Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu


Lowassa mstaarabu sana, alitoa jibu la utu uzima sana..... Ulitaka amvue ngup Mzee wa Mamlaka ya Juu...?
 
waulize CCM,maana mkutano wa leo walitaka kulizungumzia-wakaona itawa cost maana Lowassa angekuja na all guns blazing na kumwaga unga,ugali,maharage,dengu na what have you-nchi isingekalika-inabidi kuliko kujaza server humu kwanza ujaze dots mwenyewe
Maelezo haya hayakutolewa na ccm ...yalitolewa na lowassa
 
Maelezo haya hayakutolewa na ccm ...yalitolewa na lowassa
connect dots,CCM leo walitaka kumjibu Lowassa tuhuma hizi za Richmond,dakika za mwisho hiyo agenda ikafutwa maana Lowassa ametishia yuko tayari kuvunja kiapo auleze kinagaubaga huu mchezo ulivyoenda- take my word CCM hawataitaja Richmond tena-hiyo amri imetoka Australia
 
Kwa akili ya kawaida haikuishia hapo lazima aliconfirm mamlaka ya juu.....tatizo CCM wote wezi, Kagoda iko wap? Simba trust ? mermeta na upuuzi mwiingi...ONDOA CCM OCTOBER 25, 2015
 
mamlaka za juu ya waziri mkuu ni yapi zaidi ya rais? kusoma hujui hata kwa picha huwezi kuona?
Mamlaka ya juu haikuwasiliana na lowassa ikaamua kuwasiliana na Mgonja na lowassa mzee wa maamuzi magumu akakaa kimya!
 
CCM itaanguka kwa kuendekeza siasa za kinafiki na kuwatumia vijana kukashifu na kutukana watu.

Nape na kundi lake asije akaendelea kumdanganya rais na kujaribu kuvuruga taratibu za uchaguzi kama walivyovuruga taratibu za chama chao.
Sasa tunamchagua Rais wa nchi yenye watu mil.45.Walishachakachua kumpata rais wa chama chao sasa watuachie tumtafute rais wa nchi.

Goli la mkono analolizungumza Nape litamgharimu sana endapo CCM watajaribu kuhujumu ushindi wa UKAWA.
 

tusiwe wepesi wa kusahau jamani. Tume ya Mwakyembe iliyochunguza iligundua waziari mkuu alikuwa akiingilia mchakato wa ununuzi na taratibu za manunuzi ya umma na ndio alikuwa anashinikiza richmond ipewe kwa vimemo. Na ndio swala ambalo hata baada ya kina mwakyembe kumaliza kuwasilisha bungeni na wabunge kuchangia spika samweli sitta akampa nafasi ajitetee maana amekuwa implicated . Wote tuliona maana bunge lilikuwa live alishindwa kujitetea akaamua kuachia ngazi kwa aibu
sasa leo kasubiri wa tz tusahau aanze sanaa zake kama kawaida yake, tunamtaka aache kutupotosha
 
kama kweli lowasa alihusika katika suala la richmond kwa nini hadi leo hapelekwa mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…