Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu


Fikra zako pana zinakuambia Waziri Mkuu alitakiwa aseme bungeni kwamba Richmond ni Ya Mkuu wa kaya hapo ndo uwezo wako wa fikra pana ulipofikia?
 
Badhani tumeshajua sasa kwa nini watu wanasema atalipiza kisasi, na kwa sababu ya kisasi tuu kura yangu angepata japo amwshasahau
 
Fikra zako pana zinakuambia Waziri Mkuu alitakiwa aseme bungeni kwamba Richmond ni Ya Mkuu wa kaya hapo ndo uwezo wako wa fikra pana ulipofikia?

Makes a lot of sense. Na ndiyo maana hadi leo hakuna anayejua mmiliki/wamiliki wa Simba Trust. Lakini tutajua tu ukweli wote in due time.
 
Mlitaka aseme alihusika ili akatwe tena? kashfa aliyotuhumiwa sio ya siasa ya chama bali ni maslahi ya umma na alipaswa kuulizwa na mamlaka ya serikali(mahakama) ikizingatiwa kuwa wanaomuuliza ndio waliomtuhumu kuhusika! au chadema wamekuwa mahakama?

Hakuhusika ndiyo maana hajafikishwa mahakamani
 
.....akatoka nje kuwasiliana kwa saa moja,kisha akarejea na kuniambia "nimewasiliana na mamlaka ya juu,na ameagiza mkataba huu usivunjwe"

POLENI WATANZANIA

Tena Poleni saaaana,
 
Dah siasa za kiafrika....
Jamani tuna hitaji elimu hasa
 

Sasa kama yeye ni raodlofa.
 
Fikra zako pana zinakuambia Waziri Mkuu alitakiwa aseme bungeni kwamba Richmond ni Ya Mkuu wa kaya hapo ndo uwezo wako wa fikra pana ulipofikia?
Fikira zako pana unadhani alitakiwa aseme nini?

Kwa nini hakuwaambia wabunge wakati wa kujitetea kama mamlaka ya juu ya nchi ilimzuia kuvunja mkataba?
 
Bahati yenu mmeamua kuwawekea kinga hao wastaafu wenu wa magogoni wasisimame kwenye vizimba vya mahakama, vinginevo nisingepata picha baada ya kipindi flani kuisha.
 
Kwa kifupi utetezi wa Lowassa ni wa kimaslahi zaidi kuliko uhalisia. Binafsi niliacha kazi katika taasisi moja ya umma Tanzania kwa kutokuheshimiwa kwa utaalam wangu nilioutoa ambao ndio msingi wa mkataba wangu. Lowassa alipaswa kuachia ngazi ili kukataa kuitia hasara nchi kama aliona dili ilikuwa ni ulaji/ maslahi binafsi ya bosi wake. Kitendo cha kuridhia na kujiuzulu kwa shinikizo la Kamati ya Mwakyembe, kisha kujitetea baada ya kuenguliwa nafasi ya urais ni unafiki na ubinafsi uliopitiliza. Only fool people ndio wataweza kumuelewa.
 
kwa hiyo mamlaka juu ni ??????????? nasubiri majibu kwa waliojibu la mshahara wangu
 

Uko sahihi kabisa. Ni uninafsi na maslahi binafsi tu ndicho kilicho nyuma ya lowasa. How come mwenye maamuzi magumu kwa maslahi ya umma ukaridhia kufumbia macho wizi wa bodi wako? Si angejiuzulu at that moment ili kuonyesha kutoridhishwa na bosi wake kuifisadi nchi kama yeye siyo sehemu ya ufisadi huo?
 

ahata asingesaini mkataba ungepita tu kwa amri kutoka juu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…