Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Upo sahihiTafutwe kwani hajulikani ? Ninkaosi tu cha kutoa maagizo afike kituo cha polisi kilicho karibu nae kama Yupo hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihiTafutwe kwani hajulikani ? Ninkaosi tu cha kutoa maagizo afike kituo cha polisi kilicho karibu nae kama Yupo hai
Hawezi akaukimbia mkono wa serikali.hata wewe tunaweza kukudaki ukileta za kuleta hata uwe wapi.Tangu Jumamosi hawajamkamata si atakuwa ameshaingia mitini huyo
Kwa hio Police walikuwa wanaangoja amri ya kumtafuta mmiliki?Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mwalimu Kasimu Majaliwa ametoa maagizo kwa jeshi la Polisi kumtafuta mmiliki wa jengo ambalo limeanguka na kusababisha vifo vya karibu watu 15 mpaka hivi sana na majeruji kadhaa .
Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo wakati wa shughuli ya kuaga miili ya wale waliopoteza Maisha katika tukio hilo la kuporomoka kwa jengo eneo la kariakoo.
Ila mimi Mwashambwa naona kumpata mmiliki ni rahisi tu pasipo hata kumtafuta zaidi ya kumpigia simu.Maana naamini mmiliki ni mlipa kodi na anayetambulika na TRA .ambako huko TRA kuna taarifa zake zote. Lakini nilikuwa nafikiria kuwa pengine mpaka muda huu au siku ya Leo ilitakiwa mmiliki awe ameshapatikana na kufahamika na kushikiliwa na hatua za awali zikawa zinaendelea hususani zile za mahojiano.
Japo mwingine unaweza kusema kuwa Mwashambwa huna akili utaanzaje kumhoji mtu badala ya kujielekeza katika uokoaji. Jibu ni kuwa serikali ni kubwa sana na yenye watu mbalimbali katika vitengo mbalimbali na wenye majukumu tofautitofauti ambapo siyo wote waliokatika eneo la uokoaji japo macho ,masikio yao yapo hapo hapo pia katika kufuatilia kila kinachoendelea.kwa hiyo zoezi la uokoaji linaweza kuendelea huku mahojiano pia yakiendelea kwa ajili ya kukusanya taarifa muhimu za awali.
Ndio Maana Rais wa Nchi hayupo Nchini lakini serikali nzima ipo eneo la tukio ikitekeleza kwa ufasaha na ufanisi maelekezo yake yote kikamilifu.na ndio maana Hata katika hotuba yake fupi Mheshimiwa Rais alitoa taarifa ya hadi idadi ya vifo na majeruhi na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wa serikali yake na vyombo vya dola kama vile kwa jeshi la polisi na ofisi ya waziri Mkuu na taasisi zingine.
Mwisho niseme tu ya kuwa huu ni wakati wa kuungana kama watanzania kusaidiana katika kuwafikia wale walionasa chini ya jengo na ambao bado kuwafikia.kuwaombea ili Mungu aendelee kuwaweka hai.siyo wakati wa kulaumiana au kunyoosheana vidole vya lawama au kushutumiana. Ni muda wa kupigania kuokoa Maisha ya wale ambao wapo bado hai chini ya jengo walikonasa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Polisi wanataratibu zao.Kwa hio Police walikuwa wanaangoja amri ya kumtafuta mmiliki?
Amesepea wapi au unapiga Ramli zako kama kawaida yako ya uzushi na uongoWameshampa loop hole ya kusepa ndio wanatangaza sasa kumtafuta😂
Mone talkKumbe walikuwa wanasubiri waagizwe!!
Hapan kuna jambo na si bure.
