Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Ukweli haufichiki kamwe, sasa tumemjua mchawi nani. Na Lowasa kaweka wazi tu, toka andoke mbona mikataba mingi mibovu imesainiwa na hakuna mkubwa kama yeye aliejiuzulu au ni kivuli chake ndo kilisaini? Naamini hapa ni mwanzo tu ngoja angie ikulu tuyajue mengi.
 
Mlitaka aseme alihusika ili akatwe tena? kashfa aliyotuhumiwa sio ya siasa ya chama bali ni maslahi ya umma na alipaswa kuulizwa na mamlaka ya serikali(mahakama) ikizingatiwa kuwa wanaomuuliza ndio waliomtuhumu kuhusika! au chadema wamekuwa mahakama?
 
Kwahiyo wenye Richmond ni Mamlaka ya Juu? Mbona kama Sielewi Baada ya Miaka Nane? tena Baada ya Kukatwa?
Alinyamza ili asimuabishe mkuu wa Kaya, ila kwa vile waswahili hatuna shukrani tukaanza kumnanga na kuomuona kama choo cha shimo, kila kitu tunatumiamo humo........sasa imetosha mwanaume kaona isiwe shida.
 

Duh!
haya maneno kayaongea leo??
 
Kwahiyo wenye Richmond ni Mamlaka ya Juu? Mbona kama Sielewi Baada ya Miaka Nane? tena Baada ya Kukatwa?
"Nilitaka kuvunja mkataba wa Richmond baada ya kugundua kuna mashaka ya Upatikanaji wake, Alie husika kuingia mkataba aliomba Lisaa limoja na alipo rudi alisema haya nimeambiwa na mamlaka ilio juu ya ofisi ya Waziri Mkuu nisivunje" .

"Mwenye ushahidi aende mahakamani kama huuna ushahidi plz shut up and keep quite.

#Edward Lowasa
#zuiaGoliLaMkono2015

Mkiendelea kuuliza tunamwaga ugali wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…