Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!
haya maneno kayaongea leo??
Utetezi wa kitoto,,, lowassa hawezi kujitoa kwenye hiki kinyesi...
Alishauri kama waziri mkuu..,
hivi atakuwa nani huyo mamlaka ya juu?.hebu tujuzein
Utetezi wa kitoto,,, lowassa hawezi kujitoa kwenye hiki kinyesi...
Jamaa mjanja sana na kawaweza wanaoshikiwa akili tu. Kwanza angeeleza huo mkataba ulianzia wapi na ni wa nani, pili kwanini uvunjwe,adhari za kuuvunja na angeuvunjaje wakati hajui ulipotokea. Tatu,kwanini subordinate wake waongee na mamlaka ya juu na sio yeye. Nne, kwanini anaoita rafiki zake wahusiswe moja kwa moja na ilo dili na hakukemea chochote? Mwisho, kwanini asingejiuzulu mapema hadi dili ilipoyumba?
Mkuu mbona povu linakutoka? Jana mmeambiwa kama mna ushahidi nendeni mahakamani,mbona hamuendi?
EL anasena walimsubiri Mgonja kwa lisaa limoja na baada ya hapo Mgonja akawaambia Mamlaka za juu zimesema hakuna kufuta mkataba.
EL hakuthibitisha hili kwa kumpigia au kuwasiliana na rais...sijui kwa nini hakufanya hivyo.
Baada ya hapo mkataba ukaendelea!
Je sasa tuamini kuwa Mgonja alimdanganya waziri mkuu?
Nani hasa alisaini huu mkataba?
Ni mamlaka ya juu au lowassa kwa ushauri wa mgonja?
hili swali ikulu inna majibu
lile likuwa jibu la kiuutu uzima. Simu ilipigwa wote wakiwa pamoja lakini ndiyo hivyo. Rejea huu msemo .
"I serve at the pleasure of the president, and I will continue to serve as long as the president wants me to"
Hata mumeo alidanganywa na mgonjaEL anasena walimsubiri Mgonja kwa lisaa limoja na baada ya hapo Mgonja akawaambia Mamlaka za juu zimesema hakuna kufuta mkataba.
EL hakuthibitisha hili kwa kumpigia au kuwasiliana na rais...sijui kwa nini hakufanya hivyo.
Baada ya hapo mkataba ukaendelea!
Je sasa tuamini kuwa Mgonja alimdanganya waziri mkuu?
Nani hasa alisaini huu mkataba?
Ni mamlaka ya juu au lowassa kwa ushauri wa mgonja?
Hata mumeo alidanganywa na mgonja