Usiende mbali hapo juzi juzi tu Afrika ya Kati wakati kuna mapigano ya Kidini niliona clip waafrika wanaua mtu wanamla nyama mbichi mbichi na kunywa damu, hapo Congo waasi nasikia wamewatafuna mbirikimo kama wanyama. Pia kila siku wanaua watu na kuwakata wanawake sehemu za siri na maziwaHahahaa umeona mkuu, kisa eti mweupe..
Tena zetu ndio mbaya zaidi maana mpaka watoto wanaangalia mtu anachomwa moto na tairi
Katika ukatili mimi naona hii ni namba moja
Falaa sanaa huyu jamaahahahaha kaleta video, ila ni jamaa wa mexico huko, sijui muvi ile
Usiende mbali hapo juzi juzi tu Afrika ya Kati wakati kuna mapigano ya Kidini niliona clip waafrika wanaua mtu wanamla nyama mbichi mbichi na kunywa damu, hapo Congo waasi nasikia wamewatafuna mbirikimo kama wanyama. Pia kila siku wanaua watu na kuwakata wanawake sehemu za siri na maziwa
UmeonaWakishaona ngozi nyeupe wameuwana wanajuwa ni mikatili tu [emoji23][emoji23][emoji23] hahaa wakati cc ndiyo tunaongoza kuuwana kama kuku
Tena kanisaniHahahaa umeona mkuu, kisa eti mweupe..
Yaani fake news kila konaI second you...nimeona kichwa huyo sio khashogi
Ha ha ha! Mwana LIKE mwenzangu mbona unaogopa Kifo namna hiyo.?[emoji16][emoji16][emoji16]Huyu kashogi hakusoma alama za nyakati walahi, Au ndio kifo kilikuwa kinamwita na huku mapenzi yamepamba moto na bibie, pesa alikuwa nayo nyingi sana na mtoto wa mfalme ni mwendawazimu, ya nini kushindana naye walahi
Duh NACHAGUA KUISHI WALAHI
DuhVideo ile haifai kuwekwa hapa. Imeniharibia siku yangu kabisa. Ila ukweli ni kuwa kashogi alishazimia kabla ya kukatwa ile shingo kwa shoka. Sababu ukiangalia wakati anakatwa utaona vidole vya mikono vinahisi kitu kisichokwaida. Vinafinya[emoji24][emoji24]
hiyo sio wanasema halafu mbona huyu anakatwa kama tayari kashachoka kama sio kufaImeshawekwa na jembe nani sijui....mi nimeshindwa kuangalia[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji22] [emoji22]
Ukileta umakumaku hiyo ndo pension yenyewe tena waandishi walivyo washenzi niko na MBS. Na wachinjwe tu mpaka akili ikae sawa!!
Natamani kuiona...Usiombe kuiona kama una roho ndogo
Tena kanisani
Kwani trump kasemaje
Ujinga mtupu,huu ushauri wapelekee waandishi wanaotumia kalamu zao kuandika ujinga kama huu ulioandika hapa. Acheni karma ifanye kazi mpaka akili zenu zikae sawa.Aibu kwa Online stranger??Unaleta busara uchwara!!!Mtu mzima jiheshimu kuongea lugha chafu kama hii unatia aibu na kinyaa!!!
Pata picha anafanyiwa hivyo baba yako mzazi msipende kujisahau na kujitoa akili dunia hii tunapita hakuna atakayeishi milele JITAMBUE