Kashfa ya rushwa kwenye Bunge la Ulaya na marafiki wa CHADEMA

Unahangaika na bunge la ulaya wakati nyumbani kuna deni la trilioni 91.
 
UKIFA wanakuja msibani- wazungu hasa wa Ulaya hawaendi hata kuzika wazazi wao
Mbona unatangatanga!! Kwenda misibani siyo jambo la maana kuliko kusaidia watu wasife. Hao wazungu ndiyo wanasababisha mpaka leo Tanzania tunapewa ARV bure!!

Wewe unangoja watu wafe lakini wazungu wanazuia watu wasife kwa UKIMWI.
 
ARV inaondoa kifo eee
 
Mimi mtu akituhumiwa tu- sikai nae. Kwa CHADEM,A wanavyojitanabaisha kuwa wasafi hii kashfa haiwaaich salama na wao ni yaleyale

Mbona CCM ina kashfa toka uhuru na bado unaishabikia kila siku. Please usipende kulazimisha chadema kwenye mambo ya kijinga.
 
Umesahau Mramba, Yona, na Mbowe walifungwa halafu unasema hapa hatua hazichukuliwi- Utakuwa ulikuwa mwezini

Mbowe alifungwa lini?. Nachojua Mbowe alifunguliwa mashtaka lakini DPP akaiondoa kesi.
 
Ulichoandika naona aibu Mimi.
 
Wewe unashida , nimekuuliza Kesi ya akina Kangi Lugola iliishia wapi unaniletea mambo ya kijinga.

umeuliza swali la kijinga na stahiki yako ni jibu la kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…