Internal Control
Member
- May 3, 2012
- 73
- 37
Nani anaweza kununua hii hekaya!
Yaani Waziri Mkuu anatumia maneno ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati yeye ndiye namba tatu katika utawala wa nchi achilia mbali ile dhana ya kusema yeye hakukutana barabarani na Rais Kikwete. kwa maana kwamba, mahusiano yao yalikuwa zaidi ya mahusiano ya kikazi.
Kwa hiyo Mwanasheria Mkuu alivyomwambia, yeye hakuwasiliana na Rais kutaka kufahamu ukweli wake?
Kwa nini hakuliambia bunge hii story baada ya kupewa nafasi ya kutoa ufafanuzi?
Mtu mwenye fikara pana hawezi kununua hekaya hizi.
Fikra zako pana zinakuambia Waziri Mkuu alitakiwa aseme bungeni kwamba Richmond ni Ya Mkuu wa kaya hapo ndo uwezo wako wa fikra pana ulipofikia?