Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu


Ndugu yangu mbona km haupo kilichozungumzwa ni mfumo wa chama ulimbana ( wakulindana ) sasa angeweka wazi hayo si wangemkolimbaa
 
Jk na Simba trust ...

Lowassa alikuwa anamsitiri kwakuwa alitaka kuweka heshima ya Chama na serikali
Labda ndio maana alikimbilia kwenda kusawazisha mambo hayo ya Simba Trust huko Australia... haingii akilini kwamba anakwenda kuaga huko Australia wakati bado majirani zetu kuwapa za kwa heri...JK na ccm yake wamelifungulia zimwi ngoja sasa liwatafune mpaka mifupa...
 
Fikira zako pana unadhani alitakiwa aseme nini?

Kwa nini hakuwaambia wabunge wakati wa kujitetea kama mamlaka ya juu ya nchi ilimzuia kuvunja mkataba?
Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hichi!!!!? Umesahau mwakembe alisema serikali ingeanguka kama angesema yote? Tulia wewe bibi badala ya kumuhudumia babu unakesha kwenye mitandao kumuandama kiboko ya ccm pambaf kabisa
 
Njia ya muongo ni fupi na sasa ni dhahiri ndugu Lowasa anaudanganya uma wa watanzania usio juwa kaz za waziri mkuu
 
Njia ya muongo ni fupi na sasa ni dhahiri ndugu Lowasa anaudanganya uma wa watanzania usio juwa kaz za waziri mkuu
Mbona wakati ule alipokuwa akisaka wadhamini mikoa mbalimbali na kuhutubia maelfu kwa maelfu ya washabiki wake hukuwahi kuthubutu kudai kuwa EL anatumia umbumbu wa watanzania kujizolea mashabiki?

Hivi umbumbu huo wa watanzania umeibuka ghafla baada ya Lowassa kujiunga na Ukawa kupitia chama cha Chadema?!
 
Watanzania wanaamin akishakuwa rais atawakuwa anawapa hela nyingi kuliko anavyofanya sasa hivi. Mpaka aibu
Hizo ni propaganda za 'kipuuzi' kabisa ambazo hata ukimwambia mtoto mdogo anayesoma shule ya chekechea atajua wazi kuwa unampiga fix.
 
Tunajuwa ndio maana tulimwambia mwisho uwazr mkuu. Urais atausikia.
 
Njia ya muongo ni fupi na sasa ni dhahiri ndugu Lowasa anaudanganya uma wa watanzania usio juwa kaz za waziri mkuu

WAZIRI MKUU HUWASILISHA KILA LINALOENDELEA KWA MH.RAIS KWA SAA 24.
for final accomplishment /

N.B/ WEWE NDIYE MBUMBUMBU MKUBWA.
 
Nikweli kabisa anapojitoa ktk kundi wakati yeye ndio alikuwa mkuu, angefanya hivyo mapema kabla tungemwelewa tens angetoa 7bu ya kujiuzulu, lkn alitulia had I nchi ikiingia hasara kubwa.
 
Naam, umenena vyema sana.

Lakini nnakuhakikishia Watanzania wengi wamesha mdharau. Wameshajuwa hana akitakacho zaidi ya madaraka na uwezo wa kuongoza kwa sasa hana.

Mimi nimemdharau zaidi Mbowe kwa kubadilika ghafla na kwa haraka zaidi ya kinyonga!
 
na wewe unaudanganya umma watanzania wameshajua nani mwenye mamlaka ya juu ukitoa uwazir mkuu raha sana mpelekeni mahakamani sasa kama mnavisibitisho waliokuwa tume ya bunge bado wapo ccm ongozeni naye
 
Naam, umenena vyema sana.

Lakini nnakuhakikishia Watanzania wengi wamesha mdharau. Wameshajuwa hana akitakacho zaidi ya madaraka na uwezo wa kuongoza kwa sasa hana.

Mimi nimemdharau zaidi Mbowe kwa kubadilika ghafla na kwa haraka zaidi ya kinyonga!

Faizafox bibi yangu upo
 
Pia Tume ya Mwakyembe haikumhoji kwavile hakuwa na hatia...Ilimsafisha!
 
Kazi ya Waziri Mkuu wa Tanzania ni kushauri juu ya masuala ya mikataba (Lowassa, 2015) Tehteh! Itabidi lowasa huyu atuambie kazi ya Mwanyika wakati huo ilikuwa nini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…