Kasi ya CHADEMA kujenga ofisi za majimbo kwa nguvu ya umma itufunze umuhimu wa kuwekeza kwa watu

Aisee nazidi kukupenda sana kwa kutumia akili sana.
 
Waache kuwaibia wananchi misharaha ya wabunge wao kipind chote walivhokuwa bungen pamoja na ruzuku wanazopata wangekuwa na ofis kila wilaya na kila kata
Ccm inamajengo kibao lkn hakuna inakifanya zaidi ya kuwatia watanzania umasikini
 
Timu sukuma gang inazidi kumong'onyoka
 
Na vikafutika sababu sio vyama vya siasa ni vitega uchumi vya wachache....
Ruzuku imepungua naona sasa mmeanza kupitisha bakuli ili mle๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Vipi Mama Kaka yako Mjomba Sabaya wamekula kichwa. pole sana
 
Waliliwa vichwa kina lowasa na lugola sembuse sabaya?
Wewe endelea kuidemkia tuu CCM maana huna namna hiyo ndo babalao
Lowasa hanihusu. Lisabaya wamelinyosha kwelo kweli. Nchi inaendelea kuwa na amani.
 
Uko excited kama vile umenunuliwa gauni la Eid๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kilichofanyika ni kitu cha kawaida sana katika utumishi, kama hujui kamuulize lugola na lowasa
alijiona nguli
 
Sasa wajinga wanakesha eti namna ya kumdhibiti mbowe ili kukiua chama!! Haya majibu yenu ni hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