa huko ikulu? sasa tatizo liko wapi? mnataka serikali iwataje ya nini? mnajua kwa nini hawatajwi kwa vile ni washikaji, sasa mnataka nini? kama mtu ana taarifa na uthibitisho basi wajitokeze na waseme wazi, kama imebaki kuwa umbea wa mtaani basi hakuna maana, kwa vile mtu yeyote anaweza kuzushiwa eti lifaidika na epa. mi naona mwanyika amewakwepa waandishi sasa waandishi waanze kazi ya kumbana kwa kumpelekea uthibitisho, kama hawana ni umbea tu.

Waandishi wataje nini wakati majina anayajua Mwanyika? Hizo fedha wamerudishiwa wao (serikali) kwa hiyo waliorejesha wanawajua fika, kwa nini kuwasumbua waandishi wakati Mwanyika anayo majina? Ni kiasi cha kuyataja tu, hata kama upelelezi haujakamilika lakini si wameshaanza kurudisha? Tunawataka hao walioanza kurudisha, watajwe kwa utashi wao wenyewe wanaochunguza, isije wakatajwa na waandishi zikaanza hadithi za kukanusha na kutishia kwenda mahakamani, wasituyeyushe kwa kutaka kuopindisha mada. TUNATAKA MAJINA YA WALIOTUIBIA.
 
BoT scandal opens up Pandora`s box

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

A SUBSTANTIAL amount of the 133bn/- stolen from the Bank of Tanzania’s external payment arrears account during 2005/06 ended up in the pockets of some senior central bank officials who demanded illegal kickbacks from businessmen as a condition for authorising the dubious payments, it has been learnt.

Well-placed sources say some of the beneficiaries of the EPA money have told authorities they were duped into believing they would never have to return the funds, with at least one of them now facing bankruptcy as he struggles to pay back huge sums of money to the government.

It is understood that the sacked former BoT Governor, Dr Daudi Ballali, was not alone in the EPA scandal, with several other senior officials at the central bank also known to have had their hands in the deal.

Insiders say Ballali opened up a pandora’s box when he personally authorised illegal payments of $30.8m (approx. 40bn/-) to Kagoda Agriculture Limited and other companies.

While Ballali has been described as a prolific source of troubles in the massive EPA scandal, several other senior officials are known to have acted independently without the ex-governor’s knowledge and went ahead to embezzle billions of shillings through the same channel that he created.

THISDAY understands that massive embezzlement of funds from the key BoT account began way before the 2005/06 financial year, which was the only period audited by a team of experts from Ernst & Young.

’’Even before 2005/06, billions of shillings have been secretly embezzled from the EPA account ... In fact, there are a number of well-known businessmen in town who benefited from these funds, but have not even been questioned,’’ said one of our sources.

He added: ’’The 133bn/- looted from the BoT during 2005/06 was just the tip of the iceberg. A lot more money than that was stolen in previous years not covered in the special audit by Ernst & Young.’’

It has been revealed that some senior BoT officials demanded illegal kickbacks from some of the owners of the 22 companies paid a total of 133bn/- from the EPA account during 2005/06 as a condition for authorising payment of the funds.

’’The embezzlement of funds from the EPA account started since the 1990s when it was then known as the debt conversion programme. But when Ballali opened the door for huge illegal payments to Kagoda and other companies, other senior BoT officials followed suit,’’ said a government official familiar with the scandal.

’’Some corrupt BoT officials dangled the cash in front of the businessmen and assured them they would never have to repay the money provided that the central bank officials also got their cut.’’

Sources close to a local businessman who was reportedly paid 8bn/- from the EPA account during 2005/06 say the recipient of the illegal funds (name withheld) now openly regrets dabbling in the fraud.

While the businessman has now been cornered by the government to return around 8bn/-, he was actually paid 5bn/- from the EPA account, with the remaining 3bn/- ending up in the pockets of some senior BoT officials as kickbacks.

’’This old man had actually walked into a pub when he heard people talking about the EPA funds. They asked him if he was interested in the deal and he said yes ... He was just given the name of a BoT man and his office door number. When he paid him a visit at the BoT offices the following day, the deal was done,’’ said one of our sources.

