Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asingekatwa tungejuaje?
Kumbe wazee wa kitengo ndio wahusika wenyewe wa Richmond
Asingekatwa tungejuaje?
Noma kweli jipu limetumbuka.
Alinyamza ili asimuabishe mkuu wa Kaya, ila kwa vile waswahili hatuna shukrani tukaanza kumnanga na kuomuona kama choo cha shimo, kila kitu tunatumiamo humo........sasa imetosha mwanaume kaona isiwe shida.Kwahiyo wenye Richmond ni Mamlaka ya Juu? Mbona kama Sielewi Baada ya Miaka Nane? tena Baada ya Kukatwa?
Lowassa: Nilipeleka documents kuwa kampuni ya Richmond haikuwa halali. Hizo documents nilizipeleka kwa mwanasheria mkuu Johnson Mwanyika. Lakini baada ya siku tano nilipoona mwanasheria mkuu hatekelezi niliamua kuitisha kikao kilichoongozwa na katibu mkuu kiongozi pamoja na makatibu wakuu wahusika akiwemo mwanasheria mkuu. Tuliongea mengi ila mwanasheria mkuu akaomba pumziko la masaa mawili. Alitoka nje kuongea na simu na aliporudi ndani akasema kuwa mamlaka ya juu imeagiza kuwa Richmond ni halali na kila kitu kiendelee kama ilivyokuwa. Mimi Lowassa ningeongea tena nini?
Na usaha wake ni sumu ya hatari.........Mamlaka ya juu imewekwa uchi.
mwisho wa ubaya aibu ... kumbe ndio maana hata kamati ya maadili haikuongelea Richmond reAmekatwa ndio maana mmejua.
Duh!
haya maneno kayaongea leo??
"Nilitaka kuvunja mkataba wa Richmond baada ya kugundua kuna mashaka ya Upatikanaji wake, Alie husika kuingia mkataba aliomba Lisaa limoja na alipo rudi alisema haya nimeambiwa na mamlaka ilio juu ya ofisi ya Waziri Mkuu nisivunje" .Kwahiyo wenye Richmond ni Mamlaka ya Juu? Mbona kama Sielewi Baada ya Miaka Nane? tena Baada ya Kukatwa?