MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Mugo"The Great";137099 said:Msabaha na Karamgai nao wameamua Kujiuzulu. Ila Lowasa anasisitiza kuwa Tume ya Mwakyembe imesema uongo. Sasa hivi wabunge wa sisiemu "Mh. Joseph Selukemba (Mb-Kigoma)et al" wanasema EL ni shujaa. Hii ni AIBU kubwa kwa wabunge wa aina hiyo.
Nafikiri nchi nzima ina matatizo, yaani kila kitu kinakwenda hovyo hovyo.
Nafikiri wizara zinaongozwa kjinga kijinga na hiyo ni mbali ya matatizo ya rushwa.
Hawa viongozi hawatakiwi kujiuzulu wanatakiwa kuwa sacked.
Hata Kikwete naye ajiuzulu. Kulikuwa na ushahidi wa kutosha muda mrefu tu wa ufisadi mkubwa uliofanywa na mawaziri mbali mbali lakini hakuwa tayari kumfukuza kazi yeyote. Kikwete pia kazi imemshinda na naamini hata yeye si safi ndio maana alikuwa anaogopa kumfukuza kazi waziri yeyote, bora ajiuzulu tu...🙁