Kasi ya CHADEMA kujenga ofisi za majimbo kwa nguvu ya umma itufunze umuhimu wa kuwekeza kwa watu

Dada hebu kamuulize Nduguyai kwanza, nadhani atakupa jibu la ukweli zaidi, litakakusaidia kuacha kuweweseka.

Chadema ni mfano wa chama cha siasa ila sio chama cha siasa
 
Unadhania kila mtu ni mbumbumbu?
 
Wanachi wameamua kujiongeza maana hela zote anakula Mbowe na genge lake!

Nyarandu: Wanachama wa kawaida wa chadema hawana shida kabisa, ukiwambia chochote watafanya, shida ipo kwa viongozi.
🤣🤣🤣 Hakika huyu mtu anaitwa Mbowe itakua ni the best sana yaan bungeni ni yeye mitandaon ni yeye kibaya zaid hua hajibu mashambulizi. Maybe he's very smart, BTW kwan nyalandu alikua anataka uongoz wa CDM ufanye nn kwan? Why karudi alikotoka? Hapo ndipo utaelewa kwann nguchiro hakamatiki. OVER!!
 
Ni ngumu sana kumuelewesha mtu wa aina yako, ni ngumu sana! Umeshinda! Mara Chadema imekufa, Mara ni Saccos Mara Kikundi cha kitapeli!

Hizi ni hasira na kumpoteza Mwendazake na kumchukia Samia, kwahio kuwajibu watu wenye stress kiasi hiki ni ngumu. Mmeshinda!
 

Kusema chadema ni chama cha siasa ni utapeli na maigizo yanayofurahiwa na waliomchukia mwendazake kwa sababu zao binafsi.

Chadema ilikufa walipoamua kumchukua Lowasa aliyeshinikizwa na chama chake kujiuzulu kwa ufisadi na baadae kukatwa akiwa kwenye harakati ya kushika dola...

Bila kujali wala kuona haya chadema haohao wakamchukua waliyemuita fisadi papa na kumsafisha huku wakitaka ashike dola

Wanaojinasibu kuwa wanaChadema ni wasaka tonge, wasalitii na vibaraka tuu

Nina uchungu wa kumpoteza JPM ila Sina stress za kumpoteza JPM sababu ameacha serikali imara na rais wetu SSH yupo imara... tulieni maana kile mnachokitaka nusunusu atawapa kikiwa kamili

Stress ziko kwenu ambao Rais wenu ni mkimbizi huko ubelgij, ruzuku zimekata ndio mnashtuka kuanza kutembeza bakuli, miaka28 chama hakina office🤣🤣


Kuwa mwanachadema lazima mtu mzima ujitoe ufahamu kidogo
 
Hahahaahaa Samia kamkata nanihiiii Sabaya huko hahahahhahahaa safi sana
 
Hahahaha hahahaahahhaa hahahaha andikaaaaa weeeeeee leo Nina raha tu, Mama atawashangaza hadi mkufe
 
Hahahaha hahahaahahhaa hahahaha andikaaaaa weeeeeee leo Nina raha tu, Mama atawashangaza hadi mkufe
Kinachokuchekesha hapo ni nini!?
Kwani ndio mara ya kwanza kushuhudia rais akitengua uteuzi au kusimamisha mtu kazi hadi tushangae?

Wanafiki wakubwa nyie
Wanafki ni nyie msiojua hata mnachokitaka😆😆😆
Wacha ironlady awavuruge maana sasa hamjui hata mliposimama🤣🤣🤣🤣
 
Tuendelee kutuma michango mpaka jobo apasuke
 
Walala hoi wakoje unaowazungumzia kama wewe au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…