ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Ati nini?! We bwana we....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa wapi kuyasema hayo kama kweli anatuhurumia Watanzania alipoona tunanyonywa hadi leo ndiyo anayasema hayo baada ya kukosa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM,leo kaamua kuhamia CDM anajifanya mwenye huruma kwa Wtz.Hana jipya huyu Lowassa alishatuumiza anataka nafasi ya kuendelea kutuumiza.Akili ya kuambiwa ongeza na yako usiaminishwe kila kitu.
Labda ndio maana alikimbilia kwenda kusawazisha mambo hayo ya Simba Trust huko Australia... haingii akilini kwamba anakwenda kuaga huko Australia wakati bado majirani zetu kuwapa za kwa heri...JK na ccm yake wamelifungulia zimwi ngoja sasa liwatafune mpaka mifupa...Jk na Simba trust ...
Lowassa alikuwa anamsitiri kwakuwa alitaka kuweka heshima ya Chama na serikali
mtoto wake kipenzi,Saif al-Islam,ambaye gaddafi alimtumia sana ktk harakati zake za kisiasa,masaa machache yaliyopita kahukumiwa adhabu ya kifo.bado rizwan JK.Mnanikumbusha yaliompata gaddafi
mtoto wake kipenzi,Saif al-Islam,ambaye gaddafi alimtumia sana ktk harakati zake za kisiasa,masaa machache yaliyopita kahukumiwa adhabu ya kifo.bado rizwan JK.
Libya trial: Gaddafi son sentenced to death over war crimes
Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hichi!!!!? Umesahau mwakembe alisema serikali ingeanguka kama angesema yote? Tulia wewe bibi badala ya kumuhudumia babu unakesha kwenye mitandao kumuandama kiboko ya ccm pambaf kabisaFikira zako pana unadhani alitakiwa aseme nini?
Kwa nini hakuwaambia wabunge wakati wa kujitetea kama mamlaka ya juu ya nchi ilimzuia kuvunja mkataba?
Mbona wakati ule alipokuwa akisaka wadhamini mikoa mbalimbali na kuhutubia maelfu kwa maelfu ya washabiki wake hukuwahi kuthubutu kudai kuwa EL anatumia umbumbu wa watanzania kujizolea mashabiki?Njia ya muongo ni fupi na sasa ni dhahiri ndugu Lowasa anaudanganya uma wa watanzania usio juwa kaz za waziri mkuu
Hizo ni propaganda za 'kipuuzi' kabisa ambazo hata ukimwambia mtoto mdogo anayesoma shule ya chekechea atajua wazi kuwa unampiga fix.Watanzania wanaamin akishakuwa rais atawakuwa anawapa hela nyingi kuliko anavyofanya sasa hivi. Mpaka aibu
Njia ya muongo ni fupi na sasa ni dhahiri ndugu Lowasa anaudanganya uma wa watanzania usio juwa kaz za waziri mkuu
Naam, umenena vyema sana.
Lakini nnakuhakikishia Watanzania wengi wamesha mdharau. Wameshajuwa hana akitakacho zaidi ya madaraka na uwezo wa kuongoza kwa sasa hana.
Mimi nimemdharau zaidi Mbowe kwa kubadilika ghafla na kwa haraka zaidi ya kinyonga!