Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Ruzuku huwa wanapeleka wap maana hata ofisi za makao makuu tu hawana
CAG na TAKUKURU mwaka jana walifanya special audit baada ya tuhuma za lijualikali mbona hawakupata evidence? Ama ww unajua sana forensic auditing kuliko NAO?Waache kuwaibia wananchi misharaha ya wabunge wao kipind chote walivhokuwa bungen pamoja na ruzuku wanazopata wangekuwa na ofis kila wilaya na kila kata
Kivipi sasa CAG anatoa hati safi?Hii ni njia nyingine ya kutafuna pesa za walala hoi, bila shaka mleta mada ni mnufaika wa hili swala ndo maana umekimbilia kuleta huu uzi humu ili mpate watu wengi wa kuwapiga. Kila siku tunaambiwa kuwa mwenyekiti ni tajiri wa kutupa lkn utajiri wake hatuuoni.
Makao makuu hovyo, ofisi ndogo hovyo na bado ruzuku au michango ikipatikana inaliwa na mwenyekiti akishirikiana na genge lake ambalo wengine wapo humu. Kuna jamaa alitoa pesa za kujenga Makao Makuu ya chama pamoja na kuchimba visima mbali mbali, hela hiyo ikayayukia ktk mikono ya wajanja wachache ambao leo hii ndio wanaoshikilia remote ya chama.
Safi kabisa, ukisikia legacy ndio hizi sasaChadema kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato Cha chini.
Niwapongeza wanaofanya kazi hii nakuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
Mbona Wilaya ya Hai hatuhamasiswi?Chadema kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato Cha chini.
Niwapongeza wanaofanya kazi hii nakuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
Tofauti na CCM wanaotumia mali za umma na kuwalazimisha wafanya biashara na wakuu wa idara.Chadema kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato Cha chini.
Niwapongeza wanaofanya kazi hii nakuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
CCM wao wanatumia mali za ummaSafi kabisa...ukisikia legacy ndio hizi sasa
Na kugawiana wao kwa waoCCM wao wanatumia mali za umma
upumbavu nao ni kipajiCHADEMA kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato cha chini.
Niwapongeza wanaofanya kazi hii na kuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
Makao makuu ya chama, Jengo lile ni mali halali ya Chadema na mengine mengi ambayo hayaelezwi kwa sababu chama kumiliki Jengo ni Jambo la kawaida.Ruzuku huwa wanapeleka wap maana hata ofisi za makao makuu tu hawana.