Jay dinongo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 211
- 289
Haifai ile video nimeiona aiseeVideo ile haifai kuwekwa hapa. Imeniharibia siku yangu kabisa. Ila ukweli ni kuwa kashogi alishazimia kabla ya kukatwa ile shingo kwa shoka. Sababu ukiangalia wakati anakatwa utaona vidole vya mikono vinahisi kitu kisichokwaida. Vinafinya[emoji24][emoji24]