She added: ’’The businessman said he needed 5bn/- to invest in his new hotel project. The BoT officials said they will allocate 8bn/- to him with the extra 3bn/- going into their own pockets.’’

The businessman is now said to have already returned 2bn/- to the government, but has been struggling to raise the remaining 6bn/-, half of which was illegal kickbacks to some senior BoT officials.

’’He has already withdrawn all the money from his bank accounts and returned it to the government, but he still has an outstanding balance of 6bn/-. The businessman was in the process of building a new tourist hotel in Arusha, but this project has had to be abandoned,’’ said a source close to the businessman.

Although Ballali has already been sacked from his job after the EPA scandal was uncovered, several other senior officials who colluded in making the illegal payments are still clinging on to their jobs at the BoT, observers say.

After dismissing Ballali, President Jakaya Kikwete ordered the BoT Board of Directors under new governor Prof. Benno Ndulu, to take action against all central bank officials who took part in the embezzlement of funds.

However, so far the BoT Board of Directors has only demoted and made internal transfers of key officials who participated in the scandal.

On the other hand, several senior BoT officials are known to have amassed huge assets, including expensive mansions and luxury vehicles with proceeds from the EPA scam.

The Minister for Finance and Economic Affairs, Mustafa Mkulo, announced recently that 50bn/- out of the 133bn/- stolen from the EPA account during 2005/06 had already been recovered.

There have been reports that businessmen behind the looting of funds from the BoT were seeking amnesty from criminal charges in exchange for the return of the stolen money.
 
Kutoka kwa mwanasheria George Kakoti kwenye jumbe za Tanzanet:

"Inaonekana huyo AG anaamini shule ya sheria kaenda peke yake; wengine wote punda wa dobi. Sasa naaanza kuelewa kwa nini kina Mwakyembe walipendekeza aachie bodi. Ni kweli kampuni ni "mtu" kisheria, tofauti na kiumbe aliyehai kama mimi na wewe. Lakini hiyo inamsaidia mtu kupunguza uwajibikaji katika kesi za madai tu. Haimkwepeshi mhalifu akifanya makosa ya jinai kwa kutumia kampuni. Hata hapa Marekani, ambako wasanii hawaishi kufungua makampuni bandia kwa ajili ya kukwepa kodi na uwajibikaji mwingineo, si rahisi kuvunja sheria kwa kutumia kampuni na wewe kusalimika. Ingekuwa rahisi hivyo kila mtu angefanya.

Kampuni inayo wakurugenzi, maafisa, watumishi na mawakala. Hao wote wanaweza kushitakiwa binafsi na kama wawakilishi na watendaji wa kampuni kutokana na uvunjaji wa sheria zozote zile, ziwe za daawa ama jinai. Hii habari ya ugumu kutokana na kampuni kuwa "mtu" tofauti kisheria n.k ni danganya toto tu. Hiyo kinga ya kampuni (corporate veil) haioni ndani iwapo kosa la jinai limefanyika na maofisa wa kampuni kwa maslahi yao binafsi ama ya kampuni. Kuna kitu kinachoitwa "responsible corporate officer doctrine" ambapo afisa, mkurugenzi ama mtumishi wa kampuni anaweza kushitakiwa kwa ukiukwaji wa sheria uliofanywa na kampuni moja kwa moja ama na mtumishi mwingine wa kampuni. Na hii ni kwa hata makosa madogo ambayo mtu hakufanya yeye mwenyewe bali alitambua ama alipaswa kutambua kuwa sheria inakiukwa lakini hakuchukua hatua yeyote kuzuia ama kutibu/kurekebisha ukiukwaji huu.

