Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #81
Huwezi kuitenganisha CCM na Taifa letu.CCM ndio moyo wa Taifa.hakuna Taifa pasipo CCM madarakaniMabadiliko ya kweli nchini Tanzania KAMWE hayataweza kutokea hadi CCM iondoke madarakani kwanza.
Ukiwa mtu mkweli na wala siyo mtu mnafiki, LAZIMA utakubaliana na Ukweli huu mchungu.
Mbona wewe hujauwawa pamoja na ujinga wako wote .CCM kuua siyo issue sn kwao
Tetetetete huna akili weweMbona wewe hujauwawa pamoja na ujinga wako wote .
Tutafute waganga wazuri kutoka Sumbawanga, Urangini na Tanga lazima watachomokaHawa sijui tuwafanyaje
Ova
Mbona hao waganga hawajakusaidia matatizo yako.Tutafute waganga wazuri kutoka Sumbawanga, Urangini na Tanga lazima watachomoka
Usifikiri kwamba Mimi Sina akili timamu kama ulivyo wewe.Huwezi kuitenganisha CCM na Taifa letu.CCM ndio moyo wa Taifa.hakuna Taifa pasipo CCM madarakani
😄Tutafute waganga wazuri kutoka Sumbawanga, Urangini na Tanga lazima watachomoka
Nyie CCM nasikia mnachukuaMbona hao waganga hawajakusaidia matatizo yako.
Watatusaidia haswa😄
Ova