Kasi ya CHADEMA kujenga ofisi za majimbo kwa nguvu ya umma itufunze umuhimu wa kuwekeza kwa watu

chadema itakutoa roho. sasa tuko 8M wanachama hai. Aliyepanga kuiua kafa yeye

Binadamu wanakifa lakini vyama na taasisi makini hazifi.

Nyerere aliondoka lakini CCM aliyoijenga inaishi, Mkapa na JPM nao wamepumzika na kuacha chama imara

Chadema ilishakufaa zamani.... imebaki Sacco ya Mwenyekiti wa kudumu mwenye hakimiliki ya chama na wasaidizi wake watiifu waliojawa na karama ya uongo na matusi
 
Kama vyama havifi alikuwa anapambana ili iweje? alisema atavifuta. 😆😆akafutika yeye kamwe hatarudi tena.
 
Kama mnataka msonge cha kwanza kabisa ni kumwambia Mwenyekiti ajihuzuru. Hapo mtapiga bonge la step na kujenga imani kwa baadhi ya wananchi
Bado mwasaka fursa ya kuleta maotea? Bidii za kishetani.
 
Sina itikadi wala si mpenzi wa vyama ila kwa hili acha uongo
 
Walafu mkuu utasikia watu wa Zama zile, na chama kile wakiyumba ,CHADEMA IMEKUFA,subutu
 
Chadema ilishakufaa zamani.... imebaki Sacco ya Mwenyekiti wa kudumu mwenye hakimiliki ya chama na wasaidizi wake watiifu waliojawa na karama ya uongo na matusi
Dada hebu kamuulize Nduguyai kwanza, nadhani atakupa jibu la ukweli zaidi, litakakusaidia kuacha kuweweseka.
 
Unauliza maswali ya kitoto sana. Michango inapitia kwenye akaunti binafsi ya viongozi na kuliwa, CAG ataviona?
Shida huelewi hata Forensic auditing ni nini? Huwa inafanyika 360 search kuanzia movement ya pesa na miamala kwenye akaunti za wahusika na rafiki zao wa karibu. Hii ndio hupelekea hata watakatishaji fedha kukamatwa coz huwa hawatumii akaunti zao rasmi.

Sasa hiyo kazi TAKUKURU wakishirikiana na FIU walisaka data zote ila hawakuona wizi ndani ya CHADEMA hasa viongozi wake na kesi ikafutwa sasa ww ni nani kudai kuna ufisadi.
 
Usiongee kwa kukaririshwa maneno
Mbona Povu Swala na Mada Wananchi ndio wanajitolea Kujenga Ofis za Chadema Je ambaye alifikiria Kuua Vyama je amefanikiwa kias gan?
 
Kama vyama havifi alikuwa anapambana ili iweje? alisema atavifuta. 😆😆akafutika yeye kamwe hatarudi tena.

Na vikafutika sababu sio vyama vya siasa ni vitega uchumi vya wachache....
Ruzuku imepungua naona sasa mmeanza kupitisha bakuli ili mle🤣🤣
 

Sio mbaya sana kwa akili za chadema .....

Viongozi wenyewe Wametumbua ruzuku miaka yote28 bila kuwaza ujenzi wa office, baada ya ruzuku kupungua ndio akili ya kuwakamua wananchi kujenga hizo office imekuja🤣🤣🤣

Kuwa CHADEMA yataka moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…