Suala la ubadhirifu wa pesa (za umma) ni rahisi zaidi. Maafisa, wakurugenzi, n.k. wanao wajibu mkubwa zaidi kuepukana na makosa ya jinai. Hapa watu wanaoneana haya tu. Kwa taratibu za kifedha, kwa malipo makubwa kiasi hiki kuna mtu alitia saini wakati akichukua cheki kutoka BOT, kuna mtu BOT aliidhinisha kwa maandishi kila pesa zilipotolewa, kuna mtu aliyetia saini wakati akideposit cheki kwenye akaunti benki, na wakati akitoa ama kuhamisha pesa kwenye akaunti ya hiyo kampuni ya kifisadi. Haiwezekani ushahidi wa wizi huu wa kipindi kirefu hivyo ukapotea; kwanza hao jamaa walishajisahau.

Utatuzi si mgumu sana iwapo kuna "political will": ni kuwasweka lupango na kuwafungulia mashtaka wakurugenzi, wanahisa, wafanyakazi na watumishi wote wanaoweza kutambulika wa makampuni hayo feki, halafu unawaacha wajichanganye wenyewe. Tatizo ni kwamba rais wetu ni Muungwana, huwa ha"koromi"! Kwa kuwa kipindi hiki sisi ni vipenzi vya GPB, kama JK anawaonea haya jamaa zetu, kwanini tusiombe "utaalam" kutoka kwa GPB badala ya kuafiki visingizio vya kila siku vya "hatuna wataalam"? (Inaelekea waNorwei wametutolea nje maombi yetu ya kupatiwa "wataalam")."

Mwisho wa kunukuu.
 
Timu ya Raisi inajaribu kuficha ukweli na kutaka kuwasahaulisha watanzania ufisadi wa wa benki kuu.Pesas zimerudishwa waseme nani karudisha na wamfilisi kwani hiyo haitaji uchunguzi zaidi.
 
Usije shangaa baada ya kuzirejesha fedha hizo zikifikia bilioni 133 tukaambiwa tuwe watulivu na tuachane na kutaka kuwafahamu waliozirejesha. Na kama ilivyo kawaida kwa Watanzania tutakaa kimya tena bora tukae kimya maana tukipiga kelele haitasaidia.
 
Hivi mlitegemea Nyani waunde baraza la kuwatimua Tumbiri kula mahindi kisha zoezi hili lifanikiwe?

Ukiwaweka Swala,Sungura, Pundamilia,Twiga na Ngiri katika kamati ya kuwachunguza Tumbiri wala amhindi zoezi litafanikiwa na ukweli utabainika.

Zaidi ukiwaweka akina Nyati,Tembo,Pofu, Simba na Chui si kwamba zoezi litafanikiwa tu, adhabu watakayopewa jamii nzima itakubali.

Mwanyika amedleta matokeo halisi ya kazi aliyotumwa.

Naomba wahusika wote wasisahau jambo moja;

kikombe wanachotunyweshea sisi kitajazwa mpaka kifurike nao wote watanyweshwa mara mbili hadi tone la mwisho.

Kama hawajui maana ya kutesa kwa zamu wamwulize MH Lowassa.
 
Si amesema hapo juu, uchunguzi haujakamilika na hatimae itajulikana njia za kisheria za kufuata.
Leo katoa taarifa (AG akiwa na IGP) kuwa wameshafikisha Bilioni 60!

Habari zaidi zinakujieni punde...

Let's wait for his report from our correspondent who went to that Press Conference.

Invisible
 
Timu ya Raisi inajaribu kuficha ukweli na kutaka kuwasahaulisha watanzania ufisadi wa wa benki kuu.Pesas zimerudishwa waseme nani karudisha na wamfilisi kwani hiyo haitaji uchunguzi zaidi.

Siyo timu ya Rais pekee .Rais na kundi lake wote wako pamoja na ndiyo maana mizengwe na sarakasi kibao lakini ukweli uko pale pale kwamba we need those names na hasa wale walio kwisha kulipa pesa na ushahidi wa kulipwa .
 
POLE SANA lUNYUNGU NA WOTE WANAOFATITLIA HILI SAKATA. UNAJUA KILA KUKICHA TUNASHINDWA KUPEWA UFAFANUZI WA KIPI KINAJILI. SIJUI TUPOKEE LIPI NA KUKUBALI LIPI. ILA KWA HOJA YAKO HAPO JUU NAKUBALIANA NA WEWE.
 
Back
Top Bottom