Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Utetezi wa kitoto,,, lowassa hawezi kujitoa kwenye hiki kinyesi...
 
Duh!
haya maneno kayaongea leo??

Kama ni kweli hivyo ndivyo ilivyo, kwa hakika asingeweza kuyaongea siku za nyuma. Je, Dkt Mwakyembe si alisama kuna mambo waliamua kutoingiza kwenye ripoti yao? Na, si tumeona kamati ya Mwakyembe ikipongezwa kwa kupewa nyadhifa mbalimbali serikalini?
 
Hili ni doa sugu. Na Limeng'ang'ania sehemu mbaya. Na liko kama luba
 
hivi atakuwa nani huyo mamlaka ya juu?.hebu tujuzein

Jamaa mjanja sana na kawaweza wanaoshikiwa akili tu. Kwanza angeeleza huo mkataba ulianzia wapi na ni wa nani, pili kwanini uvunjwe,adhari za kuuvunja na angeuvunjaje wakati hajui ulipotokea. Tatu,kwanini subordinate wake waongee na mamlaka ya juu na sio yeye. Nne, kwanini anaoita rafiki zake wahusiswe moja kwa moja na ilo dili na hakukemea chochote? Mwisho, kwanini asingejiuzulu mapema hadi dili ilipoyumba?
 
Utetezi wa kitoto,,, lowassa hawezi kujitoa kwenye hiki kinyesi...

Anadhani watanzania ni wajinga hawajui jinsi ya mtu anavyocheza dili kwa kuwashirikisha watu wengine bila yeye ku engage moja kwa moja ili asichafuke. Katutia hasara halafu tumpe na Nchi
 
Jamaa mjanja sana na kawaweza wanaoshikiwa akili tu. Kwanza angeeleza huo mkataba ulianzia wapi na ni wa nani, pili kwanini uvunjwe,adhari za kuuvunja na angeuvunjaje wakati hajui ulipotokea. Tatu,kwanini subordinate wake waongee na mamlaka ya juu na sio yeye. Nne, kwanini anaoita rafiki zake wahusiswe moja kwa moja na ilo dili na hakukemea chochote? Mwisho, kwanini asingejiuzulu mapema hadi dili ilipoyumba?

Mkuu mbona povu linakutoka? Jana mmeambiwa kama mna ushahidi nendeni mahakamani,mbona hamuendi?
 
Ok Kama EL aliutilia mashaka mkataba huo kwamba haukuwa halali,Baada ya mamlaka za juu kuja kuhalalisha haramu,Ni kwa nini yeye EL hakujiuzuru wakati huo badala yake akaja kuchukua uamuzi wa kujiuzuru baada ya shinikizo la bunge?.
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Mkuu mbona povu linakutoka? Jana mmeambiwa kama mna ushahidi nendeni mahakamani,mbona hamuendi?

Mkuu unadhani yeye mjinga aibe kizaman? Hiyo show best zake ndio kawatumia,baada ya dili kubuma anataka apewe dili la kuuvunja atupige tena hela.
 
EL anasena walimsubiri Mgonja kwa lisaa limoja na baada ya hapo Mgonja akawaambia Mamlaka za juu zimesema hakuna kufuta mkataba.

EL hakuthibitisha hili kwa kumpigia au kuwasiliana na rais.Sijui kwanini hakufanya hivyo.

Baada ya hapo mkataba ukaendelea!

Je, sasa tuamini kuwa Mgonja alimdanganya waziri mkuu?

Nani hasa alisaini huu mkataba?

Ni mamlaka ya juu au lowassa kwa ushauri wa mgonja?
 
EL anasena walimsubiri Mgonja kwa lisaa limoja na baada ya hapo Mgonja akawaambia Mamlaka za juu zimesema hakuna kufuta mkataba.

EL hakuthibitisha hili kwa kumpigia au kuwasiliana na rais...sijui kwa nini hakufanya hivyo.

Baada ya hapo mkataba ukaendelea!

Je sasa tuamini kuwa Mgonja alimdanganya waziri mkuu?

lile likuwa jibu la kiuutu uzima. Simu ilipigwa wote wakiwa pamoja lakini ndiyo hivyo. Rejea huu msemo .

"I serve at the pleasure of the president, and I will continue to serve as long as the president wants me to"
 
Hata swali langu ni la kiutuuzima mkubwa!
 
EL anasena walimsubiri Mgonja kwa lisaa limoja na baada ya hapo Mgonja akawaambia Mamlaka za juu zimesema hakuna kufuta mkataba.

EL hakuthibitisha hili kwa kumpigia au kuwasiliana na rais...sijui kwa nini hakufanya hivyo.

Baada ya hapo mkataba ukaendelea!

Je sasa tuamini kuwa Mgonja alimdanganya waziri mkuu?

Nani hasa alisaini huu mkataba?

Ni mamlaka ya juu au lowassa kwa ushauri wa mgonja?
Hata mumeo alidanganywa na mgonja
 
waulize CCM,maana mkutano wa leo walitaka kulizungumzia-wakaona itawa cost maana Lowassa angekuja na all guns blazing na kumwaga unga,ugali,maharage,dengu na what have you-nchi isingekalika-inabidi kuliko kujaza server humu kwanza ujaze dots mwenyewe
 
Back
Top Bottom