mbombo mte
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 713
- 197
Na leo Legwanani katoa tu introduction.Ngoja siku atupe main body watu wataharisha.
Jinsi alivysemwa kwa UFISADI naanza khofu kuwa lazima atalipiza kisasi kwa waliomjeruhi akienda Magogoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na leo Legwanani katoa tu introduction.Ngoja siku atupe main body watu wataharisha.
Kwa kifupi utetezi wa Lowassa ni wa kimaslahi zaidi kuliko uhalisia. Binafsi niliacha kazi katika taasisi moja ya umma Tanzania kwa kutokuheshimiwa kwa utaalam wangu nilioutoa ambao ndio msingi wa mkataba wangu. Lowassa alipaswa kuachia ngazi ili kukataa kuitia hasara nchi kama aliona dili ilikuwa ni ulaji/ maslahi binafsi ya bosi wake. Kitendo cha kuridhia na kujiuzulu kwa shinikizo la Kamati ya Mwakyembe, kisha kujitetea baada ya kuenguliwa nafasi ya urais ni unafiki na ubinafsi uliopitiliza. Only fool people ndio wataweza kumuelewa.
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward Lowassa ni mchapakazi,mvumilivu,mwenye ujasiri na hufanya maamuzi magumu pale inapobidi.
Ukweli huu unaweza kuchagizwa na kisa hiki; Wakati huo Mh.Lowassa akiwa Waziri wa Ardhi, Ndugu yangu mmoja aliwahi kuwa Afisa ardhi mkoa mmoja , alitumia madaraka yake vibaya kwa kujimilikisha viwanja na kugawa ardhi kinyume na taratibu katika mkoa huo, Mh.Lowassa alipata taarifa hizo na kumfukuza maramoja.Ndugu yangu huyu anamchukia Lowassa mpaka leo, lakini ukimuuliza ni kweli alitumia madaraka yake vibaya anakiri ni kweli lakini analaumu uamuzi uliokuwa umechukuliwa dhidi yake.
SWALI;
1.Je, ana usahihi wa kumlaumu na kumchukia Mh.Lowassa?
2.Je, ni wangapi wanaomchukia Lowassa sababu tu ya uzembe, uvivu na kulewa madaraka vilivyomo ndani yao?
My take;
Tuache chuki binafsi, tuwe wazalendo na tutangulize maslahi ya taifa mbele.
EL ni dhaifu , ameshindwa kutekeleza wajib wake akiwa kama mtendaji wa serikali [w/mkuu] kwa kumuogopa mkuu wake,
ilipaswa auvunje mkataba wa richmond au angejiuzulu ,
hamna kitu apo! Lowasa anahusika direct, kwani sahihi ni ya nani? sheria inambana 1 kwa 1.
ni sawa na wewe umuue mtu afu useme mamaako ndo alikwambia uue tena bila ushaidi! nan atahukumiwa?
Muda huu katika kukakiribishwa na kukabidhiwa kadi MH.LOWASSA ndani ya CHADEMA ,ameulizwa swali moja kuwa
Swali: Mh. Edward Lowassa unazungumiaje kuhusu kashfa ya Richmond?
Majibu Lowassa: Nipende tu kusema mimi kama waziri mkuu kwa kawaida ya sheria huwa ninaletewa mkataba muda wa mwisho kuupitia na kuupitisha huwa sihusiki na kuandaa mikataba,mwenye mamlaka ni waziri husika.
Hivyo baada ya kuletewa mkataba husika wa Richmond niliupitia na kiukweli niliuwekea shaka kwa sababu nilishawahi kuwa waziri wizara ya maji nina uzoefu na kuandaa mikataba, nilishauri mkataba huo uvunjwe lakini waziri wa nishati akawasiliana na "NGAZI YA JUU" na kulazimishwa kuupitisha mkataba huo.
Baada ya kugundulika kuwa mkataba huo ulikuwa na mapungufu mengi, "NILICHUKUA MAAMUZI MAGUMU KWA AJILI YA SERIKALI, na kubeba mzigo wote ndio maana hadi leo wanasema mimi ni FISADI WA RICHMOND, nipende kumaliza kwa kusema kwamba MWENYE USHAHIDI WA RICHMOND AENDE MAHAKAMANI AKANISHTAKI.
mwisho.
Tumia akili unapo argue. Kulieweka hadharani jambo kubwa kama hilo linahitaji uwe na platform sahihi kwa wakati sahihi na haswa ukizingatia mwizi mwenyewe ndiye aliyeshikilia mpini. Hata Mwakyembe mwenyewe alipofika mamlaka ya Waziri mkuu, alipochungulia na kukuta kumbe barabara haishii pale ilibidi afunge breki za mbuzi!
ivi unaweza kumsema vibaya rais pindi akiwa madarakani ndio mana hata leo ameshindwa kumsema moja kwa moja amebali kusema mamlaka ya juu ndio uelewe hivyo acha unoko elewa haraka uclete mahaba
What changed is that ...Kwa sasa Tunaye Lowasa huku CHADEMA
Hata Dr Slaa alitoka CCM baada ya Kukatwa kwa tuhuma zake alizotungiwa na CCM...Its Just timing
This is Politics....Kule Field watu wanamwelewa sana Lowasa
tunaendelea kumwamini kwa sababu Lowasa hakupewa nafasi na kamati ya mwakyembe kujitetea, hata kule nec alitaka kubwaga manyanga Mkapa akamzuia, hili linaeleweka, ndio maana walishindwa kumvua gamba.Dr Slaa bado tuendelee kukuamini?
Huwezi kupingana na mamlaka iliyokuteua!Lowassa: Nilipeleka documents kuwa kampuni ya Richmond haikuwa halali. Hizo documents nilizipeleka kwa mwanasheria mkuu Johnson Mwanyika. Lakini baada ya siku tano nilipoona mwanasheria mkuu hatekelezi niliamua kuitisha kikao kilichoongozwa na katibu mkuu kiongozi pamoja na makatibu wakuu wahusika akiwemo mwanasheria mkuu. Tuliongea mengi ila mwanasheria mkuu akaomba pumziko la masaa mawili. Alitoka nje kuongea na simu na aliporudi ndani akasema kuwa mamlaka ya juu imeagiza kuwa Richmond ni halali na kila kitu kiendelee kama ilivyokuwa. Mimi Lowassa ningeongea tena nini?
Asingekatwa tungejuaje?
It is nonsense unless you understand how those systems operate! Otherwise it is sensible!Huwezi kupingana na mamlaka iliyokuteua!
wewe ulitakaje.watanzania tuna imani na lowasa ndani ya ukawa