Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Dodoma ni miradi ya serikali tu. Zinazoanguka Dar sio miradi ya serikali Bali ni miradi ya wananchi. Sasa huo uchumi unakuwa wapi?Makao makuu yamehamia Dodoma. Bandari Salama itadorora kidogo hiyo ni kawaida huo ni mtikisiko wa makao makuu.
Mkuu naomba urudi darasani usomee uchumi. Ukuaji wa uchumi tunaangalia Gross domestic product (GDP), Gross domestic product per capita na Gross Domestic Product PPP (Purchasing power parity)Hivi mnaposema uchumi unakua mna angalia nini??? Hawa graduates waliograduate tangu 2015 na hawana ajira ndo uchumi kujua???
Hii sekta ya biashara ya mazao ya kilimo iliyokufa kutokana na Sera mbovu za Serikali ya awamu ya tano ndo uchumi kukua ??
Haya makampuni na mashirika yanayofunga biashara na ofisi kwa kasi sana kupelekea watu kupoteza ajira ndo uchumi kukua???
Hivi kariakoo ya mwaka huu unaweza kuifananisha na kariakoo ya Mwaka 2013-2014???
Hawa wawekezaji wanaokimbia kila siku ndo uchumi kukua????
hapa wakenya itawauma sana, waanze na wao angalau kulima dhaabu maana shamba la Tanzanite kwa sasa limerudi mikononi mwa TANZANIAUchumi wa Tanzania unategemea kukua kwa asilimia 5.2 mwaka huu wakati ambapo nchi nyingine sita za Mashariki mwa Bara la Afrika zikitarajia kuporomoka kiuchumi kwa sababu ya athari za janga la corona.
Kiwango hicho cha ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni zaidi ya nchi zote za Mashariki mwa Bara la Afrika, kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).
Hata hivyo, kabla ya kutokea kwa mlipuko wa virusi vya corona, AfDB ilitarajia kiwango cha uchumi wa Tanzania kukua kwa asilimia 6.4.
Nchi sita za Mashariki mwa Bara la Afrika ambazo kiwango chao cha uchumi kimeporomoka zaidi ni Seychelles (-10.5), Sudan (-7.2), Burundi (-5.2), Somalia (-3.3), Comoro (-1.2) na Sudani Kusini (-0.4).
Nchi nyingine sita ambazo uchumi wake utakuwa lakini ziko chini ya kiwango cha wastani wa ukuaji wa uchumi wa Tanzania kwa mwaka huu ni Rwanda (4.2), Ethiopia (3.1), Uganda (2.5), Kenya (1.4), Djibouti (1) na Eritrea (0.3).
AfDB imeeleza kuwa pato la ndani la Tanzania (GDP) litawezeshwa zaidi na ongezeko la bei ya dhahabu iuzwayo nje ya nchi.
Ripoti ya mwezi Mei inaonesha kuwa dhahabu imeongoza kwa kuingiza fedha nyingi zaidi za kigeni Tanzania, ikizidi sekta ya utalii ambayo ilikuwa ikiongoza kabla ya mlipuko wa corona.
View attachment 1502864
Asante kwa ufafanuzi mzuri,ndio uzuri wa jamii forums kuna watu wa kila aina humu jukwaani.Mkuu naomba urudi darasani usomee uchumi. Ukuaji wa uchumi tunaangalia Gross domestic product (GDP), Gross domestic product per capita na Gross Domestic Product PPP (Purchasing power parity)
Hapo kwenye GDP tunachukua bidha zote zinazozalishwa katika mwaka husika tunazibadirisha kuwa cash, money. hiyo thamani tunayo ipata hapo ndio inatumika ku predict ukuaji wa uchumi. Tunafanyaje tunalinganisha na miaka ya nyuma then tuna pata rate ya ukuaji wa uchumi. Nadhani unajua hesabu za kujumlisha na kutoa then kugawanya mara 100.
Rate ikiwa ni kubwa maana yake ni ni ni? maana yake ni kwamba
1. Uzalishaji umeongezeka mwaka huo
Kwanini umeongezeka labda viwanda vimeongezeka, au kuna sekta fulani inakua kwa kasi
2. Usafirishaji na uuzaji wa bidha nje ya nchi umeongezeka (Export)
3. Labda thamani ya pesa imepanda ukilinganisha na dolla
4. Au thamani ya madini imepanda. That's means yakiuzwa nje ya nchi basi yanatuletea fedha nyingi za kigeni ambazo tukitafutia GDP lazima iwe kubwa.
GDP per capita hapo tutagawanya na idadi ya watu.
Basi kama ni hivyo, kama kipindi cha korona tungelala ndani uzalishaji wa hizo bidhaa nani angefanya, kwa hiyo kungekua hakuna export pia. Hizo data za kutafutia GDP. tungezipata wapi. Kwa hiyo kama zinarekodiwa its means zingekua chache zikiwa na thamani ndogo sana, automatically ukitafuta rate baada ya kutoa na miaka ya nyuma jibu lingekuka hasi, less production
Ni kweli wamesema jana nilimsikia bashiru akilizungumzia ngoja tuone lakini.Tukijipanga kwenye kilimo vizuri hii nchi itapaa sana kiuchumi.Kilimo hiki hiki ambacho wizara yake bajeti ni ndogo sana na wanapewa only 30% ya bajeti hio?