t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Na watanzania tuko addicted na drama kama hIziHuyu anafanya kazi kwa ajili ya kujionesha, Hana uchapakazi wowote, Ni one man show, kwanini wasiweke mfumo? Ni one man show ya kutafuta sofa, Majaliwa hafai
Badala ya kuweka mfumo wa kusimamia watu , tumekazania foka foka na one man show , ambayo imeshaprove failure .