Tetesi: Kashogi hakuumia wakati anakatwa kichwa alishakufa

Yatajulikana,mbeleni uchunguzi ukifanyika.
 
Hawa naona Mungu alisinzia wakati wa uumbaji akasahau kuwawekea roho ya binadamu wakapewa roho za nyoka koboko.kuwatambua unapima yatokayo vinywani mwao hawana maneno ya utu,wengi ni mchanganyiko wa binadamu na majini baada ya kupatikana kwa waganga pale wazazi wao walipokosa watoto.
Duh! Kuna watu wana roho mbaya kiasi kwamba hata shetani akiwaona anawaogopa...
 
1. Kummiminia Tundu Lisu risasi 30

2. Kukata kichwa kwa shoka Alphonce mawazo

3. Kumsambaratisha matumbo Saudi mwangosi

4. Kumkata shingo mwenyekiti cdm USA liver Arusha

Nk nk

Tanzania ni zaidi ya kashogi

Kabisa, alafu kuna mshkaji hapo juu anasema waarabu ni makatili wakati sisi ndio mara elufu kumi ya waarabu. Hii ngozi yetu bwana aliyetuloga alikuwa shujaa sana
 
Hawa naona Mungu alisinzia wakati wa uumbaji akasahau kuwawekea roho ya binadamu wakapewa roho za nyoka koboko.

Ila nasisi tusijisahau kwa kuwakatili maalbino na vikongwe! Tena sisi ni makatili zaidi ya binadamu wote duniani. Ni heri ningezaliwa mchina
 
Alikuwa hai.Kama angekuwa amekufa asingevuja damu vile.
 
Huyu kashogi hakusoma alama za nyakati walahi, Au ndio kifo kilikuwa kinamwita na huku mapenzi yamepamba moto na bibie, pesa alikuwa nayo nyingi sana na mtoto wa mfalme ni mwendawazimu, ya nini kushindana naye walahi
Duh NACHAGUA KUISHI WALAHI
 
Huyu kashogi hakusoma alama za nyakati walahi, Au ndio kifo kilikuwa kinamwita na huku mapenzi yamepamba moto na bibie, pesa alikuwa nayo nyingi sana na mtoto wa mfalme ni mwendawazimu, ya nini kushindana naye walahi
Duh NACHAGUA KUISHI WALAHI

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Video ile haifai kuwekwa hapa. Imeniharibia siku yangu kabisa. Ila ukweli ni kuwa kashogi alishazimia kabla ya kukatwa ile shingo kwa shoka. Sababu ukiangalia wakati anakatwa utaona vidole vya mikono vinahisi kitu kisichokwaida. Vinafinya[emoji24][emoji24]
 
Mkuu Mexico drug cartels kama Sinaloa ndio wanatumia chainsaw kukata shingo za watu Tanzania sijawahi kusikia hii toka tupate uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…