Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Lowassa mnamsafisha huyo nikinyesi hasafishiki
 
Lowassa mnamsafisha huyo nikinyesi hasafishiki

Rafiki,
Ikulu inatakiwa ikanushe kutoa maelekezo ya kutositishwa kwa mkataba wa Richmond na si porojo za kama zako hizi..
 
Mimi nadiriki kusema Laigwanan EL hana hatia katika swala la Richmond.
 

Mara nyingi ni bora kukaa kimya kuficha ulimbukeni wako kuliko kubwabwaja utumbo wako! Kauli ya Lowassa ni ya mamlaka makubwa sio ya kupuuzwa kama unavyodhani wewe mburula!
 
Katika kipindi hiki kifupi chenye mambo mengi kwa taifa letu ikulu haiwezi sema lolote koz kila mtu anafikiria nijinsi gani atarudi ofisini kwake baada ya uchaguzi kwisha
 
nitaendelea kumlaumu Mwakyembe na kamati yake kwa kukubali kutumiwa....TZ kuna watu wengi wana PhD wanazopaswa kuchang'anywa...Mwakyembe is one of them....Akili kubwa inapoamua kutumiwa na akili ndogo.
 

Chama kilichoshirikiana kulitia hasara taifa hakifai kutupatia rais. Lowassa aliwajibika, alijiuzulu hamna adhabu ingene yoyote unayoweza kumpa. Kwa mtazamo wako yeye ana Richmond, CCM na Magufuli wake wana eskrow, meremeta, epa, tangold, iptl, twin tower etc etc etc mlolongo mrefu sana na mengine chungu mbovu ambayo hatujayashtukia. Angalau Lowassa amekiri nyie CCM mmekiri nini? Au hamhusiki vyote hivyo alifanya Lowassa?
 
One of the owners of Richmond is Rostam and he is the best buddy and financier of the Lowassa, so what do you think?
 

Naona wewe lazima una undugu na Magufuli.... Kwa takwimu kuchonga hauna mfano.
 
One of the owners of Richmond is Rostam and he is the best buddy and financier of the Lowassa, so what do you think?

He was the best buddy but now he is the financier of Tingatinga.
 
Wacheni kigugumizi,Muulizenu mbona akulisema hilo toka mwanzo aseme baada ya kukatwa?au kauli ya mfuga mbwa wazimu unamrudia mwenyewe...
Umenikumbusha zamani sana.
Tulipewa makokwa ya maembe tukiwa wadogo ili kila mmoja akapande, sasa mimi ya kwangu nikapanda moja lingine nikalisahau kulipanda. Nilikuja kushtuka baada ya miaka zaidi ya sita wakati mingine imeshaanza kuzaa kuwa sikulipanda na nilipokwenda kuipanda ikaota vizuri tu na sasa tunakula maembe.
Nilichojifunza ni kuwa mbegu ni sawa na ukweli kwamba hata ukiuhifadhi na kuusema baada ya karne unakuwa uko vile vile. Ni kama mtu aliyejifunza 1+1=2 miaka mia moja iliyopita hata atakaye solve hiyo hesabu leo italeta jibu hilo hilo.
Cha msingi aliowataja wakanushe, kwa vile ni swala la aibu kukaa kimya kunaweza kumaanisha kukubali.

 

Mbona hamkumwita fisadi miaka 8 iliyopita mnawita fisadi leo? Halafu ona aibu kuliita hili jambo la kijinga. Jambo la kijinga wakati kila Mtanzania analiongelea hivi sasa, jambo la kijinga wakati mnaita press conference halamfu mnaikimbia nyinyi wenyewe. Ikulu sasa hivi hapatoshi, Mambo yamewekwa hadharani wamebaki kubwabwaja "Utaona cha mtema kuni"
 

Pamoja na kuuita utumbo bado hakuna mamlaka ilijitokeza kusema kuwa mkataba ulisainiwa kwa agizo au baraka za nani!
 
Kublai at your best! Congrats! hawa magamba umewashughulikia kwa hoja kubwa kubwa zenye mashiko!
 
Last edited by a moderator:
Hii falsafa kubwa sana magamba hawana uwezo wa kuhimili, inawazidi uwezo kwa mbali sana!
 
Wanasubiri kampeni zianze ili kuchukua hatua uku kampeni zikiendelea
 
Waziri Mkuu haweki sahihi kwenye mikataba.
 

Mkuu hebu tumia busara japo kidogo tu. Barua yake ya kumpa kazi inasema kwamba atapewa kazi nyingineo na mwajiri wake. Aliapa kadamnasini kwamba atakuwa mtiifu kwa bosi wake na akamwomba Munugu amsadie. Jamaa kamtumia vibaya na amemwanzishia vita vitakatifu, maana pamoja na urafiki waliokuwa nao walijikuta wanajuana mambo mengi sana. Kitendo cha Lowasa kuwa kimya kitambo ni adhabu tosha kwa JK maana hajui EL akiipuka atatema cheche gani kuibua soooooo!! Anayasema leo baada ya kuona rafiki aliyemtosa anakurunzizia kumkandamiza asipumue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…