Kasimu Majaliwa: Polisi Mtafuteni Mmiliki wa Jengo

Kasimu Majaliwa: Polisi Mtafuteni Mmiliki wa Jengo

Mabadiliko ya kweli nchini Tanzania KAMWE hayataweza kutokea hadi CCM iondoke madarakani kwanza.
Ukiwa mtu mkweli na wala siyo mtu mnafiki, LAZIMA utakubaliana na Ukweli huu mchungu.
Huwezi kuitenganisha CCM na Taifa letu.CCM ndio moyo wa Taifa.hakuna Taifa pasipo CCM madarakani
 
Hivi huoni hata aibu kuandika huo upuuzi?? Yaani mmiliki anatafutwa kwamba hajulikani au?? Kama hajulikani maana yake hata Kodi alikuwa halipi lakini kama alikuwa analipa anatafutwaje labda kwamba amekimbia?
 
Back
Top Bottom