Kasi ya utendaji ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa inatufuta machozi wazalendo

Safi sana rais Samia ingawa gaidi mbowe anafanya kila njia kukuchafua
Hizo chanjo wachanjwe chadema wote kwanza.
 
Jana amezuia wizi wa Tanesco
 
Naona mnaanza kampeni mapema, Chief Mkuu ashasema 2025 ni Mwanamke Tena.
 
kwa hiyo unataka kusemaje??
 
Naona mnaanza kampeni mapema, Chief Mkuu ashasema 2025 ni Mwanamke Tena.
nimeshawashauri kwa katiba hii tuliyonayo wala wasijaribu, kama walifikiri anabeep sasa yeye anatwanga kabisa.
 
Wewe ukipewa mamlaka kufanya haya uliyoorodhesha hapa huwezi?

Kama huwezi basi wewe ni maiti ungali hai.
 
Huyu anafanya kazi kwa ajili ya kujionesha, Hana uchapakazi wowote, Ni one man show, kwanini wasiweke mfumo? Ni one man show ya kutafuta sofa, Majaliwa hafai
Anatafuta sifa sana wakati kwao allizimisha kupita bila kupingwa kimabavu
 
Hakuna na hana sifa hiyo
 
huyu si ndio yulee alietuhabarisha kwamba MEKO NI MZIMA WA AFYA NA ANACHAPA KAZI KAMA KAWA!! hebu nitafutie njia nyengine niweze kufikiria kumuamini.
 
Jana amezuia wizi wa Tanesco
Amezuia vipi wizi wakati jengo limeshajengwa kwa inflated costs ? Amewaambia next project wasitumie kandarasi…. Kwisha habari!

Majaliwa siku zote kazi yake kugomba, kuchimba mikwala, kuagiza kamati za uchunguzi, na kutoa maagizo for a next project.
 
Na ndiye rais ajaye mtake msitake
 
huyu si ndio yulee alietuhabarisha kwamba MEKO NI MZIMA WA AFYA NA ANACHAPA KAZI KAMA KAWA!! hebu nitafutie njia nyengine niweze kufikiria kumuamini.
Hata mbowe ametudanganya mengi sana lakini bado ni mwenyekiti wa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…