Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowassa mnamsafisha huyo nikinyesi hasafishiki
Hakika mtu huyu hana hatia!!!!
Tutamfuta machozi ya kusingiziwa October
Kuna wakati ukijibu ujinga na wewe utaonekana mjinga,miaka 8 imepita leo mtu aseme uongo wake halafu eti ikulu ikanusha ,sio kila ujinga ikulu itakanusha kuna mambo ya maana ya kufanya hapo ikulu kuliko kukesha kukanusha kila jambo,si mungesema ikulu iseme miaka 8 iliyopita?wakijibu ikulu hapatatosha ndugu zanguni.
Let's assume kwamba alichosema Lowassa ni kweli.
Maana yake ni kwamba Lowassa alishirikiana na mamlaka kulitia hasara taifa.
Hiyo mamlaka haigombei urais. Anayegombea ni Lowassa.
Mtu aliyeshirikiana na mamlaka kulitia hasara taifa hafai kuwa Rais.
Kwenye Richmond tumemkamata, kuna mangapi kafanya hatujayashtikia.
Kiujumla utetezi alioutoa Lowassa kajimaliza mwenyewe kwa kukiri kuhusika. Mimi nilifikiri atasema hajahusika...
Na hizo memo alizokuwa anawapa watu wake wa chini watekeleze zilikuwa za nini teamLowasa a.k.a team dodoki. tena kwa handwriting yake na evidence zote zipo. asicheze na akili za watu, Kwa taarifa yako Mbowe keshavuta $2million na Mtei keshavuta $2.5million toka kwa Lowasa kupitia Bank moja uko Middle East kwa sasa hivi tunatoa hint tu. Hivi kwa akili ndogo tu ukimweka Lowasa na Dr. Slaa kwenye Jukwaa na utendaji nani ni Zaidi, si ni Dr. slaa. Kwanza Lowasa hajui hata kujitetea au kuongea kwenye majukwaa sema pesa yake ndo inaongea tu kwa kuwapa pesa ndogodogo kama nyiwe hili kuwapumbaza watu.
Dr, slaa alikuwa na nafasi kubwa ya kushinda kuliko Lowasa. Pia hatuwezi kurudia uchaguzi Mwaka kesho kwa maana afya yake sio nzuri kabisa. Mwambiye anyanyuwe mkono juu kwa dakika moja uone kama hajapanda ndege kwenda Ujerumani kwa matibabu.
Pia matokeo ya uchaguzi wa October yatakuwa hivi= Magufuri/CCM 76% Lowasa/Ukawa 33%, Zito/ACT 0.6% waliobaki 0.4%
One of the owners of Richmond is Rostam and he is the best buddy and financier of the Lowassa, so what do you think?
Umenikumbusha zamani sana.Wacheni kigugumizi,Muulizenu mbona akulisema hilo toka mwanzo aseme baada ya kukatwa?au kauli ya mfuga mbwa wazimu unamrudia mwenyewe...
Kuna wakati ukijibu ujinga na wewe utaonekana mjinga,miaka 8 imepita leo mtu aseme uongo wake halafu eti ikulu ikanusha ,sio kila ujinga ikulu itakanusha kuna mambo ya maana ya kufanya hapo ikulu kuliko kukesha kukanusha kila jambo,si mungesema ikulu iseme miaka 8 iliyopita?wakijibu ikulu hapatatosha ndugu zanguni.
Kwa anayejua dhamana ya uongozi Lowassa hajajibu kitu. Kacheza na akili za wadanganyika tu. Eti simu ilipigwa kwa mwanasheria halafu akaja kusema uongozi wa juu umesema mkataba uendelee. Waziri mkuu anaongea utumbo kama huu halafu mnauita utetezi?
Kila nikitafakari sentensi hii naona kwamba Lowassa hafai kabisa kuwa rais. Kiongozi asiyejua mamlaka aliyonayo katika ofisi yake. Anayepokea maelekezo ya simu pasipo kuwapo ushahidi wa maandishi. Hiyo simu ilipigwa kwa mwanasheria, kwa nini maelekezo asipewe yeye moja kwa moja? Je alifanya juhudi gani kuthibitisha Kuwa kweli uongozi wa juu umeagiza hivyo?
Akiwa kiongozi mwenye dhamana na uchungu wa kuwatumikia watanzania, kwa nini hukuchukua jukumu la kujiuzulu nafasi yake ili kuepusha kujihusisha na kulihujumu taifa? Hii ingemjengea heshima kubwa pamoja na kuaminika na watanzania. Badala yake akaamua kutumikia maslahi ya uongozi wa juu. Hebu na atueleze yeye alinufaikaje na dili hilo. Ni wazi kwamba hakuishia kuidhinisha tu, kwa sababu alishaufahamu mchezo mzima.
Lowassa ni kiongozi dhaifu tofauti na baadhi ya watu wanavyomdhania. Hafai hata kidogo kupewa madaraka ya juu kabisa ya nchi
Hii falsafa kubwa sana magamba hawana uwezo wa kuhimili, inawazidi uwezo kwa mbali sana!Umenikumbusha zamani sana.
Tulipewa makokwa ya maembe tukiwa wadogo ili kila mmoja akapande, sasa mimi ya kwangu nikapanda moja lingine nikalisahau kulipanda. Nilikuja kushtuka baada ya miaka zaidi ya sita wakati mingine imeshaanza kuzaa kuwa sikulipanda na nilipokwenda kuipanda ikaota vizuri tu na sasa tunakula maembe.
Nilichojifunza ni kuwa mbegu ni sawa na ukweli kwamba hata ukiuhifadhi na kuusema baada ya karne unakuwa uko vile vile. Ni kama mtu aliyejifunza 1+1=2 miaka mia moja iliyopita hata atakaye solve hiyo hesabu leo italeta jibu hilo hilo.
Cha msingi aliowataja wakanushe, kwa vile ni swala la aibu kukaa kimya kunaweza kumaanisha kukubali.
Waziri Mkuu haweki sahihi kwenye mikataba.Watu wenye hekima huwa hawajibizan na wendawazim. lko waz tu kuwa mkataba ule ulikuwa na sahihi ya lowasa na kama kwel aliagizwa na rais alipaswa kujionyesha hiyo document ya maagizo. naagizi hayatolew kwa mdomo. na kama kwa akili yake aliona c sahihi alipaswa kujiuzulu. Ni mwendawazimu tu anaeweza kuamin maneno ya fisad lowasa.