OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
EL anasena walimsubiri Mgonja kwa lisaa limoja na baada ya hapo Mgonja akawaambia Mamlaka za juu zimesema hakuna kufuta mkataba.
EL hakuthibitisha hili kwa kumpigia au kuwasiliana na rais...sijui kwa nini hakufanya hivyo.
Baada ya hapo mkataba ukaendelea!
Je sasa tuamini kuwa Mgonja alimdanganya waziri mkuu?
Nani hasa alisaini huu mkataba?
Ni mamlaka ya juu au lowassa kwa ushauri wa mgonja?
Lowassa mstaarabu sana, alitoa jibu la utu uzima sana..... Ulitaka amvue ngup Mzee wa Mamlaka ya Juu...?