Mods it seems hii clip wameichanganya vitu vingi, ikiwezekana delete this thread Maxence Melo
Lisu afukuzwe, kama chadema kugawanyika igawanyike itajengwa upya from the rootsAcha kusumbua mod mbowe mwambie inatosha hapati tena nafasi ya kuongoza hicho chama
Ntarudi
Acha ujinga na uchawaLisu afukuzwe, kama chadema kugawanyika igawanyike itajengwa upya from the roots
Mwamba umepanic 😂😂😂Lisu afukuzwe, kama chadema kugawanyika igawanyike itajengwa upya from the roots
Nyumbu wa Mbowe mna upumbavu mwingi sana mnafikiri mnamsaidia kumbe ndiyo mnazidi kumharibia.Lisu afukuzwe, kama chadema kugawanyika igawanyike itajengwa upya from the roots
Dk Lwaitama hapa aliongea kama msomiUPEPO UNAANZA KUGEUKA HARAKA MNO!
View: https://youtu.be/4bFvRvum5Ow
... UONGO HUPANDA LIFT WAKATI UKWELI HUPANDA NGAZI ... KWAKWELI!
🤣
Naunga mkono, pia chadema haitagawanyika kwa sababu ya hao screpaLisu afukuzwe, kama chadema kugawanyika igawanyike itajengwa upya from the roots
Umekuwa jitu la ajabu sana siku hizi. Huna tofauti na Lucas MwasambwandaLisu afukuzwe, kama chadema kugawanyika igawanyike itajengwa upya from the roots
Jitu la mama yakoUmekuwa jitu la ajabu sana siku hizi
Kumsikiliza Mbowe kwa sasa ni sawa tu na kumsikiliza Lipumba.
Ee kwa hali hii kweli umeishiwaJitu la mama yako
Mahojiano yalikuwaje wakuuu? Positive au negative? (
Mwamba tuvusheHakuna cha kusikiliza, mwamba akae pembeni...inatosha sasa eboo!!.