Kasi ya utendaji ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa inatufuta machozi wazalendo

UTENDAJI KAZI: MAJALIWA KASSIM MAJALIWA

Tarehe 10/4/2021 anafanya ziara kukagua ujenzi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere lililopo Rufiji na kuwaahidi Watanzania kuwa ujenzi utaendelea kama kawaida na kumalizika kwa muda uliopangwa.

Tarehe 19/4/2021 anakwenda kuukagua mradi wa mabasi ya mwendokasi baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wananchi juu ya Ufanisi wa mradi huo, anakuta utendaji ni mbovu anamsimamisha kazi mkurugenzi wa fedha wa mradi huo Susana Steven Chaula.

Tarehe 19/4 /2021 anakwenda kukagua bandari ya nchi kavu Ubungo Baada ya magari ya mizigo kukwama kwa zaidi ya siku tatu..anafanya mazungumzo na madereva pamoja na watendaji wa bandari

Tarehe 19/4/2021 anafanya ziara kiwanda cha kuunganisha magari cha GFA kilichopo Kibaha, Pwani. Anawahakikishia wawekezaji hao kuwa Vijana wa kitanZania ni waaminifu. Siku kadhaa baada ya Spika wa bunge kunukuliwa akisema vijana wa Kitanzania SIO waaminifu.

Tarehe 21/4/2021 anaenda kukagua ujenzi wa stesheni ya Treni ya umeme iliyopo Pugu Dar, anasema "Mradi utaenda kama JPM alivyoahidi.."

Tarehe 20/5/2021 anafanya ziara Tanesco. Anazungumza na uongozi wa Tanesco kuhusu tatizo lililojitokeza katika ununuaji wa LUKU lililopelekea wananchi washindwe kununua LUKU siku tatu mfululizo, anaamuru meneja Tehama na wenzake waendelee kukaa pembeni kupisha uchunguzi.

Tarehe 28/5/2021 anafanya ziara ya kushtukiza wizara ya fedha, anakuta watendaji wa wizara hiyo wakijilipa posho ya zaidi ya billioni 1.6 kwa kazi zisizochukua hata nusu saa, anawasimamisha kazi watendaji wakuu saba.
JANUARY MPAKA LEO ANAJIFANYA HAJAONA RIPOTI YA CAG
 
Unasumbuliwa na mfumo dume na malezi mabaya!

Kule ujerumani kuna mwanamama anitwa Angel Merkel anawapeleka puta wababa kama wewe hawana hamu nae kabisa!

Mama Samia ni raisi shupavu na mwerevu. Yeye ni kiongozi sio mtawala. Vumilieni tu mtaelewa what it means to be a leader.
Tunataka matokeo ya uongozi wake
 
Tarehe 28/5/2021 anafanya ziara ya kushtukiza wizara ya fedha, anakuta watendaji wa wizara hiyo wakijilipa posho ya zaidi ya billioni 1.6 kwa kazi zisizochukua hata nusu saa, anawasimamisha kazi watendaji wakuu saba.
Kwani unadhani kazi yake ni nini ? Kama kaanza hivi karibuni ametuibia kwa miaka yote iliyopita...

Alafu... yaani alikuta hao watendaji ndio wanajilipa posho au alijua kabla hapo alikwenda tu kulitaarifu taifa ?
 
Wazalendo wa kweli ni kama mimi ambao tunaichukia ccm kutoka moyoni kwa kuendekeza kwake vitendo vya ufisadi, uhujumu uchumi, ujangili, uuzaji wa nyumba za serikali, matumizi mabaya ya madaraka, wizi, ubaguzi, upendeleo, na kila aina ya uovu! Huku nchi ikipiga hatua ya kimaendeleo kwa kusuasua!

Isingekuwepo ccm, huenda nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Haiwezekani tangu mwaka 1977 ilipozaliwa mpaka leo, bado maadui wa maendeleo wanaendelea tu kujinafasi! Ujinga, umasikini, maradhi, na sasa hiyo ccm imetuongezea adui mwingine - UFISADI!
Tu assume upo sahihi, unataka tumtoe sub Ronaldo tumuweke Kisinda😂😂 small minded
 
Kuna viumbe vikisikia Majaliwa vinapata taabu sana. Et anapwaya atatemwa😂😂. Watapata taabu sanaa hadi mwisho wa dunia
##CCM MBELE KWA MBELEE
### MAMA SAMIA HADI 2030
### R I P JPM MWAMBA WA AFRICA
 
Tutashitakiwa MIGA
20210601_075916.jpg
 
UTENDAJI KAZI: MAJALIWA KASSIM MAJALIWA

Tarehe 10/4/2021 anafanya ziara kukagua ujenzi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere lililopo Rufiji na kuwaahidi Watanzania kuwa ujenzi utaendelea kama kawaida na kumalizika kwa muda uliopangwa.

