Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Mwizi ni mwizi hata angepewa nafasi angebaki kuwa mwizi. hili ni jizi lililokubuhu kamata peleka sero, tumempa heshima kutomvua mbele ya sheria lkn sasa anataka tumwage mboga. Akileta mbwembwe tutampandisha kizimbani kisutu. CCM waliambiwa peleka mahakamani mkamlinda sasa ona madhara yake anaua chama chenu.
 
Acha kujibaraguza wewe

Nani katika CCM sio fisadi?

Acha kuaminisha umma kuwa wizi ni halali katika nchi hii, kama CCM niwezi haina maana tuendelee kubariki wezi. LOWASA is a mwizi, since when he was worshiped, huyu ni wa kupeleka mahakani tu sema best wake alimrinda sasa wataondoka wote.
 
Fisadi hata lijitetee vipi haliwezi kujiondoa na kashfa za ufisadi

Lowassa kaondoka serikalini 2008 vipi ESCROW....TOKOMEZA.....TWIGA n.k n.k imekuaje vimetokea??

Vipi kuhusu UGAWAJI HOLELA WA VITALU VYA GESI??
 
Hivi kumbe Mwakyembe hamkumjohi Lowassa juu ya Richmond ?? aisee naanza kuamini kuna kitu ndani ya kapeti - tutajua mengi - Upepo umeshapuliza........
 
Mwizi ni mwizi hata angepewa nafasi angebaki kuwa mwizi. hili ni jizi lililokubuhu kamata peleka sero, tumempa heshima kutomvua mbele ya sheria lkn sasa anataka tumwage mboga. Akileta mbwembwe tutampandisha kizimbani kisutu. CCM waliambiwa peleka mahakamani mkamlinda sasa ona madhara yake anaua chama chenu.

Peleka kisutu, muuone kama Mzee wenu aanayekohoa na kunywa maji kwa insu ndogo tu ya escrow ,kibao hakijamgeukia. Jaribuni muone
 
Fisadi hata lijitetee vipi haliwezi kujiondoa na kashfa za ufisadi
CCM inawafika mikononi mwenu, lazima mzibebe lawama zote!! kasi mpya, ari mpya kumbe ni ya kutuulia chama chetu - aisee nyie!!
 
Fisadi hata lijitetee vipi haliwezi kujiondoa na kashfa za ufisadi

Mkuu nikuulize swali moja. Hivi mwaka 2010 jk alipoenda monduli kwenye kampeni alisema huyu mgombea wetu ni fisadi msimpe kura?
kama sio alimnadi vipi? ni hayo tu
 
Peleka kisutu, muuone kama Mzee wenu aanayekohoa na kunywa maji kwa insu ndogo tu ya escrow ,kibao hakijamgeukia. Jaribuni muone

Atapelekwa kisutu Lowasa ni mtu mdogo sana hawezi kuwa juu ya usalama wa nchi, yaani usalama wa taifa, mahakama, polisi na nk. Usalama hawawezi kubari awavue nguo mchana kweupe, subiri utaona, na watakaompeleka kisutu siyo CCM wataandaliwa watu wa kawaida, atabaki anacheza na kesi mpaka baada ya miaka 5.
 
Ndugu yangu tunaposema,MTIKISIKO MKUBWA tuna Maana hiyo. Mpaka Sasa Lowasa Ameshateka Usalama wa taifa,Jeshi,Mpaka Police Wote Wamegawanyika, Wengi wanampenda Lowasa...................... Subiri Utaona Mwenyewe . Mulijaribu Mukashindwa Wenyewe... Mutaweza kwa sasa...................... Lawama Zotte ziende kwa Jk,Nape, Kinana, Mangula ,CCM kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Acha kuaminisha umma kuwa wizi ni halali katika nchi hii, kama CCM niwezi haina maana tuendelee kubariki wezi. LOWASA is a mwizi, since when he was worshiped, huyu ni wa kupeleka mahakani tu sema best wake alimrinda sasa wataondoka wote.