Mkono wa serikali ni mrefu na kuna uwezekano mpaka sasa akawa tayari mikononiUnaweza kuta mwamba kashajipandia zake ndege huyooooooo ulayaa watampata wapi...............wenyewe walikuwa wanasubiria maagizo ndio wamkamate wakati na yeye alikuwa anacheki mchezo jinsi ya kujinasua patamu hapo..............hayaa
Unaweza kuta mwamba kashajipandia zake ndege huyooooooo ulayaa watampata wapi...............wenyewe walikuwa wanasubiria maagizo ndio wamkamate wakati na yeye alikuwa anacheki mchezo jinsi ya kujinasua patamu hapo..............hayaa
Inashangaza sanaWakuchangisha Hela mitandao kashadakwa ila mwenye jengo lilotoa uhai wa watu Bado ajulikan n naniii😔😔😔😔
Ni huzunii
Unajuaje bwana mwashambwa............yaani amiliki ghorofa kkoo akose hata pesa ya visa ya shengen uchuro huoooMkono wa serikali ni mrefu na kuna uwezekano mpaka sasa akawa tayari mikononi
Embu tulia hukoKwa hiyo jamaa jengo lake linaporomoka wala hakusogea hapo
Maajabu miujiza ya Afrika
Hilo zoezi lilitakiwa lifanyike day 1, lakini kubali kuwa CCM ni ilele.Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mwalimu Kasimu Majaliwa ametoa maagizo kwa jeshi la Polisi kumtafuta mmiliki wa jengo ambalo limeanguka na kusababisha vifo vya karibu watu 15 mpaka hivi sana na majeruji kadhaa .
Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo wakati wa shughuli ya kuaga miili ya wale waliopoteza Maisha katika tukio hilo la kuporomoka kwa jengo eneo la kariakoo.
Ila mimi Mwashambwa naona kumpata mmiliki ni rahisi tu pasipo hata kumtafuta zaidi ya kumpigia simu.Maana naamini mmiliki ni mlipa kodi na anayetambulika na TRA .ambako huko TRA kuna taarifa zake zote. Lakini nilikuwa nafikiria kuwa pengine mpaka muda huu au siku ya Leo ilitakiwa mmiliki awe ameshapatikana na kufahamika na kushikiliwa na hatua za awali zikawa zinaendelea hususani zile za mahojiano.
Japo mwingine unaweza kusema kuwa Mwashambwa huna akili utaanzaje kumhoji mtu badala ya kujielekeza katika uokoaji. Jibu ni kuwa serikali ni kubwa sana na yenye watu mbalimbali katika vitengo mbalimbali na wenye majukumu tofautitofauti ambapo siyo wote waliokatika eneo la uokoaji japo macho ,masikio yao yapo hapo hapo pia katika kufuatilia kila kinachoendelea.kwa hiyo zoezi la uokoaji linaweza kuendelea huku mahojiano pia yakiendelea kwa ajili ya kukusanya taarifa muhimu za awali.
Ndio Maana Rais wa Nchi hayupo Nchini lakini serikali nzima ipo eneo la tukio ikitekeleza kwa ufasaha na ufanisi maelekezo yake yote kikamilifu.na ndio maana Hata katika hotuba yake fupi Mheshimiwa Rais alitoa taarifa ya hadi idadi ya vifo na majeruhi na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wa serikali yake na vyombo vya dola kama vile kwa jeshi la polisi na ofisi ya waziri Mkuu na taasisi zingine.
Mwisho niseme tu ya kuwa huu ni wakati wa kuungana kama watanzania kusaidiana katika kuwafikia wale walionasa chini ya jengo na ambao bado kuwafikia.kuwaombea ili Mungu aendelee kuwaweka hai.siyo wakati wa kulaumiana au kunyoosheana vidole vya lawama au kushutumiana. Ni muda wa kupigania kuokoa Maisha ya wale ambao wapo bado hai chini ya jengo walikonasa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wakinga wach..i sana,
Dah we jamaa chizi kweliMmiliki asije akawa Prince Dully Sir Hundred ?🙌🤣🤣🤣
Uwe na adabu kwa viongozi wetu.Kweli jamaa ni kubwa Jing.