Kashfa ya rushwa kwenye Bunge la Ulaya na marafiki wa CHADEMA

Kashfa ya rushwa kwenye Bunge la Ulaya na marafiki wa CHADEMA

Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU.
View attachment 2443857
Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili

Unahangaika na bunge la ulaya wakati nyumbani kuna deni la trilioni 91.
 
UKIFA wanakuja msibani- wazungu hasa wa Ulaya hawaendi hata kuzika wazazi wao
Mbona unatangatanga!! Kwenda misibani siyo jambo la maana kuliko kusaidia watu wasife. Hao wazungu ndiyo wanasababisha mpaka leo Tanzania tunapewa ARV bure!!

Wewe unangoja watu wafe lakini wazungu wanazuia watu wasife kwa UKIMWI.
 
Mbona unatangatanga!! Kwenda misibani siyo jambo la maana kuliko kusaidia watu wasife. Hao wazungu ndiyo wanasababisha mpaka leo Tanzania tunapewa ARV bure!!

Wewe unangoja watu wafe lakini wazungu wanazuia watu wasife kwa UKIMWI.
ARV inaondoa kifo eee
 
Mimi mtu akituhumiwa tu- sikai nae. Kwa CHADEM,A wanavyojitanabaisha kuwa wasafi hii kashfa haiwaaich salama na wao ni yaleyale

Mbona CCM ina kashfa toka uhuru na bado unaishabikia kila siku. Please usipende kulazimisha chadema kwenye mambo ya kijinga.
 
Umesahau Mramba, Yona, na Mbowe walifungwa halafu unasema hapa hatua hazichukuliwi- Utakuwa ulikuwa mwezini

Mbowe alifungwa lini?. Nachojua Mbowe alifunguliwa mashtaka lakini DPP akaiondoa kesi.
 
utakuwa na upungufu wa kumbukumbu
1. Kange Lugora aliwahi kukamatwa kwa tuhuma za rushwa kwa kukumpa
2. WABUNGE wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Arusha, wametiwa mbaroni na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa katika uchaguzi wa chama hicho. Taarifa ya Takukuru, iliwataja wabunge hao kuwa ni Elisa Mollel (Arumeru Magharibi) na Michael Lekule Laizer (Longido), na kwamba wanaendelea kuhojiwa, ili ikithibitika kuwa wanahusika na tuhuma hizo, hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao. mmoj

Kangi lugola alikuja kuja waziri. Kumbe ccm inapenda wala rushwa.
 
Hivi nyie CHADEMA imewauma sana bunge la ulaya kukubwa na kashfa ya rushwa iliyotolewa ili waliotoa waswemwe vizuri. Inawezekana huwa mnawahonga wabunge wa bunge la Ulaya ili wawaseme vizuri. Ndiyo maana hela ya ruzuku na michango ya kila siku haijulikani inaenda wapi
Ulichoandika naona aibu Mimi.
 
Kesi yao iliishia wapi?
1670851173774.png
 
Wewe unashida , nimekuuliza Kesi ya akina Kangi Lugola iliishia wapi unaniletea mambo ya kijinga.
1670851394241.png

umeuliza swali la kijinga na stahiki yako ni jibu la kijinga
 
Back
Top Bottom