Kasi ya utendaji ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa inatufuta machozi wazalendo

Una wivu weweeee..... hadi na wewe unaishia kutafuta sofaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ungekua mke mwenzangu ningekufunza kwa vitendo na ungeishia kungejinyonga tuuπŸ™„πŸ™„

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Namkubali Sana huyu PM ,namtakia kila la kheri kwenye mbio zake za urais
 
Hii nchi ikishaondokana na kitu kinaitwa Mataga na Sukuma gang, itakuwa tamu sana
 
Kimsingi, kwa mtazamo wangu, pm ndiye anatakiwa awe hivi. Raisi asiwe mtu Wa kusikika hovyo....

ni km second master shuleni. Ukiona Shule imesimama barabara kitaaluma na maendeleo kwa ujumla, basi jua hapo kuna second master mmoja hatari sana......anasimamia nidhamu vema (yake mwenyewe na ya wengine), anaunganisha walimu vema, anawaunganisha walimu na mkuu wa shule vizuri, anamshauri vema mkuu wa shule n.k. mkuu wa shule anakuwa busy kufuatilia mambo mengine ya kimaendeleo kwa shule au walimu kutoka kwa wadau mbalimbali au wakubwa wao.

rais inabidi awe busy kusoma tu mchezo unavyoenda na kurekebisha hapa na pale huku akiwa busy kuangalia maelfu ya fursa yaliyopo nchini na duniani kwa ujumla katika kuleta maendeleo.

nafurahishwa na utaratibu huu wa mama Samia wa kumpa nguvu pm.....watendaji wa serikali lazima watetemeke pale pm, sio anapotokea tu, bali hata anaposikika redioni tu. huu ndiyo utaratibu mzuri, sio raisi unaongea ongea tu kila leo na kuingilia kila jambo mara tatu kwa siku kama dozi ya aspirin!
 
Ww mbna taahira,nan anakujua nchi hii????
 
Hapo unyonge wenu Ni upi?
 
Huyu anafanya kazi kwa ajili ya kujionesha, Hana uchapakazi wowote, Ni one man show, kwanini wasiweke mfumo? Ni one man show ya kutafuta sofa, Majaliwa hafai
Mkuu umenena....kutakuwa Kuna tatizo kubwa la mfumo wa kudhibiti fedha wizarani....hivi kweli watendaji watafanyaje malipo hewa wizarani....uongozi upo... na taratibu zipo....pesa inatokaje Waziri mkuu.....waziri na Katibu wake wasijue.
 
Wiki jana nimeingia benki moja Mikoa Fulani nikakuta watumishi wamejikusanya kwa majonzi. Baadhi yao niliwafahamu Na nilipowadodosa wakadai mikopo yao kukwamishwa na maafisa utumishi.

Walidai kupewa majibu hayo na maafisa wa benki. Kuwa maafisa utumishi wamegoma kuingiza makato kwenye mfumo wa mishahara ambapo ndiyo taratibu ili mikopo itolewe kwa walengwa.

Wengi walionekana kuhuzunishwa na Jambo hilo .\

Nikajiuliza, ni nini kimesababisha maafisa utumishi hao kutotoa majibu ya uhakika au wahusika kurekebisha mfumo ili wahitaji wa mikopo waweze kupata stahiki zao.

Ni majuzi tuu tuishuhudia mfumo wa Lulu au ulipaji umeme ukihujumiwa na kuzua keep kwa watumiaji umeme nchi nzima. Ambapo Baada ya Waziri Mkuu kuingilia kati, na massa machache baadae tatizo likaisha.

Je, hapa Nako kuna umuhimu wa Wa Waziri Mkuu kuingilia kati ili Watumishi hawa wapate stahiki zao?
 
Hapo unyonge wenu Ni upi?
Watumishi wa wizara wanajilipa posho za mabilioni wakati sisi huku vijijini hatuna zahanati, shule mbovu na hazina vifaa, maji, barabara, nk, na hakuna anayetujali, ukiwemo wewe!
 
Watu wanapiga pesa bhanaa... Duh,!! Wizara ya Fedha kibokoo...
 
Sasa namuona Mhe. Waziri Mkuu ktk viwango vyake, .
kamwe usirudi nyuma wala usikubali kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa....wee chapa kazi......kanyaga twendee.....usimuonee aibu mbadhirifu au wezi wa mali za umaa.
 
Majaliwa ndiye ajaye bila shaka. Kwa sasa ni kama hatuna Rais vile.
Mama ndo kampa nguvu...
Magu alikuwa akipiga one man show...

So credit goes back to Madam President.
Wajingajinga hawatanielewa.
 
Majaliwa for presidency 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…