Lowasa ameiba nini na wapi? sema hapa..na weka ushahidi
 
Fisadi alikuwa Lowasa peke yake sasa ccm ni safi.

hahahahah

ESCROW
MEREMETA
DEEP GREEN
KILIMO KWANZA
NYUMBA ZA SERIKALI
MINARA PACHA YA BOT
MALIPO HEWA KWA WAKANDARASI UJENZI WA BARABARA
RICHMOND
UJANGILI NA MAUAJI YA TEMBO

Hayo yote Lowasa hahusiki...Wahusika wote wako CCM
 
Mwizi ni mwizi hata angepewa nafasi angebaki kuwa mwizi. hili ni jizi lililokubuhu kamata peleka sero, tumempa heshima kutomvua mbele ya sheria lkn sasa anataka tumwage mboga. Akileta mbwembwe tutampandisha kizimbani kisutu. CCM waliambiwa peleka mahakamani mkamlinda sasa ona madhara yake anaua chama chenu.

Huwezi kukata tawi ulilokalia.
 
Ndugu yangu tunaposema,MTIKISIKO MKUBWA tuna Maana hiyo. Mpaka Sasa Lowasa Ameshateka Usalama wa taifa,Jeshi,Mpaka Police Wote Wamegawanyika, Wengi wanampenda Lowasa...................... Subiri Utaona Mwenyewe . Mulijaribu Mukashindwa Wenyewe... Mutaweza kwa sasa...................... Lawama Zotte ziende kwa Jk,Nape, Kinana, Mangula ,CCM kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Ukweli leo nimeamini ukicheza na nyani utavua mabua, CCM walifanya siasa za kulindana kumbe mwenzao ana maono tofauti, lkn lawasa anataka nini pale ikulu hivi ni heshima tu au kuna zaidi maana inavyoonekana yupo tayari kufa ilimradi afike ikulu haya ni mahaba ya hatari. ukweli JK na washauri wake.
 
Muda huu katika kukakiribishwa na kukabidhiwa kadi MH.LOWASSA ndani ya CHADEMA ,ameulizwa swali moja kuwa

Swali: Mh. Edward Lowassa unazungumiaje kuhusu kashfa ya Richmond?

Majibu Lowassa:
Nipende tu kusema mimi kama waziri mkuu kwa kawaida ya sheria huwa ninaletewa mkataba muda wa mwisho kuupitia na kuupitisha huwa sihusiki na kuandaa mikataba,mwenye mamlaka ni waziri husika.

Hivyo baada ya kuletewa mkataba husika wa Richmond niliupitia na kiukweli niliuwekea shaka kwa sababu nilishawahi kuwa waziri wizara ya maji nina uzoefu na kuandaa mikataba, nilishauri mkataba huo uvunjwe lakini waziri wa nishati akawasiliana na "NGAZI YA JUU" na kulazimishwa kuupitisha mkataba huo.

Baada ya kugundulika kuwa mkataba huo ulikuwa na mapungufu mengi, "NILICHUKUA MAAMUZI MAGUMU KWA AJILI YA SERIKALI, na kubeba mzigo wote ndio maana hadi leo wanasema mimi ni FISADI WA RICHMOND, nipende kumaliza kwa kusema kwamba MWENYE USHAHIDI WA RICHMOND AENDE MAHAKAMANI AKANISHTAKI.

mwisho.
 
Lowassa: Nilipeleka documents kuwa kampuni ya Richmond haikuwa halali. Hizo documents nilizipeleka kwa mwanasheria mkuu Johnson Mwanyika. Lakini baada ya siku tano nilipoona mwanasheria mkuu hatekelezi niliamua kuitisha kikao kilichoongozwa na katibu mkuu kiongozi pamoja na makatibu wakuu wahusika akiwemo mwanasheria mkuu. Tuliongea mengi ila mwanasheria mkuu akaomba pumziko la masaa mawili. Alitoka nje kuongea na simu na aliporudi ndani akasema kuwa mamlaka ya juu imeagiza kuwa Richmond ni halali na kila kitu kiendelee kama ilivyokuwa. Mimi Lowassa ningeongea tena nini?
 
Back
Top Bottom