Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Mtakiona kilichomnyoa kanga manyoa mwaka huu.

Huyo kanga tumenyoa sisi tena ni kibudu aka nyamafu. Kuleni uozo wa matapishi mnayomezeshwa na Mbowe.

Misukule siwashangai kwa kuwa kila mtakacholishwa kwenu ni hewala tu, hamna akili za kufikiri wenyewe, nnamshangaa Mbowe, haoni hata haya kula matapishi yake?
 
Mimi kilichonisikitisha na mpaka sasa sielewi Mh. Kikwete kukubali kuimba kuimbishwa "tuna imani na Lowassa oyaa oyaa oyaaa..." na akanogewa mpaka aliposhtuliwa na Kinana.

Hiyo kitu ilimaanisha au kuashiria nini?
 
Punguza wasi wasi kwani unauza mirungi...
Ukawa Ikulu taka usitake ..
Kuwa mpole angalia Mchezo dakika 90 tu utaamini kitachotokea..

Ndugu watu wote wanaomnanga Lowasa ni team CCM na ndo wanaochota mafweza yetu na kutuibia mfano bi Faiza Foxy anamlipa h/girl mshahara mpaka anajenga nyumba na kununua gari binti wa kazi huyo,na hy bibi ni mfanyakazi wa umma jiulize kama si ndo wanao kula hela za serikali hao lazima waitete ili waendelee kula
 
Acheni unafiki wana ccm, kwani mlikua hamjui kwamba aliyehusika ni kaboss kake? mbona tetesi zilikuwepo nyingi kwa miaka 8? pia mtasema hamjua ESCROW nani kahusika? si Kaboss ka pinda, na mlitaka kumtoa tena kafara mtt wa mkulima hadi akamwaga chozi. Angekua na maamuzi magumu tu akajiuzulu bas nae angeitwa fisadi, kumbe kabos ndo mchakachuaji
 
Mkuu LOWASSA ndio sio mzalendo kwani angekuwa mzalendo kumbe tusingeibiwa richmond huku yeye akiwa waziri mkuu,,, maana alijua mkataba feki yeye akaendelea kuwa waziri mkuu huku akijua tunakuja kupata hasara na yeye kesi itamuhusu,,, kwa nini asiseme kuliokoa taifa na sababu hiyo ingetosha kujiuzulu na kuwaambia watanzania anajiuzuru kwa kuwa kuna dhambi abc na sio kujiuzuru baada ya kukatwa,, je asingekatwa??? si angeendelea kuwa kimya bila ya taifa kujua??? Nimegundua kwa hili JK ndio mzalendo....

Mzalendo alikua mzee Warioba alimwambia Mwinyi staki uwaziri mkuu EL hawezi kukwepa Richmond hata mkuu alihusika na mpaka juzi juzi alituambia ni swaiba wake. Huyu jamaa kama angepitishwa asingesema haya anayosema yeye na mrema sioni tofauti kabisa maana mrema aliachia mahela yapite airoort kisa mkuu alisema lakini alipotolewa bafasi nyeti akatoka ccm. Nashangaa watu wanahadaiwa kirahisi hivi. CDM na Slaa wangechukua magogoni kiuraisi kuliko kuchukua hiki furushi. CDM itaishia kuwa NCCR ya pili. Subiri November nimeudhija sana.
 
Amewaruhusu wampeleke court kama wanao u hakika na supporting documents , tena ninyi CCM ndo wenye dola na mamlaka why mnaogopa kwenda mahakamani ili msaliti wenu aipate?
 
EL ni dhaifu , ameshindwa kutekeleza wajib wake akiwa kama mtendaji wa serikali [w/mkuu] kwa kumuogopa mkuu wake,
ilipaswa auvunje mkataba wa richmond au angejiuzulu ,

unamaana gan sasa, ilipaswa auvunje mkataba au angejiuzuru! kwa hyo yy alifanyaje?
 
Swali kwa wanaojiita wana uwezo wa kufikiri, baada ya kutuhumiwa mwizi ni mahakama gani alishitakiwa, au serikali yenu haishitaki wezi,
 
If you say that a responsible person for richmond scandal is government means what?
Ofcourse head of region or may be i dont understand.
 
hamna kitu apo! Lowasa anahusika direct, kwani sahihi ni ya nani? sheria inambana 1 kwa 1.
ni sawa na wewe umuue mtu afu useme mamaako ndo alikwambia uue tena bila ushaidi! nan atahukumiwa?
Mkuu ,mfano wako siyo hai. Mama yako muda mwwingine uwezo wa kumbishia upo lakini sio
Raisi waa J I meaan JMT
 
Waziri mkuu anaposema mamlaka ya juu anamaanisha nini?...au anamkusudia nani?...haya sasaa mambo hadharanii...
 
Back
Top Bottom