Kasi ya CHADEMA kujenga ofisi za majimbo kwa nguvu ya umma itufunze umuhimu wa kuwekeza kwa watu

Mungu ibariki Chadema
 
Hata mimi nimeamini Nguvu ya itikadi na imani inazidi nguvu ya mabonu na Nyukilia.
 
Wajenge tuu kwa kweli.. wametia aibu sana
Miaka zaidi ya 28 hawana hata makao makuu ya chamaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
walikuwa wanatafuta kwanza wafuasi. sasa wamewapata kujenga imekuwa rahisi kama kunawa
 
Mwenyekiti angekuwa alianza na hela za ruzuku toka kitambo,saa hizi mngekuwa mnajenga kila tarafa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
ccm bila pesa za serikali za umma imewahi kujenga hata ofsi ya china?
 
wivu tu utakuua
 
Chadema n imani, iko mioyon mwa watu[emoji119]
Kila Zama zina mwisho wake, ukwel mchungu ccm haina muda mrefu, mbuyu utaanguka
 
Kama mnataka msonge cha kwanza kabisa ni kumwambia Mwenyekiti ajihuzuru. Hapo mtapiga bonge la step na kujenga imani kwa baadhi ya wananchi
 
Petty issues. Mnapoteza muda wa thamani sana kumshabikia mama badala ya kula naye sahani moja kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kwa nguvu zote.
Ngoja kwanza tumlinde linde mama, maana sukumagang na MATAGA wanampiga vita. Tukishamjengea uwezo ndio tunaanza kumkaba naye atupe mahitaji yetu
 
Tulia wewe katiba mpya uliisema wakati wa mwenda zake?
 
πŸ˜†πŸ˜‚ mnaonaje mkianza na makao makuu kwanza?
 
Upo sahihi kabisa
 
katiba mpya hawawezi pewa wala tume huru hata wao wanalijua hilo, ndo maana wanatumia nguvu sehemu nyingine.

alafu katiba mpya mbona sio dawa mkuu, maana mbona hata hii inavunjwa tu na hakuna hatua zinazochukuliwa? hiyo mpya haitavunjwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…