Kasi ya CHADEMA kujenga ofisi za majimbo kwa nguvu ya umma itufunze umuhimu wa kuwekeza kwa watu

Kasi ya CHADEMA kujenga ofisi za majimbo kwa nguvu ya umma itufunze umuhimu wa kuwekeza kwa watu

CHADEMA kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato cha chini.

Niwapongeza wanaofanya kazi hii na kuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
Aisee nazidi kukupenda sana kwa kutumia akili sana.
 
Waache kuwaibia wananchi misharaha ya wabunge wao kipind chote walivhokuwa bungen pamoja na ruzuku wanazopata wangekuwa na ofis kila wilaya na kila kata
Ccm inamajengo kibao lkn hakuna inakifanya zaidi ya kuwatia watanzania umasikini
 
Hii ni njia nyingine ya kutafuna pesa za walala hoi, bila shaka mleta mada ni mnufaika wa hili swala ndo maana umekimbilia kuleta huu uzi humu ili mpate watu wengi wa kuwapiga. Kila siku tunaambiwa kuwa mwenyekiti ni tajiri wa kutupa lkn utajiri wake hatuuoni.

Makao makuu hovyo, ofisi ndogo hovyo na bado ruzuku au michango ikipatikana inaliwa na mwenyekiti akishirikiana na genge lake ambalo wengine wapo humu. Kuna jamaa alitoa pesa za kujenga Makao Makuu ya chama pamoja na kuchimba visima mbali mbali, hela hiyo ikayayukia ktk mikono ya wajanja wachache ambao leo hii ndio wanaoshikilia remote ya chama.
Timu sukuma gang inazidi kumong'onyoka
 
Na vikafutika sababu sio vyama vya siasa ni vitega uchumi vya wachache....
Ruzuku imepungua naona sasa mmeanza kupitisha bakuli ili mle🤣🤣
Vipi Mama Kaka yako Mjomba Sabaya wamekula kichwa. pole sana
 
Waliliwa vichwa kina lowasa na lugola sembuse sabaya?
Wewe endelea kuidemkia tuu CCM maana huna namna hiyo ndo babalao
Lowasa hanihusu. Lisabaya wamelinyosha kwelo kweli. Nchi inaendelea kuwa na amani.
 
Atakuhusu vipi wakati mlimsafisha na hakusafishika😆😆😆😆

Kidumu chama cha mapinduzi
IMG-20210514-WA0001.jpg
 
CHADEMA kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato cha chini.

Niwapongeza wanaofanya kazi hii na kuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
Sasa wajinga wanakesha eti namna ya kumdhibiti mbowe ili kukiua chama!! Haya majibu yenu ni hayo.
 
Back
Top Bottom