Kasimu Majaliwa: Polisi Mtafuteni Mmiliki wa Jengo

Huyu mzee hana mvuto kabisa, kwamba mpaka leo mmiliki hajakamatwa mpaka leo kisa ni kada wa CCM? Shame corrupt government
 
Hukuwahi kusikia ripoti kuhusu baadhi ya maghorofa hapo Kariakoo ambayo ni yatima? Hayana Baba wala Mama na mwenyewe hajulikani. Hayalipi kodi wala chochote Serikalini. Yule aliyeliuza hajulikani na hata huyu aliyelinunua hajulikani. Utashangaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…