Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Kule uzazi wa mpango wanatumia sana tatizo ni maadili mabovu.Sijui kwa nini wabunge wao wakina Nape na Salma Kikwete hawawahamasishi uzazi wa mpango!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule uzazi wa mpango wanatumia sana tatizo ni maadili mabovu.Sijui kwa nini wabunge wao wakina Nape na Salma Kikwete hawawahamasishi uzazi wa mpango!
Pole sana😂mapenz ya kweli tukose na watoto nao wajameni,, hakika nna zaa tena kwa fujo nnao wa 3 hadi sasa na nna mimba nyingine na sijaolewa,, muhimu uzima🤣🤣
Tukiwa wengi ndiyo uchumi utakuwaSerikali ni kama imetelekeza kabisa suala la elimu na huduma za uzazi wa mpango kwa umma.
Sisikii tena zile kampeni za nyota ya kijani katika redio!
Wacha maneno, Lete watoto, zaa, tena zaa.Ndiyo uhalisia huo mkuu au haujawahi kuishi rural area? Au upo kwa shemeji hapo kimara bonyokwa ukimsaidia dada kufua nguo za ndani za shemeji na kubadilisha nepi mtoto? Tembea bwana au umemaliza chuo mwaka huu?
Kuistiri shekhe,isizwe shingo Maza!!!Kuoa?
Kulikoni mbona maelezo marefu sana 😂mapenz ya kweli tukose na watoto nao wajameni,, hakika nna zaa tena kwa fujo nnao wa 3 hadi sasa na nna mimba nyingine na sijaolewa,, muhimu uzima🤣🤣
Mie ni ostadh sitaki kuwepo kwenye chain ya dhambi ya zinaa mkuuKuistiri shekhe,isizwe shingo Maza!!!
Endelea kujidanganya hivyo hivyo.Tukiwa wengi ndiyo uchumi utakuwa
Pole siwezi pokea,,,npe hongeraPole sana😂
Naoa kabisa naweka ndani,tunapika na kupakua,hapo hupati dhambi shekhe wangu!!!Nop
Mie ni ostadh sitaki kuwepo kwenye chain ya dhambi ya zinaa mkuu
Mtaalam Atoto huita dipresheniSikio la kufa😂
Nchi 20 zenye idadi ndogo ya vifo vya kina mama wakati wakujifungua Africa (2020), pia inaitwa maternal mortality rate (MMR) ni njia nyingine ya kupima maendeleo ya nchi.Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.
Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM.
Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha.
Kwanza sifa ya mkoa huu ni hii
1. Mkoa huu kwa kutazama tu( obervation) una Wanawake wachache kuliko wanaume. Yaani si ajabu ukitembea ukakutana na wanaume 20 na mwanamke mmoja au hakuna kabisa. Utasema labda wanawake wanashinda majumbani.
Ukienda majumbani unakuta wanaume 6 , mwanamke Mmoja tena Mke wa Baba Mwenye nyumba.
2. Kutokana na sababu hiyo namba 1, wanawake huku wana thamani kubwa sana. Nawaonea huruma wanaum3 wa huku.
3. Wanawake hao wachache waliopo asilimia 70-90% ni Single mazas.
4. Hao Single mazas ukiwaona unaungiwa na huruma, wamechoka balaa. Maisha magumu mno.
Ni kawaida kukutana na wanawake umri kati ya 17 hadi 30 wakiwa kundi la watu 10-15 wote wamebeba watoto wachanga
Hali ni mbaya sana. Wanawake hawafurahii maisha ya ujana wao. At her 20yrs tayari ana watoto watatu, ameachwa, ana madeni.
Something has to be done aisee.
Tanzania ilikuwa kwenye kufikia 90-90-90. Walivyoenda kwenye mikutano ya PEPFAR na kusikia Zimbabwe inapongezwa kwa kufikia 95-95-95, ghafla Data za Tanzania zikaanza kusoma 95-95-95, wakati hali ya maambukizi inazidi kuwa worse.Kuna matatizo mengine ya jamii hayawezi kutibiwa yenyewe kama yenyewe. Matatizo mengine mpaka kitibiwe kitu kingine kabisa ili tatizo lile lijishepu na kukaa sawa. Hawa wanaozaa mapema tayari walikuwa kwenye risk ya kupata ukimwi kwani kinga haikutumika hapo. Rashidi Jololo ana Ngo inapambana na ukimwi kufikia 95-95-95 ya mwaka 2030 cha ajabu humu hatokei
Si mmeamua kuwa incubator fyatueni hata 10 na kila mtoto na baba yake.Mie ninao wa nne na mimba ya 5. Ni kufyatua tu🤣🤣
Tuliambiwa tusiweke mayai yote kwenye kapu moja.Si mmeamua kuwa incubator fyatueni hata 10 na kila mtoto na baba yake.
Asanteee 🤣🤣🤣aaalaaaa muhimu uzimaMie ninao wa nne na mimba ya 5. Ni kufyatua tu🤣🤣
Ruangwa na lindi binti wa miaka 17 kama hajazaa anaanza kuwa na wasiwasi kuwa labda Hana kizaziMwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.