Tarehe 19/4/2021 anakwenda kuukagua mradi wa mabasi ya mwendokasi baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wananchi juu ya Ufanisi wa mradi huo, anakuta utendaji ni mbovu anamsimamisha kazi mkurugenzi wa fedha wa mradi huo Susana Steven Chaula.

Tarehe 19/4 /2021 anakwenda kukagua bandari ya nchi kavu Ubungo Baada ya magari ya mizigo kukwama kwa zaidi ya siku tatu..anafanya mazungumzo na madereva pamoja na watendaji wa bandari

Tarehe 19/4/2021 anafanya ziara kiwanda cha kuunganisha magari cha GFA kilichopo Kibaha, Pwani. Anawahakikishia wawekezaji hao kuwa Vijana wa kitanZania ni waaminifu. Siku kadhaa baada ya Spika wa bunge kunukuliwa akisema vijana wa Kitanzania SIO waaminifu.

Tarehe 21/4/2021 anaenda kukagua ujenzi wa stesheni ya Treni ya umeme iliyopo Pugu Dar, anasema "Mradi utaenda kama JPM alivyoahidi.."

Tarehe 20/5/2021 anafanya ziara Tanesco. Anazungumza na uongozi wa Tanesco kuhusu tatizo lililojitokeza katika ununuaji wa LUKU lililopelekea wananchi washindwe kununua LUKU siku tatu mfululizo, anaamuru meneja Tehama na wenzake waendelee kukaa pembeni kupisha uchunguzi.

Tarehe 28/5/2021 anafanya ziara ya kushtukiza wizara ya fedha, anakuta watendaji wa wizara hiyo wakijilipa posho ya zaidi ya billioni 1.6 kwa kazi zisizochukua hata nusu saa, anawasimamisha kazi watendaji wakuu saba.
Huyu alipaswa kuwa rais wa hii nchi.
 
Huyu anafanya kazi kwa ajili ya kujionesha, Hana uchapakazi wowote, Ni one man show, kwanini wasiweke mfumo? Ni one man show ya kutafuta sofa, Majaliwa hafai
Toa sababu kwanini hafai?
 
UTENDAJI KAZI: MAJALIWA KASSIM MAJALIWA

Tarehe 10/4/2021 anafanya ziara kukagua ujenzi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere lililopo Rufiji na kuwaahidi Watanzania kuwa ujenzi utaendelea kama kawaida na kumalizika kwa muda uliopangwa.

Tarehe 19/4/2021 anakwenda kuukagua mradi wa mabasi ya mwendokasi baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wananchi juu ya Ufanisi wa mradi huo, anakuta utendaji ni mbovu anamsimamisha kazi mkurugenzi wa fedha wa mradi huo Susana Steven Chaula.

Tarehe 19/4 /2021 anakwenda kukagua bandari ya nchi kavu Ubungo Baada ya magari ya mizigo kukwama kwa zaidi ya siku tatu..anafanya mazungumzo na madereva pamoja na watendaji wa bandari

Tarehe 19/4/2021 anafanya ziara kiwanda cha kuunganisha magari cha GFA kilichopo Kibaha, Pwani. Anawahakikishia wawekezaji hao kuwa Vijana wa kitanZania ni waaminifu. Siku kadhaa baada ya Spika wa bunge kunukuliwa akisema vijana wa Kitanzania SIO waaminifu.

Tarehe 21/4/2021 anaenda kukagua ujenzi wa stesheni ya Treni ya umeme iliyopo Pugu Dar, anasema "Mradi utaenda kama JPM alivyoahidi.."

Tarehe 20/5/2021 anafanya ziara Tanesco. Anazungumza na uongozi wa Tanesco kuhusu tatizo lililojitokeza katika ununuaji wa LUKU lililopelekea wananchi washindwe kununua LUKU siku tatu mfululizo, anaamuru meneja Tehama na wenzake waendelee kukaa pembeni kupisha uchunguzi.

Tarehe 28/5/2021 anafanya ziara ya kushtukiza wizara ya fedha, anakuta watendaji wa wizara hiyo wakijilipa posho ya zaidi ya billioni 1.6 kwa kazi zisizochukua hata nusu saa, anawasimamisha kazi watendaji wakuu saba.
Kwani unalia kwa sababu gani hadi ufutwe machozi?
 
Back
Top Bottom