Kasi ya CHADEMA kujenga ofisi za majimbo kwa nguvu ya umma itufunze umuhimu wa kuwekeza kwa watu

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
CHADEMA kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato cha chini.

Niwapongeza wanaofanya kazi hii na kuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
 
Hii ni njia nyingine ya kutafuna pesa za walala hoi, bila shaka mleta mada ni mnufaika wa hili swala ndo maana umekimbilia kuleta huu uzi humu ili mpate watu wengi wa kuwapiga. Kila siku tunaambiwa kuwa mwenyekiti ni tajiri wa kutupa lkn utajiri wake hatuuoni.

Makao makuu hovyo, ofisi ndogo hovyo na bado ruzuku au michango ikipatikana inaliwa na mwenyekiti akishirikiana na genge lake ambalo wengine wapo humu. Kuna jamaa alitoa pesa za kujenga Makao Makuu ya chama pamoja na kuchimba visima mbali mbali, hela hiyo ikayayukia ktk mikono ya wajanja wachache ambao leo hii ndio wanaoshikilia remote ya chama.
 
Waache kuwaibia wananchi misharaha ya wabunge wao kipind chote walivhokuwa bungen pamoja na ruzuku wanazopata wangekuwa na ofis kila wilaya na kila kata
CAG na TAKUKURU mwaka jana walifanya special audit baada ya tuhuma za lijualikali mbona hawakupata evidence? Ama ww unajua sana forensic auditing kuliko NAO?
 
Hii ni njia nyingine ya kutafuna pesa za walala hoi, bila shaka mleta mada ni mnufaika wa hili swala ndo maana umekimbilia kuleta huu uzi humu ili mpate watu wengi wa kuwapiga. Kila siku tunaambiwa kuwa mwenyekiti ni tajiri wa kutupa lkn utajiri wake hatuuoni.

Makao makuu hovyo, ofisi ndogo hovyo na bado ruzuku au michango ikipatikana inaliwa na mwenyekiti akishirikiana na genge lake ambalo wengine wapo humu. Kuna jamaa alitoa pesa za kujenga Makao Makuu ya chama pamoja na kuchimba visima mbali mbali, hela hiyo ikayayukia ktk mikono ya wajanja wachache ambao leo hii ndio wanaoshikilia remote ya chama.
Kivipi sasa CAG anatoa hati safi?
 
Chadema kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato Cha chini.

Niwapongeza wanaofanya kazi hii nakuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
Safi kabisa, ukisikia legacy ndio hizi sasa
 
Chadema kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato Cha chini.

Niwapongeza wanaofanya kazi hii nakuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
Mbona Wilaya ya Hai hatuhamasiswi?
 
Chadema kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato Cha chini.

Niwapongeza wanaofanya kazi hii nakuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
Tofauti na CCM wanaotumia mali za umma na kuwalazimisha wafanya biashara na wakuu wa idara.
 
Petty issues. Mnapoteza muda wa thamani sana kumshabikia mama badala ya kula naye sahani moja kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kwa nguvu zote. Mkija kukurupuka kumekucha mnapigwa tena 2025 mnabakia kulalamika kwa malalamiko yale yale ya kuibiwa kura miaka nenda miaka rudi.

Nguvu zote zielekezwe kwenye katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kabla mama hajawa emboldened...mengine ni kupoteza muda tu labda kama lengo lenu si kushika dola siku moja na "kuwaokoa" Watanzania!
 
Wanachi wameamua kujiongeza maana hela zote anakula Mbowe na genge lake!

Nyarandu: Wanachama wa kawaida wa chadema hawana shida kabisa, ukiwambia chochote watafanya, shida ipo kwa viongozi.
 
Mwenyekiti angekuwa alianza na hela za ruzuku toka kitambo,saa hizi mngekuwa mnajenga kila tarafa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
CHADEMA kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato cha chini.

Niwapongeza wanaofanya kazi hii na kuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
upumbavu nao ni kipaji
 
Wajenge tuu kwa kweli.. wametia aibu sana
Miaka zaidi ya 28 hawana hata makao makuu ya chama😃😃
 
Back
Top Bottom