Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Huoni kama kule Dodoma walimwaga ugali na yeye anamwaga mboga? Pengine (pengine kwa sababu sina hakika), kimya cha miaka minane yote hiyo kilikuwa ni katika juhudi za kuwakingia kifua wale "waliomkata". Baada ya kuona kuwa hawabebeki, hawafadhiliki, ndio hivi karibuni akaanza kutapika. Na kama atabanwa zaidi, anaweza kuitaja hiyo mamlaka ya juu iliyoidhinisha mkataba bomu.
Tutasikia mengi mwaka huu; kutoka pande zote. Huu ni mwanzo tu.
Lagu Jicho!
 

Kabisa..... November baada ya Ukawa kushika nchi walahi lazima atatueleza vizuri sana pale Kisutu
 
na yule aliye enda nje kufungua kampuni na kuweka uongozi wa kigeni na kampuni hyo kuja kuomba tenda hapa nchini ni nani eti
 
hoja nyepesi sana unatoa. huwezi tumia hoja hizi kukanusha kwamba mamlaka za juu hazikuhusika.
 
na yule aliye enda nje kufungua kampuni na kuweka uongozi wa kigeni na kampuni hyo kuja kuomba tenda hapa nchini ni nani eti

Msimvue nguo "mkwere" jamani..acheni akasimamie mashamba yake "msoga"
 
Msimvue nguo "mkwere" jamani..acheni akasimamie mashamba yake "msoga"

ni yule mfugaji na ana kampuni kadhaa zenye mchezo huo ndio maana anazitumia kwa utalii badala ya kuachana na mambo ambayo anajua hayato msaidia angetulia tu hata afya yake hamruhusu kuwa anvyotaka haigi mifano?
 

We unajuaje kana ni ukweli? Acha unafiki wewe
 
mngekalia kumpigia debe mgombea wenu mngemsaidia sana,kwani ana wakati mgumu sana kupambana na tingatinga
 
Kwa hiyo ndo tuseme mwenye richmond kashapewa mzigo wake kiaina.
 
kaamua kumwaga mboga!!! Acheni kupigapiga kelele mwenye ushahidi aende mahakamani.
 
Acheni kupiga piga kelele, mwenye ushahidi aende mahakamani!!!
 

Usishangae akirudi huko anakojazaga vyoo vya nchi za watu nchi itazuia Asiulizwe na waandishi wa habari.
 
Ma ccm huku, ma.vi yanawabana, kwendeni kuleeeeee.... sasa mnajutia...ndio mtakomaaaaa...mamaeeee, vyupi mkononiiii....
 
kwani mnamumunya maneno badala ya kuanika ukweli? mhusika wa richmond scandal ni JK.
 
Kwanini ripoti nyingi za ripoti za bunge zinazohusu maswala ya ufisadi kuna kipengele kinasema kuna vitu vikiwekwa hadharani nchi itatikisika? Ripoti ya Richmond na Escrow zinasema hivyo. Nani huyo akiguswa nchi itatikisika?
Sasa hivi watu wakimuona JK watakuwa wanaona SI Unit ya Ufisadi nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…