Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Ndiyo uhalisia huo mkuu au haujawahi kuishi rural area? Au upo kwa shemeji hapo kimara bonyokwa ukimsaidia dada kufua nguo za ndani za shemeji na kubadilisha nepi mtoto? Tembea bwana au umemaliza chuo mwaka huu?
Wacha maneno, Lete watoto, zaa, tena zaa.
 
Nchi 20 zenye idadi ndogo ya vifo vya kina mama wakati wakujifungua Africa (2020), pia inaitwa maternal mortality rate (MMR) ni njia nyingine ya kupima maendeleo ya nchi.

Namba baada ya jina la nchi ni Idadi hii ni ya Vifo vilivyotokea kati ya kila wanawake laki mmoja waliojifungua salama mwaka 2020.

1. Egypt 🇪🇬 - 16.8
2. Morocco 🇲🇦- 71.9
3. Libya 🇱🇾- 72.1
4. Algeria 🇩🇿 - 77.7
5. Mauritius 🇲🇺 - 84.4
6. South Africa 🇿🇦 - 126
7. Mozambique 🇲🇿- 127.1
8. Zambia 🇿🇲 - 134.7
9. Botswana 🇧🇼 - 185.9
10. Equatorial Guinea 🇬🇶- 212.3
11. Namibia 🇳🇦 - 214.6
12. Comoros 🇰🇲 - 217
13. Angola 🇦🇴 - 221.9
14. Gabon 🇬🇦 - 226.6
15 Djibouti 🇩🇯 - 234.5
16. Tanzania 🇹🇿 - 238.3
17. Eswatini 🇸🇿 - 239.6
18. Rwanda 🇷🇼 - 258.9
19. Senegal 🇸🇳 - 260.9
20. Ghana 🇬🇭 - 263.1

Sources
1. WHO
2. OWID
 
Tanzania ilikuwa kwenye kufikia 90-90-90. Walivyoenda kwenye mikutano ya PEPFAR na kusikia Zimbabwe inapongezwa kwa kufikia 95-95-95, ghafla Data za Tanzania zikaanza kusoma 95-95-95, wakati hali ya maambukizi inazidi kuwa worse.

Hao wenye NGOs za mapambano ya ngoma wanajua kuandaa reports kwa ajili ya kumfurahisha donor tu, bila kuzingatia impacts waliyopelekea kwenye jamii, huku situation inazidi kuwa mbaya.

Lengo la NGOs za UKIMWI ni like lile ambalo halijaandikwa, yaani ni sehemu ya kuboresha uchumi na maisha ya watu wa hizo NGOs kuliko wahanga.
wa kulaumiwa siyo NGOs pekee, pia serikali , sababu ndiyo inaweka mazingira hayo, wasimamizi wa vitengo serikalinibwanazituhumu NGOs kupewa hela nyingi ambazo wanakul wenyewe halafu wanataka rating ya serikali. NGOs zina lazimika ku comply na unofficial demands za waenye mamlaka na hapo zinaamua kushiriki dhambi ili ziwe salama kwa kpewa ratings, wanatafuta namna ya kuwakatia mafungu kupitia tenders, tranings, capacity buildings na supervision, ajira n.k.
Poleni sana mwe bandu ba Kyala
 
Ruangwa na lindi binti wa miaka 17 kama hajazaa anaanza kuwa na wasiwasi kuwa labda Hana kizazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…