johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Utapata logic bandari ikikamilika!... kwa saizi ya Zanzibar na geographical location yake inahitaji kuwa na bandari kubwa kihivyo? Kama mfanyabiashara wa bara au nchi jirani kwanini nipitishe mzigo Zanzibar badala ya bandari ambayo baada ya hapo unaingia nchi kavu moja kwa moja? Sipati logic.
Logic gani wewee?Utapata logic bandari ikikamilika!
Mkuu una taaluma ya usafirishaji au? Hii itakuwa strategic port kwa ajili ya transhipments ( kama ilivyo Dubai port, au Singapore), pia yaweza kuwa "free port" Hivyo kupunguza safari za kwenda china kufuata bidhaa kwa watu wanaotoka landlocked countries badala yake wanaenda hapo Zanzibar! Hili wazo lilikuwepo hapa bara ndilo liliolopelekea bomoabomoa ya Kurasini!... kwa saizi ya Zanzibar na geographical location yake inahitaji kuwa na bandari kubwa kihivyo? Kama mfanyabiashara wa bara au nchi jirani kwanini nipitishe mzigo Zanzibar badala ya bandari ambayo baada ya hapo unaingia nchi kavu moja kwa moja? Sipati logic.